Mbona wapare wameweza kula ugali kwa picha ya samaki...
Chonde chonde tembo wetu huko...grafani11 naamini sasa unataka nirudi kule secondary kutumia mikono kusafisha ubao wakati duster ipo aise na mimi sitaki bana
Siwezi kula kwa macho wakati uhalisia upo aise siishi jangwani (samahani sio yanga pale) ila niko ngorongoro bana maji 24/7/365
Chonde chonde tembo wetu huko...
Red Scorpion dah ndo hapo sasa furushi la pesa ila sio zake ni na za huyo mtu mzima aliyebebwa
Wewe kweli mchaga, kama ni furushi la hela ungembeba, teh teh teh teh
Mchaga wewe na hela. LooH!!!
pesa muhimu maisha ya asasa.....
sawa mkuu na asante kwa ujumbe mzuriChangamoto inabaki kuwa pesa ni shs ngapi? Vinginevyo pesa haijawahi kutosha... na kama tunakubaliana?
Ndo maana kitabu cha Mhubiri 7:14 kinasema "Wakati wa kufurahi FURAHI na wakati wa shida FIKIRI maana BWANA ameefanya hivyo ili mwanadamu asijue litakalo mpata kesho" cc Mr Rocky