Tunakumbushana tu

Tunakumbushana tu

  • Thread starter Thread starter Deleted member 485868
  • Start date Start date
Ukiona mtu anakufanyia makusudi unaachana naye ,kuliko kugeuka kua mshumaa !!.

Kama mimi, naupenda sana moyo wangu. Maana ndio kila kitu. Sasa eti itokee mwanamke anipe changamoto inayofanya hata chakula nikione kichungu?? Weee na kasema ? Navyopenda kula ivi??? Wengine shugul zetu zinatumia akili sana kuliko nguvu, bado unichanganye akili??

Hapo nakataa ndomaana kuna kasheria kangu nasemaga " mwanamke ,kukupenda nitakupenda mpaka ujishangae lakini pia naweza kuishi bila wewe ikiwa tu atanipa nyakati ngumu"
Na kweli suluhu ni kuachana tu hapo..kujipa jakaa La moyo kisa nn!!

Uvumilie makusudi umezaliwa nae!!
 
unawezaje kumpa mtu moyo wako...si utakufa....au sijaelewa??
kujitambua kwa wanawake ni jambo la msingi sana......tatizo ila sio wote....wanadhani kujitambua ni kukwepa wanaume....utamkwepaje mtu mume wakati ndie aliekutoa ubavuni mwake......kikubwa ni kuthaminiana na kuheshimiana....asante
 
Very simple na nimekuelewa sana mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom