Does it matter?
Mawazo kila mtu ana mawazo kila ukitembea ni mawazo mawazoooo mawazoooo
ila mawazo ya mleta uzi ni ya hovyo kabisa
Does it matter?
Does it matter?
Simba trust si ushaambiwa ni Miraji & Salma Kikwete a.k.a tezi dumee.
Wenyewe wamekataaa
SPINNING IS ALL THAT YOU KNOW,PREACH AND PRACTICE...Kwanza tujiulize wamiliki wa SIMBA TRUST ni kina nani?
a)-Wake zao?
b)-Watoto wao?
c)-Wao wenyewe?
SIMBA TRUST na PAP wana uhusiano gani?
Taarifa zilizopo ni kua SIMBA TRUST anamiliki 50% ya share za PAP, may be if other conspiracies emerge over-night.
We all know what PAP has done to IPTL and the 326Billion TZS. Kwa nini serikali pamoja na PAC hawajaitaja SIMBA TRUST katika riport yao?. Wanaficha wamiliki au wanaficha 50% Share holding?. Najaribu jiuliza hatua moja mbele tu.
Nukuu za WABUNGE JE?..Any Clue..(THINK)
Quote ya Filikunjombe juu ya kumuwajibisha rais ni gharama, bora Waziri mkuu kwa kua tunamuweza na nchi haitatetereka..Isome tena, take a deep breath and re-think just a little bit. To me it sounds kuna Rais alikua kwa njia moja au nyingine anahusika. Japo najua sio yeye moja kwa moja basi walio karibu nae wanaweza kua wanahusika na SIMBA TRUST. (Just Thinking)....Read my 1st Question on top.
Misimamo ya Mawaziri kabla ya kuumbuka...
"Muhongo..PESA NI YA IPTL, Pinda...Pesa si ya Umma..sasa waliochangia sitaki hata wataja wakisema Pesa ni ya IPTL. Swali la msingi ni kujiuliza, Je? Walijua majibu ya swali langu hapo juu hivyo acting on the best interest ya kutunza heshima ya mheshimiwa mkuu wa nchi?. Just another conspiracy THEORY. Mwenye majibu sahihi ni nani?
MAPENDEKEZO YA KAMATI KUCHAKACHULIWA..
Wote twajua kamati ya PAC ilitoa mapendekezo mengi, out of which serikali ilitakiwa toa amendments. Na kwa mujibu wa sheria kama serikali imekaa kimya basi Spika anauliza kwa ajiri ya kupigia kura. Kama ulikua makini niandikie mapendekezo ambayo serikali haikubadilisha ila Spika akataka yachakachuliwe...Just thinking Out of Box.
THINK!
THINK....
SPINNING IS ALL THAT YOU KNOW,PREACH AND PRACTICE...
Unaanza kuinyambulisha statement ya filikunjombe as if aliitoa bila nukuu!! nikukumbushe tu kwamba FILIKUNJOMBE alikuwa anamnukuu baba wa taifa wakati baba wa taifa akiwa katika harakati za kushinikiza JOHN MALECELA aondoke kwenye kiti cha uwaziri mkuu. haina haja ya kunya spining yoyote on the matter. filikunjombe alikuwa anawaambia/kuwakumbusha wale wabunge waliokuwa wanamtetea MIZENGO pinda as if mizengo akiondoka basi serikali itatetereka.
kuhusu ile fedha ya escrow ilikuwa ni ya nani.... hahahhahahaaaa that is a single question with multidimensional answers. hata CAG hajui kama zile hela ni za nani. na ndio maana swala hili bado ni tata na kuna uchunguzi unaendelea kuweza kuchanganua nani anastahiki gani katika ile fedha yooote ya ESCROW ACCOUNT.
chuki zenu binafsi na wivu wa kike ndio unaowasukuma kuchimba mifereji ili kila tatizo mulielekeze kwa JK. najua hamumchukii kama RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA bali mnamchukia kama JAKAYA MRISHO.
that's not fair na tutaipangua kila hoja na kihoja mtakachokileta
Kumbe ulizusha? Kukataa haina maana si yao, inaweza kuwa ni kuua soo tu! Ni kiongozi gani serikalini alishawahi tuhumiwa akakubali?
Sijawahi kufuta kauli yangu na sita futa popote kuwa Simba Trust ni ya Miraji na Salama Kikwete, labda kesho au keshokutwa nitasema wazi zaidi kuwa ni ya Jakaya Mrisho Kikwete.
Sijawahi kufuta kauli yangu na sita futa popote kuwa Simba Trust ni ya Miraji na Salama Kikwete, labda kesho au keshokutwa nitasema wazi zaidi kuwa ni ya Jakaya Mrisho Kikwete.
No it doesn'tDoes it matter?
Sijawahi kufuta kauli yangu na sita futa popote kuwa Simba Trust ni ya Miraji na Salama Kikwete, labda kesho au keshokutwa nitasema wazi zaidi kuwa ni ya Jakaya Mrisho Kikwete.
Nimeiona, kwani mliwahi kuwafahamu Richmond, Dowans, Simbion, Kagoda, Deep Green, Meremeta, Tan Gold, Alex Stewart, etc, why Simba?!. By the way, jee wajua kuwa hata VIP sio JR, yeye ni from man tu?!.Hii inabidi aone Pasco