Tunalazimika sasa kuifahamu SIMBA TRUST

Tunalazimika sasa kuifahamu SIMBA TRUST

Hahahahahaaaaaaa!mhekaya za Yeriko. Kwani si ulituambia kuwa Simba Trust inamilikiwa na Salama Kikwete na Miraji Kikwete?
Ndio maana yake na ndio maana anataka wananchi waifahamu kwa undani, una swali lingine?
 
Wakuu, kampuni ya PAP ndio inayotuhumiwa kama "Legal Person" kwa kufanya jinai mbali mbali ikiwa ni pamoja na kujinyakulia isivyo halali umiliki wa IPTL. Lakini PAP ni "Sethi 50% na Simba Trust 50%"! Kwa nini kwenye mijadala bungeni na hata kwenye maazimio ya PAC na hata ya Bunge, huyu "Simba Trust" hatajwi kabisa? Ni kwamba hahusiki au ni vipi?
 
wachana na habari ya simba trust, nchi itayumba. inagusa mahali nyeti kabisa kwenye hii nchi na hata maazimio ya bunge yamekuwa na utata kwa sababu hiyo. pesa zilizotoka stanbic zinahusika sana. imekuwa ngumu kujua ni nani walifaidika kwa kuwa zilichukuliwa taslimu yani alitoa mtu mmoja (mwenye akaunti) na kuzigawa kwa wahusika (simba trust ni mmoja wapo). ndo maana PAC walishindwa kujua ni akina nani kwa kuwa bank statement inaonesha muamala wa mmiliki tu, wakaishia kusema marumbesa, viroba, blah blah blah! na pesa zishasepa.
 
Wakuu, kampuni ya PAP ndio inayotuhumiwa kama "Legal Person" kwa kufanya jinai mbali mbali ikiwa ni pamoja na kujinyakulia isivyo halali umiliki wa IPTL. Lakini PAP ni "Sethi 50% na Simba Trust 50%"! Kwa nini kwenye mijadala bungeni na hata kwenye maazimio ya PAC na hata ya Bunge, huyu "Simba Trust" hatajwi kabisa? Ni kwamba hahusiki au ni vipi?
Huyo anaitwa Silent partner, kwa kawaida ni mtu ambaye anatumia fictitious names just as a hide out, ukiangalia trend jinsi AG alivyopigia kifua hawa PAP, hakuna shaka kabisa Simba trust atakuwa ndiye....nanii mwenyewe!.

Hata VIP sio JR, huyo JR yeye ni Front man tuu, wenye VIP ni wahindi
ABUBAKAR SOMJI,RIAZ SOMJI, ANIS MAMDANI & JAMES RUGEMALIRA=VIP ENGINEERING LTD
Pasco
 
Ndo maana nasema ripoti ya Pac imekuwa too shallow sema imejaziliziwa na mbwembwe kibao ..wameshindwa kuleta concrete findings wamekalia taarabu tu
 
Huyo anaitwa Silent partner, kwa kawaida ni mtu ambaye anatumia fictitious names just as a hide out, ukiangalia trend jinsi AG alivyopigia kifua hawa PAP, hakuna shaka kabisa Simba trust atakuwa ndiye....nanii mwenyewe!.

Hata VIP sio JR, huyo JR yeye ni Front man tuu, wenye VIP ni wahindi
ABUBAKAR SOMJI,RIAZ SOMJI, ANIS MAMDANI & JAMES RUGEMALIRA=VIP ENGINEERING LTD
Pasco

huyo mmiliki WA Simba trust ndo nani......pasco mtaje hapahapa..
 
Hii topic naomba iwekewe ile kitu sticky, najua tunavyoendelea atatokea muungwana atatujuza zaidi Pasco naona ameanza kidogo. nitafuatilia hii topic for the sake of understanding the reality ingawa najua PAC tayari wametuchuuza.

Ni hisia zangu Kumng'oa Pinda kusinge mwacha salama mfalme tezi dume, coz ile barua aliyosoma mbowe ya gavana kwenda kwa katibu mkuu kiongozi ili amjulishe Mkulu na waziri mkuu imeanika kila kitu.
 
Last edited by a moderator:
Kwa hali ilivyo tutasikia hivi karibuni msiba wa mmoja kati ya hawa musoma boys au ugonjwa mbaya kabisa kama wa Marehemu Mgimwa (R I P).Msimamo na kauli zao vinanitisha.
 
Simba trust alichukua kwa gunia ili kumpelekea mheshimiwa kuliko wote wa nchini lakini jicho la Mungu mkuu limeyaona haya na mwisho wake hakika utakua mbaya ata kwa vizazi vyao.Wav wanakufa kwa kukosa dawa na chakula wenyewe wanachezea pesa za umma,laana hakika itawapata.
 
Ndio maana mawaziri wakagoma kujiuzuru tena bila hofu......wanajua "mwenye zigo" ......PAC waliamua kufata ushauri wa Nyerere wa hatari ya kumgusa mkuu wa nchi.......hapa lazima tupambane rasimu ya Warioba ipite maana imetoa dawa muafaka........
 
Back
Top Bottom