aminiusiamini
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 3,577
- 2,226
Wanyarunda walisema hili kikwete alituma jeshi kulinda maslahi yake kumbe na zuma yuko?
Hahahahahaaaaaaa!mhekaya za Yeriko. Kwani si ulituambia kuwa Simba Trust inamilikiwa na Salama Kikwete na Miraji Kikwete?
Mkuu, Yeriko ameshasahau kuwa alitudanganya kuwa hiyo kampuni ni ya familia ya Kikwete
Huo ni mtazamo wako. Mmekuwa madalali wa nchi za magharibi
Yeriko umeanza kudharauliwa. Kama umefikia hatua ya kumnadi Kagame ndani ya ardhi ya Tanzania hakika umedharaulika sana
Uliposema inamilikiwa na Miraji Kikwete na SALAMA KIKWETE ulikuwa unataka kumfurahisha nani?
Yeriko tapeli huyu, akaja na mbwembwe nyingi kuhusu mmliliki wa Simba Trust , leo tena bila aibu anakuja na swaga zile zile. Anataka kufunika uongo wake
Sina sababu ya kujifunza kutoka kwa fedhuli na muongo. Juzi umetuambia vingine kuhusu hiyo Simba Trust na leo unaleta hekaya zingine
Yeriko ni mganga njaa tu pale Kinondoni mtaa wa Ufipa
Mada yako ya Simba Trust imekushusha thamani kabisa, iombe radhi kwanza familia ya rais, ndiyo uje na maneno yako ya vijiweni tena
we nawe zitakuwa zimekuruka siyo bure unaandika umbea wako kila siku ndiyo maana unapuuzwa tu.
Tatizo lenu bawacha mlitaka nchi iingie kwenye matatizo baada ya mipango yenu kushindwa mmebaki kupotosha na kujenga umbea.
I'm I dreaming?. Hivi sio wewe ulikuja humu kutuambia Simba ni ya nani?!, leo unarudi tena kuuliza?!.Kampuni hii inayomiliki hisa 50% kwenye kampuni ya PAP iliyonunua hisa zote za IPTL iliyoliingiza taifa kwenye hasara ya trilioni moja nukta nane hilo ni sehemu ya sababu ya watz kulazimika kuifahamu.
Tutumie mda wetu kwa maslahi mapana ya taifa letu kuitafuta Simba Trust na umiliki wake na biashara zake hii ni baada ya wale niliowataja wiki juzi kukanusha umiliki huo, ili tujue tunayepambana nae ni nani? isije kuwa ndie tuliyemtanguliza vitani..
I'm I dreaming?. Hivi sio wewe ulikuja humu kutuambia Simba ni ya nani?!, leo unarudi tena kuuliza?!.
Hata hivyo, nakuunga mkono, wewe ni miongoni wa wale mashujaa wachache sana wa jf, wenye ujasiri na guts za leo kusimama na kushika karatasi nyeusi na kutuaminisha ni nyeupe, na tukakukubalia, kisha kesho yake ukaja na karatasi ile ile ya jana na kutuambia sasa ni nyeusi na bado tukakusikiliza na kukubalia!.
Kitu ambacho ninakukubali ni kipaji chako cha utungaji, uwezo wako unafanana sana na yule mwandishi wa Jason Bourne!.
Hongera.
Pasco

Asante sana mkuu wangu kwakuwafunda hawa vijana
Mkuu Umetoa fundo la maana........