Kiwanda cha uongo.
Wakuu, kampuni ya PAP ndio inayotuhumiwa kama "Legal Person" kwa kufanya jinai mbali mbali ikiwa ni pamoja na kujinyakulia isivyo halali umiliki wa IPTL. Lakini PAP ni "Sethi 50% na Simba Trust 50%"! Kwa nini kwenye mijadala bungeni na hata kwenye maazimio ya PAC na hata ya Bunge, huyu "Simba Trust" hatajwi kabisa? Ni kwamba hahusiki au ni vipi?
Hili ndio kosa kubwa walilofanya PAC;watajuta milele na kwa nini Waziri wa fedha na katibu Mkuu wake hawamo??!!!
Zuma kaja na kutoka, hahahaa mwajua yaliyojiri??
mapenzi yenu wekeni pembeni sisi tunataka ukweli,kama yeriko kadanganya means unaufahamu ukweli wa jambo hilo,coz mtu hukataa uongo kwa kutoa ukweli kuhusu jambo husika.Yeriko umeanza kudharauliwa. Kama umefikia hatua ya kumnadi Kagame ndani ya ardhi ya Tanzania hakika umedharaulika sana
Kama wewe unavyompapatikia Kepten Komba?Yeriko ni mganga njaa tu pale Kinondoni mtaa wa Ufipa
Zuma kaja kumpa moyo. Bring our money back zuma and JK
Zuma kaja na kutoka, hahahaa mwajua yaliyojiri??
I guess ilikuwa ni kumshauri amfanyeje Tibaijuka (international figure with Escrow scandal!) na nini kinaweza kutokea baada ya kuchukua hatua kama alizofanya jana. Tunasubili tu reaction ya Tiba....baadae Muhongo kama hatauawa akiendelea na ukaidi wake wakutaka kumwaga mboga.
Hii haitoshi tunataka sheria ichukue mkondo wake
Mbwembwe tu huu ufisadi wa IPTL ni wa kiwango cha kimataifa hauwezi bora atulie tu....JPM, aliahidi kulala na mifisadi yote sahani moja...hakuna kubagua
Sijawahi kuona mtu mwenye njaaa kama lizaboni, mbaya zaidi anaishi mjini kwa ujanjaujanjaKama wewe unavyompapatikia Kepten Komba?
Kwahiyo wote wanaomnadi Kagame wamedhaurika ?Yeriko umeanza kudharauliwa. Kama umefikia hatua ya kumnadi Kagame ndani ya ardhi ya Tanzania hakika umedharaulika sana