Tunakoelekea mmmh! (Only DIT, UDSM, IAA and Mzumbe graduates)

Tunakoelekea mmmh! (Only DIT, UDSM, IAA and Mzumbe graduates)

Ni namna ya kuwabagua watu kutokana na vyuo walivyosoma. Hao tunaowaita mafisadi leo katika ofisi za umma wengi wao walisoma UDSM sijui hapo huyo anayesaka wafanyakazi amecheki na hilo??
 
haaaa!!! kumbe ukombozi wa fikra bado saaaana! kuna watu bado wana akiri za kikoloni.....
 
Tunakoelekea sijui,ila kila jambo lina sababu yake.
Kampuni imetangaza kazi ya mambo ya IT ila inataka waliosoma DIT, UDSM, IAA and Mzumbe tu.Inawezekana wakawa sahihi au si sahihi kutegemeana na mtazamo wao na wako(perception).Sijajua waliosoma vyuo vingine tofauti na vilivyotajwa hapo juu wako deep in shallow au walishawahi kuharibu na kuacha sifa mbaya?Na je ni sahihi kunihukumu mimi kwa kosa la mtu mwingine aliyesoma chuo nilichosoma mimi?Je ni sahihi kufanya "generalisation" kuwa chuo fulani ni wazuri au wabaya kwa kutumia sample ya watu possible less than 20?
Hili unalionaje?Tunaelekea ni kama wenye nyumba kuna dalali mmoja alisema mwenye nyumba hatiki Wahaya na Wachaga.Kwa nini?Mchaga anaijua sana pesa na Muhaya atasumbua anajua Sheria(dont take it too serious!).
Je si jambo jema kama wangesema mapungufu ya hivyo vyuo vingine ili wajirekebisha?
Hii ndiyo Tanzania.

Kwa mtazamo wangu nadhani kuna tatizo la baadhi ya vyuo kutokuwa na quality assurance systems za kutosha. Unakuta mtu kamaliza computer science au kozi nyingine lakini hajui even ABC za hiyo kozi. Nimewahi kukutana na watu wa namna hiyo na wanatoka kwenye baadhi ya vyuo. Ni kweli si sahihi kujumuisha mtazamo kwa kila mwanafunzi but nafikiri inabidi vyuo vingi vijitahidi kuhakikisha kuimarisha reputation za vyuo vyao haziwi compromised kwa kutojali quality ya elimu. Katika baadhi ya nchi wanaangalia hata chuo ulichotoka before hujapewa nafasi ya kujiunga na chuo kingine kwa ajili ya elimu ya Masters au Phd; wengine wanakupiga paper kabisa. Nakumbuka kuna lecturer mmoja hapa bongo aliwahi kukataliwa Phd yake kwa kuzingatia chuo alichotoka...

Hata hivyo vyuo vilivyotajwa hapo juu kuna ambavyo vina shida ya quality na kwa mtazamo huo na kwa kuhofia kuwa affected na hizo stereotypes since sijafanya research stahiki (no research, no right to speak / conclude on researchable facts), naona ni vyema nikawa neutral kwa kuto-endorse au kupinga selection yao ya hivyo vyuo hapo juu.
 
Ni namna ya kuwabagua watu kutokana na vyuo walivyosoma. Hao tunaowaita mafisadi leo katika ofisi za umma wengi wao walisoma UDSM sijui hapo huyo anayesaka wafanyakazi amecheki na hilo??

Ila serikalini nako kuna wa vyuo vingine kama IDM Mzumbe (ya enzi hizo), Mzumbe University (ya leo) na IFM. But anyways, since sijafanya research naomba nikae kimya kwanza; but wewe je mwenzangu, umefanya research kujua ratio ya UDSM graduates versus other colleges kwenye ofisi za serikali..?
 
it pains......ila nahisi walikimbia shule au itakua job description haikuandaliwa na professional HR.......kama angekua hr alosoma sheria za kazi labour laws au labour relations and collective bargaining asingeandika descriptions za ki-UTUMBO KAMA ZILE
 
Mwajiri binafsi ana uhuru hata wa kusema anataka wa chuo flan kwa waliomalza kpnd flan,kwahyo sion tatzo,ila kiukweli kuna tofauti kubwa sana ya elimu vyuoni kwa course moja,angalia wanaosoma mambo ya it pale ifm,mzumbe,ud na dit kama wanafanana,kwahyo kampuni unakuta znajua chuo flan kitu flan wanasoma vzuri kuliko kwingne
 
Ila serikalini nako kuna wa vyuo vingine kama IDM Mzumbe (ya enzi hizo), Mzumbe University (ya leo) na IFM. But anyways, since sijafanya research naomba nikae kimya kwanza; but wewe je mwenzangu, umefanya research kujua ratio ya UDSM graduates versus other colleges kwenye ofisi za serikali..?

Sasa UDSM hauwezi kukilinganisha maana kimeanza muda mrefu sana kwa hyo ni lazima watu wake wawe juu na wawe wengi kwenye maeneo mbalimbali. Japo sio sana
 
Mtu kama mimi kampuni kama hiyo siwezi kufanya nao kazi.. Kwanza hawatonipa hela ya kutosha, pili nawazidi akili sababu hawajui kua field ya computer haijalishi mtu kasoma chuo gani, siwezi kufanya kazi chini ya mtu nayemzidi akili... kwa sababu hiyo mtu yoyote atakayefanya nao kazi kuna proba kubwa kua watakua wanamdharau au wanamlipa isivyotakiwa wakidhania kazi yenyewe its a joke.... Apple, Google, Microsoft wanaajili watoto miaka 19, wanachukua watu ambao hata college hawajaenda, afu wewe mbongo unakuja kusema DIT, UDSM.. stupid.. Wanaangalia cheti badala ya kuangalia competency..

Mkubwa mbna una tokwa na povu sana?/ shule ilikupitia kushoto au hvyo vyuo vilivyotajwa vilikupitia kushoto??? Pole sana bna.
 
Ila UDSM huwa ina dahili watu waliofaulu kwa kiwango cha juu sana , sasa mtu ambaye ana ufaulu mkubwa ni mtu ambaye anaaminika kuwa atakuwa ni mrahisi kuelewa na kuendeleza kitu kwa urahisi. Na hata hautapata tabu kumfundisha chochote.. Ila sasa hawa watu wa vyuo vingine cjui TIA , TEKU , kisanji sijui , SAUT , ni watu walio na ufaulu mdogo sana kwenye matokeo yao ya siku za nyuma. Kwa mfano mm wakati namaliza form six , wale vilaza wote walienda SAUT , Sasa hata kama mm ningekuwa mwajiri unadhani ntamwajiri nani???
 
mawazo yenu tu lakn wako sahihi. watakuwa wamefanya utafiti wa course contents na uwepo wa malecture ktk hvyo vyuo wakaridhika. nawaunga mkono kwa kuwa specific kuliko kuita watu kibao na kuwapotezea muda. ivi mwanamke akitangaza kutafuta mchumba lakn hataki mfupi ww utalalamika au utachukua hamsini zako? mm kuna vyuo vikuu hapa tz naviona kama VETA tu. wako sahihi
kaka VETA wako vizuri kwenye practical
 
Mkubwa mbna una tokwa na povu sana?/ shule ilikupitia kushoto au hvyo vyuo vilivyotajwa vilikupitia kushoto??? Pole sana bna.

Mkuu acha dharau!! ukijua chuo nilichosoma utajiona mjinga..
Nimesoma computer science hii field naijua vizuri tu, natetea watu ambao watakua wananyimwa chance sababu ya ujinga kama huu, nimesoma na watu ambao wameingia chuo wakadrop baada ya kuona hamna kipya wanachoambulia na wakatoka wakafanikiwa...

What do u know about computers kukaa unaita wenzako vilaza? watu kama akina John Carmack geniuses wenye experience miaka na miaka wanaheshimu wenzao ambao ndo wameanza coz siku zote kuna jipya la kujifunza.. Who are u kuja unaongea ujinga?

Usirudie kudharau mtu tena najua utakua umesoma moja ya hivyo vyuo ndo maana unajitapa kdg.. nimesoma chuo kikali duniani siwezi nikakaa na kujitapa hata siku moja au nikamdharau mtu aliyesoma UDSM au chuo kingine bongo kama ujinga unaoufanya wewe sasa hivi...
 
SUA na Mzumbe pia. watu wanapata points 3 wanaenda mzumbe coz ambazo ziko vzr kama BAF, ICT nk
 
Ndugu msame tu hyo. Inawezekane yy amesoma hivyo vyuo kimoja wapo ndio maama anajiona ni best. Laiti kama anaelewa field hii ataweza kusema maneno ya kijinga
 
Mkuu acha dharau!! ukijua chuo nilichosoma utajiona mjinga..
Nimesoma computer science hii field naijua vizuri tu, natetea watu ambao watakua wananyimwa chance sababu ya ujinga kama huu, nimesoma na watu ambao wameingia chuo wakadrop baada ya kuona hamna kipya wanachoambulia na wakatoka wakafanikiwa...

What do u know about computers kukaa unaita wenzako vilaza? watu kama akina John Carmack geniuses wenye experience miaka na miaka wanaheshimu wenzao ambao ndo wameanza coz siku zote kuna jipya la kujifunza.. Who are u kuja unaongea ujinga?

Usirudie kudharau mtu tena najua utakua umesoma moja ya hivyo vyuo ndo maana unajitapa kdg.. nimesoma chuo kikali duniani siwezi nikakaa na kujitapa hata siku moja au nikamdharau mtu aliyesoma UDSM au chuo kingine bongo kama ujinga unaoufanya wewe sasa hivi...

Sikiliza ndugu yangu. Hujui pia na mm nimesoma nn , japo ni hapahapa tanzania. Wewe unayejitapa umesoma chuo kikali duniani huna lolote , watu kama nyie mliokimbilia nje ya nchi mara nyingi ni baada ya kukosa fursa hapa tz na ufaulu wenu kuwa mdogo. Sasa ndio mnakimbilia vyuo uchwara huko malaysia na india kwa visenti vya madafu vya wazazi wenu , ila watu kama sisi hatubabaiki. Na mm najua hujasoma chuo chochote kikali , ur just a looser. Pole sana.
 
Kwa mtazamo wangu nadhani kuna tatizo la baadhi ya vyuo kutokuwa na quality assurance systems za kutosha. Unakuta mtu kamaliza computer science au kozi nyingine lakini hajui even ABC za hiyo kozi. Nimewahi kukutana na watu wa namna hiyo na wanatoka kwenye baadhi ya vyuo. Ni kweli si sahihi kujumuisha mtazamo kwa kila mwanafunzi but nafikiri inabidi vyuo vingi vijitahidi kuhakikisha kuimarisha reputation za vyuo vyao haziwi compromised kwa kutojali quality ya elimu. Katika baadhi ya nchi wanaangalia hata chuo ulichotoka before hujapewa nafasi ya kujiunga na chuo kingine kwa ajili ya elimu ya Masters au Phd; wengine wanakupiga paper kabisa. Nakumbuka kuna lecturer mmoja hapa bongo aliwahi kukataliwa Phd yake kwa kuzingatia chuo alichotoka...

Hata hivyo vyuo vilivyotajwa hapo juu kuna ambavyo vina shida ya quality na kwa mtazamo huo na kwa kuhofia kuwa affected na hizo stereotypes since sijafanya research stahiki (no research, no right to speak / conclude on researchable facts), naona ni vyema nikawa neutral kwa kuto-endorse au kupinga selection yao ya hivyo vyuo hapo juu.

mmi sikubaliani kwamba quality assurance inatokana na jina la taasis hili suala kwa mtazamo wangu wa kawaida tu naona lipo kwa candidate mwenyewe nakumbuka nishawahi kushiriki interview moja erolink na ma graduate wa UDSM mtu kujielezea hawez kabisa licha tu ya lugha ya kikristo lakin hata akipewa the same chance kwa lugha ya madafu angezogoa mmi nilikua ndio kwanza nimemaliza form six nikawapiga chin wanyama wa UDSM nikaramba kibarua japo kilikua cha kiranguz so jina la taasis sio issue sana watu waache mawazo mgando
 
Kuna watu wamesoma zoom polytechnic na wakali sana tu probably kuliko hata hao wanaowataka wao uo ni ukoma wakifkra kabisa
 
Mtanzania hivi unajua kua programmers wengisana wanaoheshimika duniani hawakusomea hizo languages darasani? Programming chuoni mtu anafundishwa nini cha msingi ambacho hakipo online?? hata choni kwenyewe ni bidii za mtu, programming sources hua ni vitabu na internet tu, kusema chuoni utakutana na mapya its a big lie...

Mkuu nakubaliana na wewe 100%
 
SUA na Mzumbe pia. watu wanapata points 3 wanaenda mzumbe coz ambazo ziko vzr kama BAF, ICT nk

Kama kuna kitu kilicost baadhi ya vyuo na ninaomba niwe wazi katika hili ni kitendo cha kutoa first class kama karanga hata kwa watu wasiostahili kisa wameweka mitihani mteremko na kujaribu kukimbizana na soko la ajira. Tumekutana nao wengi tu kwenye interviews but ukweli watu wale sio first class material. Duniani ukimtambulisha mtu kama first class student lazima aoneakane as first class material na watu lazima wakubali kuwa huyu mtu ni first class student. Sasa mtu kapewa mtihani wa define internal audit na kupewa first class. Sasa hili ndilo swala linaloendelea kuipandisha UDSM bila ya vyuo vingine kushtukia.. Kupaata first class mtihani sio mteremko, lazima kweli uwe first class material..
 
kaka soko la ajira waajiri wengi wanaweka cut off point upper second, na vyuo vingi vinafanya biashara
 
Angalau public universities hapa kwetu ndo bora(na private kwenye koz za udaktar kiasi fulani),fuatilia wanaojiunga navyo,mitihan yao ya ndani, namna wanavyograde. Tatizo la hapa kwetu kwenye elimu sio jina la chuo bali ni field(practical) na hakuna pesa za tafiti za kutosha(research) ni vi project tena ktk kundi la watu ishirini. Mimi ninajamaa ya alipata div four HGK tegeta amemaliza SAUT.
 
Back
Top Bottom