Tunakumbushana tu

🤣🤣🤣 Inaumiza sana aisee
 
Lekaji neyo bhabehi......hakunaga neno linanalotoka kinywan mwa mtu lisilo na maana....na hakunaga msamaha unaofuta kila kitu😩😩
 
Lekaji neyo bhabehi......hakunaga neno linanalotoka kinywan mwa mtu lisilo na maana....na hakunaga msamaha unaofuta kila kitu😩😩
Wewe umenielewa vizuri sana...hakuna neno litokalo lisilo na maana
 
Hahahaa mnaona sasa mnavyotusimanga
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…