Kikwete kutawala nchi hii ni laana,na laana hii ni funzo mwenyezi Mungu ametupa Watanzania ili tuweze kujitambua na kujitathimini.
Kikwete kutawala ameanza siku nyingi kutuhujumu hasa kwenye umeme,1993 mtoto IPTL alizaliwa baba akiwa Kikwete,mipango yote kwenye umeme
energy sector ya nchi hii anaijua zaidi ya mtu yeyote ndani ya nchi hii na matatizo yote ya energy sector yameletwa na huyu mtu kwa maksudi tangu. 1993.
Kwahiyo
ndugu zangu Watanzania tuwe makini na aina ya watu tunaowaingiza madarakani kwa kura zetu.,
huyu jamaa TD alijipanga muda .mrefu kuwa rais wa nchi hii, infant he had a mission to ruin this country in whatever possible
way.ni mmoja wa watu waliofurahia kifo cha mwalimu.This guy had a mission na ameitimiza kwa 90%,kila kona Watanzania wanalia umaskini umetamalaki,bei za bidhaa hazishikiki,Uchumi umezorota,thamani ya pesa inaporomoka kila kukicha;
pengo la maskini na tajiri ni kama ahera na peponi,rushwa na wizi wa mali ya umma ni sawa na kunywa maji.
Watanzania tulifanya makosa,tujisahihishe ili tusirudie makosa.2015 tuwe macho na makini na aina
mtu atakayependekezwa
na hii satanic family.