Mchoro huwa unabeba ujumbe wenye maudhui fulani na wakati mwingine huambatanishwa na hekaya au hadithi kujaribu kudadavua zaidi kilichoandikwa.
Sasa kwa kuwa ni mchoro tu hatuna uhakika wa sababu zilizopelekea huyo mwanaume kubebwa na mkewe.
Huenda ni mgonjwa, mlemavu, majeruhi na kwa sababu hizo chache huenda mchoraji aliamua ku-potray namna upendo wa mwanamke ulivyo radhi kujitwisha mwili wa mume akiwa katika kadhia.
Kwa upande wa pili inawezekana kabisa kuna shurti iliyofanyika na mwanaume kiasi kwamba mchoraji anajaribu kukemea aina hii ya unyanyasaji wa mwanamke na watoto.
Hayo nimeeleza kwa uchache tu na ndio maana nikauliza, je aliyechora kikaragosi hicho ndiye aliyeandika hayo maneno?
Pia kwa haraharaka iyo picha inaweza kua na tafsiri zaidi ya moja.
1. Mzee anapenda umwinyi ( hakuna penzi la kweli na ni ukandamizaji )
2. Ndio walivyo kubaliana, huenda mzee alimbeba wakati wanaenda ( kuna mapenzi ya kweli )
3. Huenda hao watoto, kuna kitu walikaidi kwaiyo wakaona mzee alingishie, hii utotoni nimefanyiwa nilipo kua nakaidi kitu flani, una kuta mama anampa baba, ukiona ivyo haraka unajirudi. ( kuna mapenzi ya kweli )
ni hayo tu Mr Rocky
hapana... labda kama hapo kichwani ni furushi la hela
Je kweli hapa kuna true love wakuu
hapana... labda kama hapo kichwani ni furushi la hela
Mambo vipi mkuu Rocky?Mkuu utafiti mammbo poa kabisa . Mkuu Ntuzu hapo naungana na utafiti kusema kabisa huo ni unyanyasaji tena wa hali ya juu ambao haupaswi kuwepo na wafaa kukemewa
hakuna true love hapo ila ni kunyanyasika kwa mwanamke na ingekuwa vyema hata kama anaumwa akasaidiwa sawa ila sio katika hali kama hiyo abebe mzigo na mtoto na mume tena hapo hapana grafani11 sawa mapenzi ya tanga twayajua ila sio katika hali kama hiyo hapo juu
Mwambie mwanamke wa kitanga abebe mzigo na mtoto na akubebe na wewe mume uone kama atakubali
Mkuu nipo sana tu, wewe ndiyo hupitii mtaa wa kule chini. Heaven on earth anajua
Komandoo kama wewe unaogopa sisimizi? Hahahahahahaaaaaaa....Ule mtaa nauogopa sana aise una vitu vya hatari na vyenye ncha kali na vyenye uwezo wa kutoa kucha na meno bila ganzi so huwa sipiti kabisa
Je kweli hapa kuna true love wakuu