Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,096
- 8,199
Wanaume tunatakiwa kuishi nao kwa akili ya hali ya juu sana maana hawaeleweki hawa viumbe ni shida tu.
Hahaha chizi kwaajili yako ujue ... Ndio anafanya sawasawa bana ....kuna vitofauti vidogo dogo tu vyakawaidaHahahaha Vlad chizi kabisa wewe..
Uwajibikaji upo.. Je! Huyo anaetaka kuwajibikiwa anafanya sawa na muwajibikaji??
NashukuruAsante tumekuelewa.
Kwakweli..na wakikupenda waweza on dunia yote yako subiri sasa wabadilike waweza hisi ulikua unadate na mnyamaWanaume tunatakiwa kuishi nao kwa akili ya hali ya juu sana maana hawaeleweki hawa viumbe ni shida tu.
Asante pia lovieAsante mama kwa kutukumbusha
Vitofauti vidogo vidogo ndivyo vinavyomuumiza muwajibikaji na kufanya moyo upoeHahaha chizi kwaajili yako ujue ... Ndio anafanya sawasawa bana ....kuna vitofauti vidogo dogo tu vyakawaida
Bila kuwepo hivo vitofaut basi mahusiano yasingekua namaana na yangekua yanachacha mapema sana.Vitofauti vidogo vidogo ndivyo vinavyomuumiza muwajibikaji na kufanya moyo upoe
Sawa changamoto zipo lakini kuna changamoto nyingine uwiiiiii ni za makusudi na hazivumilizikiBila kuwepo hivo vitofaut basi mahusiano yasingekua namaana na yangekua yanachacha mapema sana.
Changamoto zipo kutuimarisha ...ila zipo changamoto zinazotokana na maudhi ambayo yanaboa ,hayo hata mimi siyataki.
Apo napo utulivu akilk na busara huitajika kumjua..yupo ni sahihi na yupi ni fakeIshu ipo kwenye kumtambua kuwa ataudhamini moyo wako au laah maana mwanzoni huwa tuna kauli nzuri sana
Na mwanaume?Tatizo mwanamke hana wa kumnyenyekea tofauti na mwanaume.
Kabisa yani... kuna mwngne anayaona hayo kabla ila kuna kale ka imani atabadilika tu...kujidanganya tuSafi halafu mambo ya kujitoa ufahamu wa kumpenda asiekuthamini yalishapitwa na wakati.
Ukiona mtu anakufanyia makusudi unaachana naye ,kuliko kugeuka kua mshumaa !!.Sawa changamoto zipo lakini kuna changamoto nyingine uwiiiiii ni za makusudi na hazivumiliziki
Kwani ushaur wako unamlenga nani?..Na mwanaume?
Wengi huwa mnaingia mkenge sana baadae ndio mnaanza kujuta na ushatafunwa kitamboApo napo utulivu akilk na busara huitajika kumjua..yupo ni sahihi na yupi ni fake
Wanawake but sawa nimekusomaKwani ushaur wako unamlenga nani?..
Hapo napo umenena mkuuWengi huwa mnaingia mkenge sana baadae ndio mnaanza kujuta na ushatafunwa kitambo