hapana... labda kama hapo kichwani ni furushi la hela
Linaweza likawa ni furushi la hela kweli lakini c kwamatumizi yake binafsi ni kwaajili ya familia yote yaani pamoja na hela za kunywea pombe baba!
miss chagga kuna watu nimebishana nao sana kuhusu hili na eti wanaiita hiyo ni true love mi naona ni utumwa tuu na hakuna mapenzi hapo
kweli miss chagga huo ni ujinga wala hakuna mapenzi hapo
Mr Rocky hapo kuna true love, tena sana kuanzia mama, hadi watoto. Inaonekana huyo mzee ni mgonjwa, ukiitazama hiyo picha kwa umakini.Yes Yes Yo nakubaliana na wewe ni makubaliano ila in reality kuna true love hapo
Je kweli hapa kuna true love wakuu
Naweza kukubaliana na wewe kama kusingekuwa na hayo maandishi hapo pembeni ya true love. Yes Yes Yo
watu8 kwake mchoraji anaona kama ni true love ila kwa uhalisia wewe unaonaje