Tunakoelekea mmmh! (Only DIT, UDSM, IAA and Mzumbe graduates)

Tunakoelekea mmmh! (Only DIT, UDSM, IAA and Mzumbe graduates)

Sikiliza ndugu yangu. Hujui pia na mm nimesoma nn , japo ni hapahapa tanzania. Wewe unayejitapa umesoma chuo kikali duniani huna lolote , watu kama nyie mliokimbilia nje ya nchi mara nyingi ni baada ya kukosa fursa hapa tz na ufaulu wenu kuwa mdogo. Sasa ndio mnakimbilia vyuo uchwara huko malaysia na india kwa visenti vya madafu vya wazazi wenu , ila watu kama sisi hatubabaiki. Na mm najua hujasoma chuo chochote kikali , ur just a looser. Pole sana.

Hahaha, sijajitapa mtanzania, we ndo umekuja na kuanza kutamba ati udsm vimenipita pembeni.. na ninaona dharau zako bado hujaacha, sasa kwa taarifa yako sijawahi kua na ufaulu mdogo toka nazaliwa, ka ni special nimepiga toka chini na chuo sikwenda hivo vyuo mkwara unavoita, na sijatumia hela ya mzazi hata kumi, yote nimelipiwa na chuo 100% scholarship haitolewi kwa wajinga, kwa hiyo kama unadhani mi ni kilaza endelea kufikiria hivo.. Sina muda wa kujitapa chuo nlichosoma kama wewe unapiga sijui UdsM au DIT unajiona elimu ndo umemaliza kila kitu, afu kilaza lazima utakuwa wewe hapo, nyie ndo mnapata one za mwisho afu mnadhani wanaopiga one kali wameisha mnahisi mmesimama juu ya dunia.. wewe nani unaita wenzako humu ndani vilaza? kwa kipi ulichofanikiwa hadi leo hii?
 
Mimi naona tuweke vyeti tu sasa kwa hapa tulipofikia. Kama upo tayari sema , mimi nipo tayari kuleta vyeti vyangu hapa , kwanzia mwanzo wa kusoma mpaka gamba la mwisho ulipoishia.
 
Mimi naona tuweke vyeti tu sasa kwa hapa tulipofikia. Kama upo tayari sema , mimi nipo tayari kuleta vyeti vyangu hapa , kwanzia mwanzo wa kusoma mpaka gamba la mwisho ulipoishia.

Umeona sasa ulivo mjinga!!! unapenda sana ushindani wa kijinga sana we jamaa... Hahaha mtoto wa UDSM!!
 
Mimi naona tuweke vyeti tu sasa kwa hapa tulipofikia. Kama upo tayari sema , mimi nipo tayari kuleta vyeti vyangu hapa , kwanzia mwanzo wa kusoma mpaka gamba la mwisho ulipoishia.

achen taarabu bhas inatosha, aya tumewaelewa wewe mtoto wa udism na Dreson man from abroad.... cku iz atuangalii vyet tunaangalia what u have into your brain.......
 
Udsm mnaringia nini? Division 1 with no contribution to ur country? Wewe unayejitamba na udsm yako umevumbua nini? Kama chuo ni bora? Au mnaringia majengo ya mkoloni? Ujingaa tuh Udsm kipindi kileee sio hik
 
mmi sikubaliani kwamba quality assurance inatokana na jina la taasis hili suala kwa mtazamo wangu wa kawaida tu naona lipo kwa candidate mwenyewe nakumbuka nishawahi kushiriki interview moja erolink na ma graduate wa UDSM mtu kujielezea hawez kabisa licha tu ya lugha ya kikristo lakin hata akipewa the same chance kwa lugha ya madafu angezogoa mmi nilikua ndio kwanza nimemaliza form six nikawapiga chin wanyama wa UDSM nikaramba kibarua japo kilikua cha kiranguz so jina la taasis sio issue sana watu waache mawazo mgando

ndugu yangu nasoma sheria hapa udsm......style ya ifundishaji , the way malecture na ma proffessor wanavyofundisha + assignments,researchers ,he,cw, field w, na maisha ya chuo kwa ujumla kumcompare huyu MTU na mtoto wa form six ni tusi kubwa anyway mi nashauri tu wadogo zangu wanaosoma wapige msuli kwa bidii chance udsm ni chache so its only for the chosen few ,,,competition ni kubwa mno na msuli wa hapa sio lele mama spoon feeding tupa kule saut n vinginevyo apa ukileta mchezo ni kudisco tu ndo maana kijana aliyevaa joho La udsm ameiva hilo halina ubishi!
 
Hamna kitu ww na Udsm yako unayo iita bora umechangia nn nchini? Chuo chenyewe kila prof na Dr anataka kuwa mwanasiasa Duuh tutafika kweli? Udsm imebaki Jina tu nikwamba kilikuwa not now
 
KILA FANI INA CHUO CHAKE AMBACHO KIKO VIZURI KWA BONGO YETU.MFANO FANI ZOTE ZA UFUNDI UDSM HAIINGII KWA DIT MBEYA NA ARUSHA TECH YA ENZI HIZO
UHASIBU NA BIASHARA(TIA,AIA.ifm na hata mzumbe )
maendeleo ya jamii(mzumbe).
utalii(tumaini iringa)
uchumi(udsm)
mipango(irdp)
kuthibitisha tafuta watu walio kwenye interview panel za ofisi za uma na field oficer waseme output za vyuo kwenye maeneo husika.pia mwenye uzoefu wa miaka kumi na tano au ishirini kwenye ajira ataona haya,pia
tunaishi dunia ambayo si ya kukalili,mitaala ambayo haiendani na soko la ajira pasipo juhud binafsi graduate ataonekana kilaza
 
kila wizara iliandaa vyuo vyake kutokana na malengo mahususi mfano chuo cha uhasibu arusha hata ukisoma it lazima upitie mambo ya account.
mfano mwingine adv diploma wa mweka-cawm yuko juu kuliko sua na udsm(wildlife mngt ambapo wote ni miaka 3 wanasoma)
chukua mambo ya fedha nenda mzumbe then udsm uone tofauti.
 
Jamani me nmesoma udom na nmekutana interview utumishi na graduates wa ardhi, udsm, mucobs, tia n.k. lucky enough nmeitwa na hao wa mentioned vyuo wameishia kutoa macho, so tusikariri majina ya vyuo tu. Nawasilisha wakuu
 
Hahaha, sijajitapa mtanzania, we ndo umekuja na kuanza kutamba ati udsm vimenipita pembeni.. na ninaona dharau zako bado hujaacha, sasa kwa taarifa yako sijawahi kua na ufaulu mdogo toka nazaliwa, ka ni special nimepiga toka chini na chuo sikwenda hivo vyuo mkwara unavoita, na sijatumia hela ya mzazi hata kumi, yote nimelipiwa na chuo 100% scholarship haitolewi kwa wajinga, kwa hiyo kama unadhani mi ni kilaza endelea kufikiria hivo.. Sina muda wa kujitapa chuo nlichosoma kama wewe unapiga sijui UdsM au DIT unajiona elimu ndo umemaliza kila kitu, afu kilaza lazima utakuwa wewe hapo, nyie ndo mnapata one za mwisho afu mnadhani wanaopiga one kali wameisha mnahisi mmesimama juu ya dunia.. wewe nani unaita wenzako humu ndani vilaza? kwa kipi ulichofanikiwa hadi leo hii?

Kusoma kwa scholarship haimaanishi ww unaakili sana kwanza hizo nafasi walikuwa wanapeana watoto wa wakubwa na wenye michongo pale wizaran
Watu kibao waliopiga one za 3,4,5 mwaka 2005 tena PCB, na PCM tulikosa hizo nafasi wakati wenye division 2,3 wakapata kwa sababu Ya kujuana pale Wizaran
 
Hizoo ni bwebwe tuu ndugu yanguu in short
Unaposikia nafasi za kazi zimetangazwa kwa mfumo huoo.... ujue kuna ndugu wameshandaa ndugu zao... kwa ajili ya hiyo
Kazi.....

Hata ukisikia umeitwa katika interview
Usije ukajipa moyo eti umesoma udsm
Una g.p.a kali upoo nondoo utapata hiyo kazi ..... lakini huwezi amini unaulizwa
Ukiwa kwenye panel unaulizwa maswali
Unajibuu kwa mbebwee .... kumbe
Watu wanakuchoraa tuu wameshandaa mtu wao.....

Huu ndo ukweli hii nchi kama huna mtu unayefahamiana ....katika ajira
Utazunguka vyuo vyotee mwisho wa siku utarudi nyumbanii

Itokee sasa na nyumbani hauna...na lilaaniwe tumbo la mama yangu!
 
Nimesoma comment zenu nimegundua walalamikaji wengi hamkusoma hivyo vyuo vilivyotajwa hapo na hiyo kampuni na kama hii ingalikuwa interview wote mngeondolewa hatua ya kwanza .Nimeona commet zinazoashiria kuwa IT ni programming jambo ambalo sio na halijaandikwa na mleta mada, mmelitoa wapi hili?Mwanafunzi wa UDSM IFM MZUMBE IAA hawewezi kureason hivi.Mwajiri angalipenda mtu mwenye uwezo katika uongozi wa watumishi ,MWENYE Uwezo wa kutawala raslimali manunuzi,uwezo wa kutunza kumbukumbu, nidhamu (kuna vyouo wanaishi kama watoto wa sekondari hawana culture inayofaa ni utoto ndio umetawala na mtu mwenye kuweza kujenga mahusiano mazuri ya ndani na nje ya kampuni.Sasa nyoote kasoro wachache ambao naamini ndo type ya UDSM IFM MZUMBE wamakipilia ufundi tu basi unaposoma kozi flani unapewa masomo kwenye mambo mengine yanayoambatana nayo.Sasa hivyo vyuo vingine hawatilii mkazo hayo mengine wanafikiri wanafundisha mafundi.
 
Kuna tatizo hapo,IT inahitaji competency na sio vyeti.
Binafsi ni graduate wa computer science lakini kuna watu wengi wamenifundisha kazi na hawana hata certificate ila walikuwa exposed mapema kwenye hii field so wamecheza na mabadiliko ya hii technology since day one.
NB:soon nitalunch my own CIT Company na mwenye sifa ya kuajiliwa ni atakae demostrate handone skills cheti sitohitaji.
 
Kusoma kwa scholarship haimaanishi ww unaakili sana kwanza hizo nafasi walikuwa wanapeana watoto wa wakubwa na wenye michongo pale wizaran
Watu kibao waliopiga one za 3,4,5 mwaka 2005 tena PCB, na PCM tulikosa hizo nafasi wakati wenye division 2,3 wakapata kwa sababu Ya kujuana pale Wizaran

Scholarship za chuo kipi hicho wanatoa wizarani??? wizarani utakutana na scholarship za government mbalimbali peke yake.

Na kwa nini unakimbilia kuassume kua naweza kua mtoto wa mtu mkubwa? unanifahamu? Wabongo mnakosa competency mnakaa mnatafuta visingizio kila siku, afu kwa taarifa yako sio A peke yake zinazokupa scholarship, kuna factors nyingi pembeni, vyuo vikubwa hizo A karibia kila mtu anazo usidhani zitakusaidia sana..

Na msiojua scholarship process ikoje mtakaa mnasingizia wizara, kwa taarifa yako wizarani hawatoi scholarship, wao wanaforward tu documents kwenda kwa wanaotoa scholarship wenyewe... Tafuta watoto wa wakubwa walioenda kwa scholarship ulete list hapa na mimi nikuletee list ya watoto wa wakulima..
 
kaka VETA wako vizuri kwenye practical

Mkuu kweli kabisa! Kuna chuo ki1 cha VETA nimefanya nao kazi! Jamaa wana facilities za techno kutoka Korea, afu wana wataalamu kutoka Korea hukitembelea chuo na staff wa hicho chuo pia huenda Korea ktk ile mnaita technology transfer!
Aisee wanafunzi wa hapo wako vzr practical mpk unashindwa kuamini kuwa ni Tanzania hii hii!
 
Elimu ipo kichwani na sio kwenye makaratasi...kuna mjomba wangu alipitia gereji miaka mingi iliyopita....baada ya kuona maisha ya ufundi hasa wa mitaani ni magumu sana akakimbilia mwanza kwa kaka yake....kwa kuwa hakuwa na elimu ya darasani....akafanikiwa kupata kibarua kwenye kampuni flani ya kuchimba madini kama mlinzi......alikaa getini kwa miaka minne....ndipo siku moja kuna mtambo mmoja ulileta hitirafu...yule injinia alihangaika sana na mavitabu yake....alipekuwa mpaka vidole vikatoa jasho.....ndipo yule bwana wakati anapiga doria za kawaida akapita karibu na hilo eneo yule injinia akamwita akiwa na mzungu ili amshikie vifaa wakati akiwa anahangaika....ulipotimia muda la lunch yule injinia akaenda kupata lunch kwa mbwembwe...huku nyuma alibaki yule mzungu na yule mlinzi....wakati yule mzungu akiwa anatafakali cha kufanya maana ule mtambo ni muhimu sana kwa shughuli za pale mgodini.....yule mlinzi ambaye alikuwa anautazama ule mtambo kwa umakini wa hali ya juu...akamwambia yule mzungu kuwa anaweza akamtengezea....yule mzungu bila ubishi akamkabidhi vifaa jamaa akazama uvunguni...ambapo alikaa kama dakika kumi...alipotoka uvunguni akamwambia mzungu awashe mtambo....katika hali iliyomshangaza yile mzungu ule mtambo uliwaka na kuanza kufanya kazi...mpaka anakuja yule injinia anakuta yule injinia anakuta mtambo unafanya kazi hakuyaamini macho yake pale alipoambiwa kuwa aliyefanya kazi hyo ni huyo mlinzi alichoka kabisa....kiilichotokea baada ya hapo ni kuwa mjomba ambaye ni mlinzi alikabidhiwa mitambo yote ya pale aisimamie......alilipwa mshahara ambao kwake ulikuwa kama ndoto...
 
sasa sikieni tupo kwenye enterview Tra tangy wiki iliyopita wanafunzi wengi ni TIA .MZUMBE.AIA.IFM.CBE HAO NDO WENGI UDSM WAKUTAFUTIZA MUSEZESHANE UJINGA KILA COURZE NA VYUO VYAKE UHASIBU HAWAWEZI WAKAMUACHA MTU WA IFM.MZUMBE.TIA AU AIA WAMUCHUKUE WA UDSM FUATILIA TRA NA TPA VYUO HIVO NDO WENGI HALIMASHAURI NDO USISEME SO KILA CHUO KINA COURSE ZINAKUBALIKA MBONA WATU WA UDOM BIZNESS WAKIMALIZA MWENYE GPA KUANZIA 3.8 ANAINGIA CRDB BILA USAHILI NYIE TUMIENI BUSARA CO MUNAANDIKA UTUMBO HAPA NYIE KINA MUHONGO NINI
 
Usifananishe programming na uhasibu. Programming ni kitu chengine. Hii kitu ukariri bali unatakiwa uelewe Concept ya ku coding. Pia kwenye programming kuna zaidi ya language 100 kama hijui. Huwezi kufundushwa zote. Unafundishwa baadhi tena Concept tu. Ukishaelwa umaweza ukosoma language yoyote unayotaka mwenyew au , ukaanzisha yako wewe. Kama uwelewi acha kufananisha hii tasnia na tasnia nyengine.
 
Back
Top Bottom