Tunakumbushana tu

Tunakumbushana tu

  • Thread starter Thread starter Deleted member 485868
  • Start date Start date
Kweli mwaya kukaa tu na kukubali kuwa goolkeeper basi utashiba masimango sababu kila utakachohitaji lazima uombe na kuomba kuna mawili kupewa na maneno juu au kutokupewa kabisa.

Tuamkeni tu kwa kweli kwa kutafuta vya kwetu. Vyao hatuvikatai ila viwe ziada.
Ukweli mtupu my dear..wanawake yatupasa tuamke jamani

Kuna mwanamke uku mtaani akiomba pesa kwa mumewe hadi majirani twajua loh! Atachambwa yeye na familia nzima ndipo apewe pesa.. Na alivyozuzu sasa hana akili ya kusema atafute.. Ukimuuliza anajibu "nimeshamzoea mie"
 
Hahahaaa. Anaishi kwa mazowea lol.

Huyo mpaka akikumbuka shuka kumeshakucha. Ningekuwa mie nisingeweza jamaani.

Yaani ningeshajitafutia shughuli ya kufanya.
 
Yeye hana hiyo akili hata kidogo.. Anavyotukanwa na kusimangwa ye ajionea sawa tu
 
Umeonaeee. Haiwezekani kuwa na mahusiano yaliyo sawa na kitunguu maji kila ukikikata machozi hayakosekani.

Thats exactly my dada.

Kuna shost mmoja huku alienda hadi benki kukopa amhonge mwanaume ili pendo lishamiri lkn kilichofuata baada ya hapo ni maumivu.
Mapenzi yanatoka moyoni ukiona hupendwi kimbia wala usigeuke nyuma.
 
Huyo shosy akili zake anazijua mwenyewe kwa kweli.

Kabisaaaa. Ndio maana siku zote wanasema penda unapopendwa.
 
Thats exactly my dada.

Kuna shost mmoja huku alienda hadi benki kukopa amhonge mwanaume ili pendo lishamiri lkn kilichofuata baada ya hapo ni maumivu.
Mapenzi yanatoka moyoni ukiona hupendwi kimbia wala usigeuke nyuma.
Angepimwa akili...mwenye akili timamu hawezi fanya huo ujinga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom