Tunajifunza nini juu ya kesi ya Prof. Assad?

Baada ya Mahakama Kuu kutoa hukumu yake na kubaini kuwa Prof. Assad aliondolewa katika nafasi yake ya CAG kimakosa, kwamba Katiba ilivunjwa, viongozi katika maeneo mbalimbali ya serikali mnajifunza nini?

Kuna mambo mengi sana ya kujifunza katika sakata la Prof. Assad kuondolewa katika nafasi ya CAG;

Kwanza baada ya hukumu ya Mahakama Kuu kutamka kuwa katiba ilivunjwa kumuondoa CAG Assad, nilivuta picha ya siku Prof. Assad alipokabidhi ofisi na kubeba kilicho chake kweye gari yake ndogo na kisha kuondoka! Picha ya siku ile ilinihuzunisha sana na ilionesha kuwa kulikuwa na uonevu na udhalilishaji mkubwa.

Jambo la kujifunza;
1. Viongozi mliopewa dhamana katika maeneo mbalimbali ya taasisi za serikali acheni kuwaonea waliyo chini yenu kwani malipo ni hapahapa Duniani, lazima utadhalilika.

2. Tuache uonevu na unyanyasaji kwa waliyo chini yetu.

3. Cheo ulichonacho leo ni dhamana tu huwezi kuzikwa nacho, watendee mema walio chini yako.

4. Tuheshimu katiba na sheria za nchi.

Ushauri:
Prof. Assad arudishwe kwenye nafasi yake au apewe nafasi ya juu zaidi, ikiwezekana awe hata Gavana wa BOT.
PUSH gang si WATU wa kupewa madaraka, ni malimbukeni
 
Ndugu yangu wee. Hapa hakuna jipya lolote. Sana sana linaonyesha jinsi mahakama zetu zilivyowekwa mfukoni na dola. Nina uhakika wa asilimia 100 kuwa Magufuli angekuwa hai, kusingekuwa na hukumu kama hii.
 
Magufuli alitoa case study nzuri sana ya kufanya rejea kwa nini nchi inahitaji katiba mpya inasikitisha bado kuna wananchi hawajapata somo akitokea magufuli type mwingine uko mbeleni akaingia ikulu nina uhakika tumekwisha maana tayari hayati magufuli kaonesha udikteta unawezekana na pia uyo potential magufuli atakaekuja ashajua mwenzake alikosea wapi kwaiyo hawezi kurudia makosa

Aisee udikteata wa magufuli ni mzuri Sana, Yan sana

1 Heshima kwenye taasisi za serikali

2 Miundombinu ambayo Kwa miaka 50 ilishindwa kujengwa yy kajenga Kwa miaka mitano Tu

3 kumbe mashirika ya umma yanaweza kutoa gawio ha ha ha

4 kumbe pale ubungo na tazara flyerover kumbe zinakaa vizuri kabisa

And many more

Now aje dikteta mwingine atuwekeee tren ya umeme mtaani
 
Prof Assad hakufukuzwa kimakosa. Prof. Assad ni jeuri. Prof. Assad alimshutumu Magufuli kwamba alipokuwa Waziri wa Ujenzi aliuza nyumba za serikali kiholela. Shutuma hizo alizitoa(mara tu) BAADA ya Magufuli kuchaguliwa kuwa mgombea urais. CCM kwa tuhuma hizo ingeweza kubatilisha uteuzi wa Magufuli bila lawama kutoka kwa mtu yoyote. Lakini CCM haikufanya hivyo. Kwa hiyo Prof. Assad amecheza kamari ameshindwa. Ashukuru kwamba kichwa chake bado kipo juu ya shingo lake.
Kama anaendelea na rufaa, I am not complaining. Lakini lazima tuwafunfishe watu waache kuwa reckless.
Unaweza kuleta criticism ukawa quite correct. Lakini lazima ujiulize kama hayo mambo ungeweza kuyasema ungekuwa na Rais kama Kagame au Rais kama Putin?
Poppy Hatonn una akili kama ya mende, anakula vya kwenye kabati halafu analala kwenye mtaro wa karo au chooni.

Magufuli ni kweli aliuza nyumba za Serikali kiholela na ushahidi upo wa nyumba alizouza kwa ndugu zake na kwa mahawara. Hayo ni makosa, sasa una mpuuza vipi mtu kama Prof Assad ambaye alikosoa?

Haya unaongelea kukata wakosoaji vichwa kama Kagame anavyofanya, je Magufuli mwenyewe yuko wapi sasa? Yuko huko analiwa na minyoo !!
 
Jitu kwa kukosa maarifa linamtetea Magufuli, tuonyeshe basi kivipi hakuvunja katiba- hawezi. Eti oooh mzalendo, wapi pameandikwa ukiwa mzalendo ruksa kuvunja katiba

Wapumbavu kabisa, halafu uzalendo wake yeye ndio alikuwa anausema.
 
Magufuli alitoa case study nzuri sana ya kufanya rejea kwa nini nchi inahitaji katiba mpya inasikitisha bado kuna wananchi hawajapata somo akitokea magufuli type mwingine uko mbeleni akaingia ikulu nina uhakika tumekwisha maana tayari hayati magufuli kaonesha udikteta unawezekana na pia uyo potential magufuli atakaekuja ashajua mwenzake alikosea wapi kwaiyo hawezi kurudia makosa
Magufuli was a dictator right? Reasons?
Utasikia aliwakandamiza upinzani.. okey vipi sahivi upinzani bado wamekandamizwa au kuna ishu wanasikilizia?
 
Aisee udikteata wa magufuli ni mzuri Sana, Yan sana

1 Heshima kwenye taasisi za serikali

2 Miundombinu ambayo Kwa miaka 50 ilishindwa kujengwa yy kajenga Kwa miaka mitano Tu

3 kumbe mashirika ya umma yanaweza kutoa gawio ha ha ha

4 kumbe pale ubungo na tazara flyerover kumbe zinakaa vizuri kabisa

And many more

Now aje dikteta mwingine atuwekeee tren ya umeme mtaani
Behewa bilioni 2.2 .. hivi ni behewa moja lile au lile treni zima
 
Assad ana kiburi. Huwezi kuona katiba ni supreme kuliko watumiaji wa katiba wenyewe. Kile kiburi cha Assad ni cha kishamba. Huwezi kuwa na kiburi juu ya watu ambao huwezi kuwafanya chochote NA WANAWEZA WAKABADILI HIYO KATIBA BILA KUWAFANYA CHOCHOTE. Waliokuwa wakimpa kibri wako wapi? Wamemsaidia nini? Kama kufa, kila mtu atakufa kwa wakati wake.
Huyo ambaye hawezi kufanywa chochote leo hii yuko wapi?
 
Hujapata like hata moja
Hukumu imetoka 2022.

Rejea nilichoandika mbali ya kuhoji nimesema kusikilizwa na kutolewa hukumu. Toka January 2020 hukumu imekuja kutolewa 2022. Inamaanisha ilichimbiwa chini ya uvungu.

Dhamira sio kumkandamiza Magufuli hapa hivyo hifadhi utetezi wako. Magufuli alikuwa muhanga (nasema muhanga sababu ya kupewa nguvu kubwa na katiba kupelekea makosa aliyofanya) wa madaraka makubwa kiasi cha kutia dosari dhamira yake njema ya uzalendo.

Endapo kungekuwa na katiba stahiki ambayo ingeweza kum control Magufuli kwa hakika angefanya makubwa zaidi pasikuwa na kasoro.

Nguvu nyingi humpa hata aliye muungwana kiburi.

Point sio Magufuli bali nguvu kubwa aliyopewa yeye, waliomtangulia na waliopo sasa na katiba iliyopo.
 
Hii
Asad alipaswa tena kufukuzwa kabisa hakufaa. Mi naona hata uteuzi walikosea kumteua mtu ambaye ni fundamentalist ambaye anaamini ktk kile anachoamini yeye.

Ndiyo maana mfumo ndiyo ulimuondoa wala siyo Dkt Magufuli. Ukikumbuka kuna hela fulani nadhani zilikuwa za kitengo yeye Asad akaomba azikague wakamuambia hapana utaratibu siyo huo, akakomaa ila kaenda kusoma ripoti asubuhi hakukuta kitu hahaha. Hii habari alisimulia yeye mwenyewe.

Kikubwa Asad siwezi kumtetea ni moja ya wasomi majanga wasiokuwa na mchango wa taifa. Kila jambo lina mipaka yake, halafu kibaya kabisa akawa anatumika kupindisha report.
Hii mistari hakupaswa kuteuliwa kwasababu alikuwa fundamentalist na aliamini alichoamini yeye inamgusa magulifu john kwahiyo nayeye hakupaswa kuwa rais.
 
Dkt Magufuli hakuwa kama Prof Asad. Asad naweza sema ni wale watu ambao they don’t make sense
 
Huyo ambaye hawezi kufanywa chochote leo hii yuko wapi?
Awepo, asiwepo hakuna mwenye kufanya lolote kwa Rais aliyepo au aliyetoka madarakani nchi hii.
Hata avunje katiba mara milioni. Hata ahairishe matumizi ya katiba. Hakuna cha kumfanya.
Kwa hiyo sioni sababu ya mtu mmoja kama Assad kuanzisha misuli dhidi ya Rais. Rais aliyeko madarakanj, kama hakutaki ni basi. Huwezi kusema katiba sijui ikoje. Ni ushamba.
Ukiwa chini ya Rais, kazi yako ni kufuata maelekezo.
Wengi hapa hamna hata ujasiri kidogo wa kuwashauri maboss wenu wadogo tu lakini mnapenda kumshangilia mtu kuwa na kiburi cha kishamba.
Assad ni taasisi eti atetee katiba yeye? Ni bunge? Ni mahakama? Ni tume huru? Ni ofisi ya mwanasheria mkuu?
Ni ujinga kupambana na mtu au kundi la watu unaojua kwa uwazi kabisa kwamba huwawezi.
 
they ve never have good intention, kwanini kila kinacho hojiwa watu wanatishwa?
Hujanielewa.

Nakwambia intention alone is nit enough, for it can kead to the proverbial hell.

That is an immanent critique.

As "Jaji Mfawidhi", you should know what an immanent critique is.
 
Baada ya Mahakama Kuu kutoa hukumu yake na kubaini kuwa Prof. Assad aliondolewa katika nafasi yake ya CAG kimakosa, kwamba Katiba ilivunjwa, viongozi katika maeneo mbalimbali ya serikali mnajifunza nini?

Kuna mambo mengi sana ya kujifunza katika sakata la Prof. Assad kuondolewa katika nafasi ya CAG;

Kwanza baada ya hukumu ya Mahakama Kuu kutamka kuwa katiba ilivunjwa kumuondoa CAG Assad, nilivuta picha ya siku Prof. Assad alipokabidhi ofisi na kubeba kilicho chake kweye gari yake ndogo na kisha kuondoka! Picha ya siku ile ilinihuzunisha sana na ilionesha kuwa kulikuwa na uonevu na udhalilishaji mkubwa.

Jambo la kujifunza;
1. Viongozi mliopewa dhamana katika maeneo mbalimbali ya taasisi za serikali acheni kuwaonea waliyo chini yenu kwani malipo ni hapahapa Duniani, lazima utadhalilika.

2. Tuache uonevu na unyanyasaji kwa waliyo chini yetu.

3. Cheo ulichonacho leo ni dhamana tu huwezi kuzikwa nacho, watendee mema walio chini yako.

4. Tuheshimu katiba na sheria za nchi.

Kama Mahakama imetamka kuwa katiba/sheria hazikufuatwa wakati wa kumtoa kwenye nafasi yake maana yake hadi sasa hivi tunapo jadili hoja hii Prof. Asad ni CAG.

labda atenguliwe kuanzia sasa hivi/leo hii trh 6/12/2022 (kwa kuzingatia katiba) lakini kutokana na Hukumu ya Mahakama ni wazi kabisa CAG ni Prof. Asad.

Ushauri:
Prof. Assad arudishwe kwenye nafasi yake au apewe nafasi ya juu zaidi, ikiwezekana awe hata Gavana wa BOT kwa kuzingatia Katiba na Sheria za nchi.
upumbavu aliokuwa akiufanya asad hata rais angekuwa kichaa namna gani asing mvumilia yaani yeye ndiyo alikuwa anajiona kidume mtenda haki anayejuwa kila kitu unawezaje kumuita hata spika eti ni dhaifu yaani upumbavu mtupu ni sawa na baba wa familia aje mtu akuambie mbele ya familia yako wewe ni mpumbavu nani anaweza kuvumilia kama siyo kumpatia ndoige za kutosha huyo mpuuzi aende tu shamba akalime alichezea shilingi chooni
 
Baada ya Mahakama Kuu kutoa hukumu yake na kubaini kuwa Prof. Assad aliondolewa katika nafasi yake ya CAG kimakosa, kwamba Katiba ilivunjwa, viongozi katika maeneo mbalimbali ya serikali mnajifunza nini?

Kuna mambo mengi sana ya kujifunza katika sakata la Prof. Assad kuondolewa katika nafasi ya CAG;

Kwanza baada ya hukumu ya Mahakama Kuu kutamka kuwa katiba ilivunjwa kumuondoa CAG Assad, nilivuta picha ya siku Prof. Assad alipokabidhi ofisi na kubeba kilicho chake kweye gari yake ndogo na kisha kuondoka! Picha ya siku ile ilinihuzunisha sana na ilionesha kuwa kulikuwa na uonevu na udhalilishaji mkubwa.

Jambo la kujifunza;
1. Viongozi mliopewa dhamana katika maeneo mbalimbali ya taasisi za serikali acheni kuwaonea waliyo chini yenu kwani malipo ni hapahapa Duniani, lazima utadhalilika.

2. Tuache uonevu na unyanyasaji kwa waliyo chini yetu.

3. Cheo ulichonacho leo ni dhamana tu huwezi kuzikwa nacho, watendee mema walio chini yako.

4. Tuheshimu katiba na sheria za nchi.

Kama Mahakama imetamka kuwa katiba/sheria hazikufuatwa wakati wa kumtoa kwenye nafasi yake maana yake hadi sasa hivi tunapo jadili hoja hii Prof. Asad ni CAG.

labda atenguliwe kuanzia sasa hivi/leo hii trh 6/12/2022 (kwa kuzingatia katiba) lakini kutokana na Hukumu ya Mahakama ni wazi kabisa CAG ni Prof. Asad.

Ushauri:
Prof. Assad arudishwe kwenye nafasi yake au apewe nafasi ya juu zaidi, ikiwezekana awe hata Gavana wa BOT kwa kuzingatia Katiba na Sheria za nchi.
Soma hukumu vizuri kuliko kukurupuka na conclusions zisizo na ukweli wowote.

Kesi iliyofunguliwa ilikuwa inapinga uhalali wa kifungu 6(1) cha Sheria ya Ukaguzi ambacho ndico kilichutumika kumwondoa Assad Madarakani. Kifungu hicho kinaweka ukomo wa utumishi CAG kuwa vipindi viwili vya miaka mitano mitano, ambapo kipindi cha pili kinawezekana iwapo Rais atamteua tena. Magufuli hakumteua kipindi cha pili kwa kutumia kifungu hicho cha sheria.

Mahaklama imekubali kuwa kwa vile Katiba imeandikwa hovyo hovyo kwa kuesema kuwa CAG atakoma utumishi akifika miaka sitini, basi sheria hiyo ya Ukaguzi imevunja katiba kwa vile Katiba haikutamka vipindi viwili vya utumishi bali ilitamka umri wa kikomo tu. Kesi yote haikuwa inapinga mamlaka ya Rais kutomteua Assada kuendela kipindi cha pili bali ilikhusu sheria hiyo iliyotumika.

Sasa wewe hizo conculusions unazitoa wapi kuhusu viongozi ilihali sheria iliyotumiwa na Rais imetungwa na Bunge. La kujifunza hapa ni kuwa na Katiba iliyoandikwa vizuri badala ya kutegemea bunge linyooshe vifungu vya katiba iliyoandikwa hovyo hovyo. Kwa mfano Katiba inaposema kuwa CAG ataacha utumishi akifika miaka 60, basi iwapo CAG atateuliwa akiwa na umri wa miaka 30 atadumu katika nafasi hiyo kikatiba kwa miaka mingine 30, jambo ambalo halina mantiki yoyote.

Hukumu hii ni dhidi ya Katiba siyo dhidi ya Magufuli.
 
Asad alipaswa tena kufukuzwa kabisa hakufaa. Mi naona hata uteuzi walikosea kumteua mtu ambaye ni fundamentalist ambaye anaamini ktk kile anachoamini yeye.

Ndiyo maana mfumo ndiyo ulimuondoa wala siyo Dkt Magufuli. Ukikumbuka kuna hela fulani nadhani zilikuwa za kitengo yeye Asad akaomba azikague wakamuambia hapana utaratibu siyo huo, akakomaa ila kaenda kusoma ripoti asubuhi hakukuta kitu hahaha. Hii habari alisimulia yeye mwenyewe.

Kikubwa Asad siwezi kumtetea ni moja ya wasomi majanga wasiokuwa na mchango wa taifa. Kila jambo lina mipaka yake, halafu kibaya kabisa akawa anatumika kupindisha report.
huyu hakufaa kuwa katika hiyo nafasi kabisa hajui hata kuwa kuna siri za serikali
 
Inasikitisha kuwa Assad alionewa lakini inasikitisha zaidi kuwa watu walishindwa kuhoji chochote kipindi cha Magufuli. Nina yakini kama Magufuli angekuwa hai leo hii, achilia mbali hukumu hata hiyo kesi isingesikilizwa.

Kama taifa tuna kubwa la kujifunza juu ya mustakabali wa maisha yetu. Ikiwa mahakama ambayo ni muhimili unaojitegemea unashindwa simamia haki kwa kuogopwa mtu mmoja, tujiulize wangapi walihukumiwa/waliwajibishwa pasi kuwa na hatia.

Kuna kina Assad wengi wataendelea kuwepo kupitia tawala zote zijazo endapo katiba haitobadilishwa. Mamlaka ya raisi yamekuwa makubwa mno kiasi cha kujisahau nae ni binadamu.
Nafasi yanuteuzi haina cha kuonewa. Ni pleasure ya mteuaji.
 
Mbona Nyerere bado tunamzungumzia humu?
Ajabu ni kuwa anatajwa Magufuli kuliko Nyerere. HUYU Magufuli mnaemtaja kwa maovu huku kwenye mitandao mkiingia mtaani huko wananchi wana majibu tofauti sana.. na wana hasira zilizolala.. 2025 wana majibu
 
Back
Top Bottom