Buldoza
JF-Expert Member
- May 2, 2013
- 2,307
- 986
huyo mmiliki wa simba trust ndo nani......pasco mtaje hapahapa..
tezidume & sons Co ltd.
huyo mmiliki wa simba trust ndo nani......pasco mtaje hapahapa..
Kasema mnamsingizia, mnachuki, wazushi yeye hana hela kiasi hicho hahahahaaaaa
Taratibu jamani,msije mkafumua mshono.
Ukila nyama ya mtu, hutahacha kamwe! TD alipiga pesa ya EPA kufadhili kampeni zake. Miaka michache baadae akagundua kuna "same loophole BoT" akaona apige tena!
This time ameamua kupiga 50% mwenyewe maana kwenye EPA walimzunguka akajiona mjinga. Lakini, ni mkuu gani wa kaya anayeona fahari kuiibia kaya yake simply b'cause kuna "loophole somewhere"?
Mambo mawili ni muhimu kufanyika:
1. Kutungwe sheria dhidi ya fedha zinazotunzwa BoT ili kuziba "loopholes" kama za EPA na ESCROW
2. AZAKI zioneshe kuwajali Watanzania kwa kufungua kesi ICC ili uchunguzi wa vyombo vya nje ufanyike na ikithibitika, basi TD apelekwe huko Nov. 2015.
TD amepiga sana fedha ya Watanzania!!
Ukweli huweka haki wazi,nivizuri tukamjua mhusika wa simba trust na simba trust ilihusika vip kwenye sakata la escrowKamati haikuitaja kabisa na wala CAG, itasaidia nini ni ya nani?
Ukweli huweka haki wazi,nivizuri tukamjua mhusika wa simba trust na simba trust ilihusika vip kwenye sakata la escrow
wachana na habari ya simba trust, nchi itayumba. inagusa mahali nyeti kabisa kwenye hii nchi na hata maazimio ya bunge yamekuwa na utata kwa sababu hiyo. pesa zilizotoka stanbic zinahusika sana. imekuwa ngumu kujua ni nani walifaidika kwa kuwa zilichukuliwa taslimu yani alitoa mtu mmoja (mwenye akaunti) na kuzigawa kwa wahusika (simba trust ni mmoja wapo). ndo maana PAC walishindwa kujua ni akina nani kwa kuwa bank statement inaonesha muamala wa mmiliki tu, wakaishia kusema marumbesa, viroba, blah blah blah! na pesa zishasepa.
Kasema mnamsingizia
Kamati haikuitaja kabisa na wala CAG, itasaidia nini ni ya nani?
Mshauri Mkuu apunguze wizi , anatumaliza Watanzania.
Hayo maelezo yako wapi? mimi sijayaona.