Tunalazimika sasa kuifahamu SIMBA TRUST

Tunalazimika sasa kuifahamu SIMBA TRUST

Huyo anaitwa Silent partner, kwa kawaida ni mtu ambaye anatumia fictitious names just as a hide out, ukiangalia trend jinsi AG alivyopigia kifua hawa PAP, hakuna shaka kabisa Simba trust atakuwa ndiye....nanii mwenyewe!.

Hata VIP sio JR, huyo JR yeye ni Front man tuu, wenye VIP ni wahindi
ABUBAKAR SOMJI,RIAZ SOMJI, ANIS MAMDANI & JAMES RUGEMALIRA=VIP ENGINEERING LTD
Pasco
Ukila nyama ya mtu, hutahacha kamwe! TD alipiga pesa ya EPA kufadhili kampeni zake. Miaka michache baadae akagundua kuna "same loophole BoT" akaona apige tena!

This time ameamua kupiga 50% mwenyewe maana kwenye EPA walimzunguka akajiona mjinga. Lakini, ni mkuu gani wa kaya anayeona fahari kuiibia kaya yake simply b'cause kuna "loophole somewhere"?

Mambo mawili ni muhimu kufanyika:
1. Kutungwe sheria dhidi ya fedha zinazotunzwa BoT ili kuziba "loopholes" kama za EPA na ESCROW
2. AZAKI zioneshe kuwajali Watanzania kwa kufungua kesi ICC ili uchunguzi wa vyombo vya nje ufanyike na ikithibitika, basi TD apelekwe huko Nov. 2015.

TD amepiga sana fedha ya Watanzania!!
 
Ndio maana mawaziri wakagoma kujiuzuru tena bila hofu......wanajua "mwenye zigo" ......PAC waliamua kufata ushauri wa Nyerere wa hatari ya kumgusa mkuu wa nchi.......hapa lazima tupambane rasimu ya Warioba ipite maana imetoa dawa muafaka........

Warioba siyo mkweli hata chembe. Ndiyo maana jk alimpa tonge. Warioba alitajwa kwenye EPA hadi leo kapiga ganzi.

Kwenye rasimu yake anataka kura ya kumwondoa Rais madarakani ni 75% ! Hivi si kumpa kiburi Raisi cha kufanya ufisadi wake atakavyo bila khofu yoyote?

Katiba iliyopo ni theluthi mbili ya kura ya Bunge kukosa imani na Raisi basi mhusika hana tonge sasa hii kura ya maoni ya robo tatu Raisi ataondolewa na nani ukiongezea Raisi pia kapewa mamlaka ya kuteua wabunge watano.

Rasimu ya Warioba ni majitaka na ndiyo maana wanaitetea kwa kupotosha umma wanasisitiza wayapendayo na kufukia mapungufu ya Rasimu tajwa.

Waswahili hulonga: "Chema hujiuza na kibaya hujitembeza."
 
Corruption.jpg
 
Hii topic naomba iwekewe ile kitu sticky, najua tunavyoendelea atatokea muungwana atatujuza zaidi Pasco naona ameanza kidogo. nitafuatilia hii topic for the sake of understanding the reality ingawa najua PAC tayari wametuchuuza.

Ni hisia zangu Kumng'oa Pinda kusinge mwacha salama mfalme tezi dume, coz ile barua aliyosoma mbowe ya gavana kwenda kwa katibu mkuu kiongozi ili amjulishe Mkulu na waziri mkuu imeanika kila kitu.
kama kumtaja jina mnaogopa semeni tu profesa tezi
 
Wakuu, kampuni ya PAP ndio inayotuhumiwa kama "Legal Person" kwa kufanya jinai mbali mbali ikiwa ni pamoja na kujinyakulia isivyo halali umiliki wa IPTL. Lakini PAP ni "Sethi 50% na Simba Trust 50%"! Kwa nini kwenye mijadala bungeni na hata kwenye maazimio ya PAC na hata ya Bunge, huyu "Simba Trust" hatajwi kabisa? Ni kwamba hahusiki au ni vipi?
muacheni proff wetu auguze kidonda jamani mtu kaja janatu mmeshaanza chokochoko
 
It's an open secret what SIMBA Trust owners are.., Hakuna mtu anayeweza kuhamisha $70M kutoka kwenye benki yoyote in cash akaweka kwenye sandalusi halafu akaondoka bila repurcsussions.

Kinachoudhi pesa hizi haziko tena TZ as we speak . MLIOKUWA mnajiuliza kwa nini Tanzania shillings imeporomoka Ghafla mwaka huu majibu mnayo tayari.

tumeanza mwaka ikiwa 1600 sasa hivi inaenda 1800. Kuna mamilioni ya $ yametolewa kwenye mzunguko, yameenda kuhifandiwa nje ya nchi, unategemea nini??

cc Sangarara
 
Last edited by a moderator:
Wakuu, kampuni ya PAP ndio inayotuhumiwa kama "Legal Person" kwa kufanya jinai mbali mbali ikiwa ni pamoja na kujinyakulia isivyo halali umiliki wa IPTL. Lakini PAP ni "Sethi 50% na Simba Trust 50%"! Kwa nini kwenye mijadala bungeni na hata kwenye maazimio ya PAC na hata ya Bunge, huyu "Simba Trust" hatajwi kabisa? Ni kwamba hahusiki au ni vipi?
Wote wamekomaa na Singa Seth wakimwacha the real culprit mmiliki wa simba trust anachekelea. Tumjue, ni nani?
 
Wote wamekomaa na Singa Seth wakimwacha the real culprit mmiliki wa simba trust anachekelea. Tumjue, ni nani?

BRELLA wanaweza kuwa na jibu halisi mmiliki was Simba trust, tuanzie hapo kwanza
 
Haya yanawezekana Tanzania pekee.
Iko wazi wala hamna haja ya kutumia nguvu sana kujua ukweli wote, Simba Trust ni family ya JAKAYA MRISHO KIKWETE.
Hii iko wazi mno. Basi hata kama hamna hatua zozote juu yake sababu ya kinga yake ni vema ikatambulika kuwa mkuu wa kaya kajimegea sehemu ya shamba la familia. Hii inawezekana Tanzania pekee!!!!
 
Haya yanawezekana Tanzania pekee.
Iko wazi wala hamna haja ya kutumia nguvu sana kujua ukweli wote, Simba Trust ni family ya JAKAYA MRISHO KIKWETE.
Hii iko wazi mno. Basi hata kama hamna hatua zozote juu yake sababu ya kinga yake ni vema ikatambulika kuwa mkuu wa kaya kajimegea sehemu ya shamba la familia. Hii inawezekana Tanzania pekee!!!!

Excellent 100%
 
BRELLA wanaweza kuwa na jibu halisi mmiliki was Simba trust, tuanzie hapo kwanza
Matter of fact, Singa Seth alitumiwa na huyu mheshimiwa wa Simba trust, ni nani na hatua gani zichukuliwe dhidi yake? Bungeni walisema eti waanze na Pinda kwani kumwajibisha rais ni ngumu. Inakuwaje ngumu kama naye ni mwizi!
 
Unapokuja na thread kama hii, lazima uwe na moyo wa chuma. Najua unataka nondo za kutibitisha unachojua ila hapa kucha na roho yako vinahusika kabisa, lazima ukubali matokeo!
 
Kuna uvumi unaendelea hapa Tanzania kwamba kampuni ya Simba Trust ilinufaika pia na fedha za TEGETA ESCROW.

Sasa najiuliza;-
★ Tunaogopa nini kulisema hili?
★ Nani anamiliki Simba Trust?
★ Kama ni Kikwete na familia yake ndio wanaimiliki hii kampuni kwanini wabunge wa upinzani na wanasheria hawalisemi hili kwa uwazi na kwanini hawaweki visibitisho hapa?
————★———–★—————
NB: TUSIPO DEAL NA SHINA, KAMWE TATIZO HALITAISHA.

Adm usiunganishe huu uzi uache ujitegemee.
 
Kamati haikuitaja kabisa na wala CAG, itasaidia nini ni ya nani?
 
Kasema mnamsingizia
 

Attachments

  • 1417329466439.jpg
    1417329466439.jpg
    86 KB · Views: 480
Kasema mnamsingizia, mnachuki, wazushi yeye hana hela kiasi hicho hahahahaaaaa
 
Mbona ripoti ya PAC mwishoni ilisema kabisa kwa kutumia quote ya Mwalimu Nyerere "ukimuwajibisha .....nchi lazima itayumba..'.

Sasa mnahoji nini kuhusu Simba trust?
So sad. TANESCO kupitia serikali walikuwa na uwezo wa kupata mitambo ya kuweza kuzalisha umeme wa kutosha nchi nzima lakini haya majizi yakasema serikali haiwezi kufanya biashara.

Bila hizi capacity charge familia maskini kijijini ingeweza kutumia umeme wa sh 2,000/= kwa matumizi ya nyumbani ikiwemo kupikia kwa mwezi mzima na tungeweza kuokoa misitu yetu.
 
Back
Top Bottom