notradamme
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 2,009
- 453
mtakula sana uharo na matapishi yenu mwaka huu.Zitto hajawahi kutokuwa member wa Chadema, ila alikuwa na mgogoro na Chadema. Halafu kwa hizo taarifa, watakaoumia ni ACT ambao wanamsubiri Zitto kama turufu yao, sasa sioni sababu ya kuinanga Chadema.
Labda hufahamu Historia ya Mbowe na Zitto, hao walivyo ni kama baba na mwanawe, sasa kama kweli hilo lilifanyika mimi sioni jambo la ajabu hapo, kwani hata huyo Zitto mwenyewe anajua kama Chadema ni turufu yake ndio maana alikimbilia mahakamani alipotaka kufukuzwa.
Ova
niliwaambia na ninarudia'' AKILI ZA ZZK NI MARA 1000 YA AKILI ZA ZOOOTE ZA WAFUASI WA CHADEMA PRO-MBOWE NA VIFARANGA WAO.''
mimi sijali kama anarudi chadema ama laa ila ninachokuhakikishia ni kwamba nitamfuata na kuwa mfuasi wake popote atakapoenda kwani ndiye mwanasiasa peke ambaye naweza nikweka matumaini ya nchi yangu mikononi mwake