Tunakumbushana tu

Tunakumbushana tu

  • Thread starter Thread starter Deleted member 485868
  • Start date Start date
Umewahi kumpenda mtu hadi akijamba Unasema Asanteeee?? Acha kabisaaaa aiseeee! Wewe Uko Dar yeye Moro but utatamani Uwe nae kila dakika....
 
Aiseeee
 
Ahsante sana mwaya. Maneno mazuri kabisa mwaya.

Na mie nakazia kwa kusema tujitambue na kujua thamani yetu bila kusahau wanawake, tuwe watafutaji ili tutumie vya kwetu na sio kutegemea vya wanaume ambavyo vingi vinamasimango.
 
Swadaktaa.. Hakuna kitu kizuri Kama mwanamke kua mtafutaji...yanini kusubiri masimango na umepewa akili na utashi...uko sahihi dear
 
Kweli mwaya kukaa tu na kukubali kuwa goalkeeper basi utashiba masimango sababu kila utakachohitaji lazima uombe na kuomba kuna mawili kupewa na maneno juu au kutokupewa kabisa.

Tuamkeni tu kwa kweli kwa kutafuta vya kwetu. Vyao hatuvikatai ila viwe ziada.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom