Tunakumbushana tu

Na mara zote kwanini huwa tunasubirishana hadi tukosane?

Natamani niweke sanduku la maoni mtaani ili nikusanye kasoro, kero na mapungufu yangu.
 
"unafikiri Mimi kuna kitu GANI ninachobembelezea kwako"!

"Unataka kunitumia wewe na ndugu ZAKO"

"Mimi najijua ni mwanamke mpambanaji sana na nina uwezo wa kupambana na maisha"!!

Alisikia mke wa jamaa akibwabwaja KWA hasira kali!!

Mambo ni 🔥!!
 
Na mara zote kwanini huwa tunasubirishana hadi tukosane?

Natamani niweke sanduku la maoni mtaani ili nikusanye kasoro, kero na mapungufu yangu.
🤣🤣🤣🤣🤣 Sanduku tena🙆
 
Hizi ndoa hizi ni nyoko🤣🤣🤣🤭🙌
 
DONT MAKE DECISION WHEN YOU ARE ANGRY,
DONT MAKE PROMISES WHEN YOU ARE HAPPY.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…