Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,752
- 830,879
wewe ni mfua vyuma na kwetu sisi wewe ni najisi.
ngoja nikupotezee
Tena nipotezee kabisa...!!!
wewe ni mfua vyuma na kwetu sisi wewe ni najisi.
ngoja nikupotezee
mtawa-quote kila aina ya wanafalsafa. lakini ninachoamini ambacho ndio ukweli, Hukumu aliyohukumiwa ZZK ni hukumu kubwa kabisa katika maisha ya mwanasiasa. kumbuka mlimhukumu kwa hukumu ya USALITI na kama chadema wangepewa haki ya kutekeleza hukumu hiyo kimatendo, ni wazi ZZK angenyo9ngwa hadharani hadi kufa kwani hiyo ndiyo hukumu sahihi kwa MSALITI.
mLITUANISHIA HAPA JINSI AMBAVYO ALICHANGIA KUPOROMOKA KWA CHADEMA KATIKA MKOA WA KIGOMA NA JINSI AMBAVYO CHADEMA KILISHINDWA UCHAGUZI KWENYE MITAA MBALIMBALI JIMBONI KWAKE.
bila vibaraka wa mbowe kukiri kuwa walikuwa wanatumika na kuomba radhi watanzania na chadema kwa ujumla, katu hamtaweza kuaminika maana hata ZZK akirudi chadema, atarudi with different mentality na ni wachache sana miongoni mwa wana chadema atakaokuwa anawaamini. hilo loko wazi na endeleeni kumeza matapishi na uharo wenu. we are enjoying it badly
\Huwa siku zote nasema hili jukwaa ni tofauti na lilivyokuwa miaka mitatu nyuma watu kama hawa ndio wanafanya watu makini washindwe kuingia humu ni upuuzi mnaufanya au ni hizo buku 7 vijana wenzenu wanasema mnapewa.Yerrico Nyerere kaanzisha kitu kizuri tukijadili wewe umeingiza utoto tuanze tuanze kujadili watu badara ya vitu.sio kila uzi lazima uchangie mkuu.Mods hebu watazameni hawa watu kwa jicho la tatu jamani wanatuharibia hili jukwaa nini maana ya GT sasa kama watu wanachangia tuuu ili mradi waingize siku inauma sana jamani.Mungu ibariki JAMII FORUM
\
great thinker hawezi kuwa KIAZI(KIOGWE!!!) TRUST ME
ZZK is comming back to chadema.
na la kusikitisha ni kwamba mume wenu mbowe ndiye anayeomba ZZK arudi..
start parking your things.
kuwa kibaraka ni upumbavu na mwisho wa upumbavu ni fedheha.
wewe ni mwanachama wa vikundi maslahi vingapi hapa mjini????Unaongelea CDM ipi? Hii ambayo mimi ni mwanachama au kuna nyingine hapo lumumba buku 7?
ndio maaana nawadharaaaaaauuuuuuuunotradamme umeishiwa hoja unaleta viroja.umeanza kutafsiri majina.narudia kukuasa kuwa mnalipotezea heshima jukwaa letu pendwa au ndio tuamini yanayosemwa na vijana wenzenu kuwa msipovuruga mijadala humu jukwaani mkono hauendi kinywani?.kama ndio hivyo wewe leo uongezwe posho walau ifike buku 10 maana kila mahari nikipita upo.
Wakuu, kampuni ya PAP ndio inayotuhumiwa kama "Legal Person" kwa kufanya jinai mbali mbali ikiwa ni pamoja na kujinyakulia isivyo halali umiliki wa IPTL. Lakini PAP ni "Sethi 50% na Simba Trust 50%"! Kwa nini kwenye mijadala bungeni na hata kwenye maazimio ya PAC na hata ya Bunge, huyu "Simba Trust" hatajwi kabisa? Ni kwamba hahusiki au ni vipi?
ndio maaana nawadharaaaaaauuuuuuuu
areyou a double agent???Unajidharaulisha.sina muda wa kujibishana na wewe maana wewe upo kazini ngoja niongee na Nape au Mzee Tupa tupa wa Lumumba leo wakufikirie wakupe buku 10 maana umejitahidi sana kututoa kujadili jambo muhimu la wezi wa pesa za Taifa letu tunajibizana na mpuuzi mmoja ambae ujira wako ni buku 7 ambayo ili uipate ni lazima ututoe ktk kujadili lolote lile linalowahusu wanaokulipa.wenzenu wanapiga mabilioni nyinyi mnaambulia buku 7 huo si ni upuuzi kabisa halafu mnaitwa wasomi nyinyi ni sawa na toilet pepa tu mnatumika.mnauzi kabisa tena hovyo
So sad. TANESCO kupitia serikali walikuwa na uwezo wa kupata mitambo ya kuweza kuzalisha umeme wa kutosha nchi nzima lakini haya majizi yakasema serikali haiwezi kufanya biashara.
Bila hizi capacity charge familia maskini kijijini ingeweza kutumia umeme wa sh 2,000/= kwa matumizi ya nyumbani ikiwemo kupikia kwa mwezi mzima na tungeweza kuokoa misitu yetu.
Haya yanawezekana Tanzania pekee.
Iko wazi wala hamna haja ya kutumia nguvu sana kujua ukweli wote, Simba Trust ni family ya JAKAYA MRISHO KIKWETE.
Hii iko wazi mno. Basi hata kama hamna hatua zozote juu yake sababu ya kinga yake ni vema ikatambulika kuwa mkuu wa kaya kajimegea sehemu ya shamba la familia. Hii inawezekana Tanzania pekee!!!!
Hauwezi kufumuka kwakuwa badala ya kushonwa ulibanwa na stapler pins
Tatizo lenu bawacha mlitaka nchi iingie kwenye matatizo baada ya mipango yenu kushindwa mmebaki kupotosha na kujenga umbea.
Poa mkuu nimekuelewa.jaribu kuangalia mleta uzi ni nani tafadhali...
Huyu Yericko Nyerere ni miongoni mwa vijana wa kitanzania ambao hawastahili kupewa japo chembe ya nafasi bila kusimamiwa kooni na kuelezwa kinaga ubaga upumbavu walionao vichwani mwao.
kila habari anayoleta jamvini ni UZUSHI
ana chuki na watu na analitumia jukwaa kuwaumiza wakati anajua hawawezi kuja hapa na kujitetea.
ona jinsi anavyo spin taarifa za SIMBA TRUST kwa ajili tu ya kuumiza watu. hebu fananisha huu ujinga wake aliouleta kwenye post hii na ulinganishe na uharo aliopost last week kuhusu hii SIMBA TRUST kuwa ni mali ya watoto wa raisi KIKWETE..
Kumbuka jinsi alivyotumika kama karatasi ya kuchambia(toilet paper) kwenye mgogoro wa ZZK na chadema na jinsi alivyolitumia hili jukwaa kumsulubu kwa kutumia taarifa za uongo bila hata aibu.
huyu kwangu ni kibaraka na kibaraka hatakiwi apewe nafasi ya kupumua na kusambaza uvundo wa mihemko yake.
i did it with BEN SAANANE na sasa amekuwa adimu saaana jukwaani.
i will do with this pathetic snitch mpaka na yeye akimbie.
kama taifa tunahitaji watu wa kweli bila kujali itikadi zao. kiwango alichosulubiwa ZZK, haipaswi hata kidogo watu walewale leo wamtumie kwa malengo yao tena..