Tunalazimika sasa kuifahamu SIMBA TRUST

Not all with eyes can see...We need an eagle eye to through the curtain.
 
Mawazo kila mtu ana mawazo kila ukitembea ni mawazo mawazoooo mawazoooo
 
kuhusu nani anamiliki simba trust, kamuulize Yeriko Nyerere
 
Simba trust si ushaambiwa ni Miraji & Salma Kikwete a.k.a tezi dumee.
 
SPINNING IS ALL THAT YOU KNOW,PREACH AND PRACTICE...
Unaanza kuinyambulisha statement ya filikunjombe as if aliitoa bila nukuu!! nikukumbushe tu kwamba FILIKUNJOMBE alikuwa anamnukuu baba wa taifa wakati baba wa taifa akiwa katika harakati za kushinikiza JOHN MALECELA aondoke kwenye kiti cha uwaziri mkuu. haina haja ya kunya spining yoyote on the matter. filikunjombe alikuwa anawaambia/kuwakumbusha wale wabunge waliokuwa wanamtetea MIZENGO pinda as if mizengo akiondoka basi serikali itatetereka.
kuhusu ile fedha ya escrow ilikuwa ni ya nani.... hahahhahahaaaa that is a single question with multidimensional answers. hata CAG hajui kama zile hela ni za nani. na ndio maana swala hili bado ni tata na kuna uchunguzi unaendelea kuweza kuchanganua nani anastahiki gani katika ile fedha yooote ya ESCROW ACCOUNT.
chuki zenu binafsi na wivu wa kike ndio unaowasukuma kuchimba mifereji ili kila tatizo mulielekeze kwa JK. najua hamumchukii kama RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA bali mnamchukia kama JAKAYA MRISHO.
that's not fair na tutaipangua kila hoja na kihoja mtakachokileta
 

So kunukuu kwake kumepindisha ukweli wa wamiliki wa SIMBA TRUST? He did that to justify Jakaya hatatoka madarakani.
 
Kumbe ulizusha? Kukataa haina maana si yao, inaweza kuwa ni kuua soo tu! Ni kiongozi gani serikalini alishawahi tuhumiwa akakubali?

Sijawahi kufuta kauli yangu na sita futa popote kuwa Simba Trust ni ya Miraji na Salama Kikwete, labda kesho au keshokutwa nitasema wazi zaidi kuwa ni ya Jakaya Mrisho Kikwete.
 
Sijawahi kufuta kauli yangu na sita futa popote kuwa Simba Trust ni ya Miraji na Salama Kikwete, labda kesho au keshokutwa nitasema wazi zaidi kuwa ni ya Jakaya Mrisho Kikwete.

Mkuu ukiiweka sana wataku ulimboka kama unadata kamili tubwagie hapa, huko brella hawajabadili data mpaka leo?
 
Sijawahi kufuta kauli yangu na sita futa popote kuwa Simba Trust ni ya Miraji na Salama Kikwete, labda kesho au keshokutwa nitasema wazi zaidi kuwa ni ya Jakaya Mrisho Kikwete.

Tumejua wazi IPTL, PAP na VIP ENGINEERING wamiliki wake ni akina nani kwanini inakuwa kigugumizi kutajwa huyo wa SIMBA TRUST? Kwahiyo ni wazi kuwa umetegua hiki kitendawili Yericko Nyerere
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…