Tunakumbushana tu

Mm naamini wakati wa matan ndo mtu anapitishia ukwel ndan yake .kumbuka utani n maneno ya mizaha ila yenye ukwel ndani yake......kuwa makin na matani ya watu wako wa karbu....huo ndo ukwel..🤨
Ni kweli mkuu
 
🤣🤣🤣🤣🤭 Unataka kusema nini mkuu?
 
ulimsaidia mwana, una sehemu yako mbinguni😂
 
Ni kweli kabisa, mtu akisema ww sikupendi kaa nae mbali maana kinachofuata
 
Mimi Nina dada YANGU SIO MLEVI WALA NINI !!!!ILA ALITAMKA KWA HASIRA KWAMBA SIKUPENDI KWAIYO HAPO MTU MWENYE HASIRA IN NORMAL STATE NA MTU ALIYEPIGA KAMNYWESO WANAONGEAGA UKWELI
 
Kuna siku nilikuwa kikombe halafu wife akaanza kuniletea mdomo kuhusu gambe ebanae nikamfungukia kwa hasira za maji vile vile "kwanza shukuru Mungu siku nakutongoza nilikuwa nimekunywa" unadhani ningekuwa timamu ningekutokea?!
basi ugomvi ukaishia palepale.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…