Tunajifunza nini juu ya kesi ya Prof. Assad?

Baada ya Mahakama Kuu kutoa hukumu yake na kubaini kuwa Prof. Assad aliondolewa katika nafasi yake ya CAG kimakosa, kwamba Katiba ilivunjwa, viongozi katika maeneo mbalimbali ya serikali mnajifunza nini?

Kuna mambo mengi sana ya kujifunza katika sakata la Prof. Assad kuondolewa katika nafasi ya CAG;

Kwanza baada ya hukumu ya Mahakama Kuu kutamka kuwa katiba ilivunjwa kumuondoa CAG Assad, nilivuta picha ya siku Prof. Assad alipokabidhi ofisi na kubeba kilicho chake kweye gari yake ndogo na kisha kuondoka! Picha ya siku ile ilinihuzunisha sana na ilionesha kuwa kulikuwa na uonevu na udhalilishaji mkubwa.

Jambo la kujifunza;
1. Viongozi mliopewa dhamana katika maeneo mbalimbali ya taasisi za serikali acheni kuwaonea waliyo chini yenu kwani malipo ni hapahapa Duniani, lazima utadhalilika.

2. Tuache uonevu na unyanyasaji kwa waliyo chini yetu.

3. Cheo ulichonacho leo ni dhamana tu huwezi kuzikwa nacho, watendee mema walio chini yako.

4. Tuheshimu katiba na sheria za nchi.

Ushauri:
Prof. Assad arudishwe kwenye nafasi yake au apewe nafasi ya juu zaidi, ikiwezekana awe hata Gavana wa BOT.
Assad ana kiburi. Huwezi kuona katiba ni supreme kuliko watumiaji wa katiba wenyewe. Kile kiburi cha Assad ni cha kishamba. Huwezi kuwa na kiburi juu ya watu ambao huwezi kuwafanya chochote NA WANAWEZA WAKABADILI HIYO KATIBA BILA KUWAFANYA CHOCHOTE. Waliokuwa wakimpa kibri wako wapi? Wamemsaidia nini? Kama kufa, kila mtu atakufa kwa wakati wake.
 
Tunajifunza mahakama za Tanzania zilimuogopa Magufuli zimesubiri mpaka afe kuonesha alivunja katiba.
Kasome hiyo hukumu yote.. uje utueleze ni wapi imesema katiba ilivunjwa na raisi?
Sheria iliyotumiwa ndo inapingana na katiba. Na siyo raisi kavunja katiba.
Sheria zina loophole nyingi na wanaojua kuzisoma wanajua pakupenyea.. haya baada ya hukumu Assad atarudishwa kwenye nafasi yake? Atapewa pesa or what?

Mbona hiyo katiba inavunjwa sana na hiyo mahakama ipo kimya?

Aliyekufa kafa mpumzisheni.. mkiendelea kurudi zama zake ni kuonesha kiasi gani siasa za tanzania haziwezi kusogea bila kutaja jina lake.
 
Baada ya Mahakama Kuu kutoa hukumu yake na kubaini kuwa Prof. Assad aliondolewa katika nafasi yake ya CAG kimakosa, kwamba Katiba ilivunjwa, viongozi katika maeneo mbalimbali ya serikali mnajifunza nini?

Kuna mambo mengi sana ya kujifunza katika sakata la Prof. Assad kuondolewa katika nafasi ya CAG;

Kwanza baada ya hukumu ya Mahakama Kuu kutamka kuwa katiba ilivunjwa kumuondoa CAG Assad, nilivuta picha ya siku Prof. Assad alipokabidhi ofisi na kubeba kilicho chake kweye gari yake ndogo na kisha kuondoka! Picha ya siku ile ilinihuzunisha sana na ilionesha kuwa kulikuwa na uonevu na udhalilishaji mkubwa.

Jambo la kujifunza;
1. Viongozi mliopewa dhamana katika maeneo mbalimbali ya taasisi za serikali acheni kuwaonea waliyo chini yenu kwani malipo ni hapahapa Duniani, lazima utadhalilika.

2. Tuache uonevu na unyanyasaji kwa waliyo chini yetu.

3. Cheo ulichonacho leo ni dhamana tu huwezi kuzikwa nacho, watendee mema walio chini yako.

4. Tuheshimu katiba na sheria za nchi.

Ushauri:
Prof. Assad arudishwe kwenye nafasi yake au apewe nafasi ya juu zaidi, ikiwezekana awe hata Gavana wa BOT.
Hivi kosa la Ndugai hadi akavuliwa uspika lilikuwa ni nini?
 
Katiba hairuhusu CAG mstaafu kufanya kazi serikalini eneo lolote lile. Umesema Katiba iheshimiwe, halafu unataka ivunjwe tena!!
Kama Mahakama imetamka kuwa katiba ilikiukwa wakati wa kumtoa kwenye nafasi yake maana yake hadi sasa hivi tunapo jadili hoja hii Prof. Asad ni CAG.

labda atenguliwe kuanzia sasa hivi/leo hii trh 6/12/2022, lakini kutokana na Hukumu ya Mahakama ni wazi kabisa CAG ni Prof. Asad.
 
Mimi naulizia tu kwani hao majaji waliotoa hukumu hii nao wamo kwenye hiyo ajenda ya Zitto na Asad?

Hivi pale UDSM hakuna jengo la msikiti na kanisa yaliyojengwa mule ndani?
Hiyo ni home work kafanye kujua majaji.Kuhusu misikiti na makanisa kujengwa kwenye tasisi za serikali huo ni wenda wazimu serikali haina dini.Kama sio udini hao mahakimu wahukumu kesi ya Mbatia kuhusu Ndugai kabla mama ajatoka madarakani.
 
Baada ya Mahakama Kuu kutoa hukumu yake na kubaini kuwa Prof. Assad aliondolewa katika nafasi yake ya CAG kimakosa, kwamba Katiba ilivunjwa, viongozi katika maeneo mbalimbali ya serikali mnajifunza nini?

Kuna mambo mengi sana ya kujifunza katika sakata la Prof. Assad kuondolewa katika nafasi ya CAG;

Kwanza baada ya hukumu ya Mahakama Kuu kutamka kuwa katiba ilivunjwa kumuondoa CAG Assad, nilivuta picha ya siku Prof. Assad alipokabidhi ofisi na kubeba kilicho chake kweye gari yake ndogo na kisha kuondoka! Picha ya siku ile ilinihuzunisha sana na ilionesha kuwa kulikuwa na uonevu na udhalilishaji mkubwa.

Jambo la kujifunza;
1. Viongozi mliopewa dhamana katika maeneo mbalimbali ya taasisi za serikali acheni kuwaonea waliyo chini yenu kwani malipo ni hapahapa Duniani, lazima utadhalilika.

2. Tuache uonevu na unyanyasaji kwa waliyo chini yetu.

3. Cheo ulichonacho leo ni dhamana tu huwezi kuzikwa nacho, watendee mema walio chini yako.

4. Tuheshimu katiba na sheria za nchi.

Ushauri:
Prof. Assad arudishwe kwenye nafasi yake au apewe nafasi ya juu zaidi, ikiwezekana awe hata Gavana wa BOT.
Umeandika yote mazuri kasoro pale kwenye ushauri. Sheria au Katiba inazuia CAG kupewa kazi nyingine akishamaliza muda wake. Pili Charles Kicheere aliteuliwa kisheria hivyo basi Prof Assad hawezi kurudishwa.

Sanasana kama kwenye Yale maombi waliomba apewe mishahara/ masilahi hadi muda wake rasmi wa kuachia kiti kisheria basi hilo linawezekana.
 
Prof Assad hakufukuzwa kimakosa. Prof. Assad ni jeuri. Prof. Assad alimshutumu Magufuli kwamba alipokuwa Waziri wa Ujenzi aliuza nyumba za serikali kiholela. Shutuma hizo alizitoa(mara tu) BAADA ya Magufuli kuchaguliwa kuwa mgombea urais. CCM kwa tuhuma hizo ingeweza kubatilisha uteuzi wa Magufuli bila lawama kutoka kwa mtu yoyote. Lakini CCM haikufanya hivyo. Kwa hiyo Prof. Assad amecheza kamari ameshindwa. Ashukuru kwamba kichwa chake bado kipo juu ya shingo lake.
Kama anaendelea na rufaa, I am not complaining. Lakini lazima tuwafunfishe watu waache kuwa reckless.
Unaweza kuleta criticism ukawa quite correct. Lakini lazima ujiulize kama hayo mambo ungeweza kuyasema ungekuwa na Rais kama Kagame au Rais kama Putin?
 
Asad alipaswa tena kufukuzwa kabisa hakufaa. Mi naona hata uteuzi walikosea kumteua mtu ambaye ni fundamentalist ambaye anaamini ktk kile anachoamini yeye. Ndiyo maana mfumo ndiyo ulimuondoa wala siyo Dkt Magufuli. Ukikumbuka kuna hela fulani nadhani zilikuwa za kitengo yeye Asad akaomba azikague wakamuambia hapana utaratibu siyo huo, akakomaa ila kaenda kusoma ripoti asubuhi hakukuta kitu hahaha. Hii habari alisimulia yeye mwenyewe. Kikubwa Asad siwezi kumtetea ni moja ya wasomi majanga wasiokuwa na mchango wa taifa. Kila jambo lina mipaka yake, halafu kibaya kabisa akawa anatumika kupindisha report.
Wewe ni mwongo labda unaye Prof Assad ambaye ni mdoli nyumbani kwako. Lakini siyo huyu Prof Mussa Assad former CAG. Uadilifu wake hauna mashaka
 
Baada ya Mahakama Kuu kutoa hukumu yake na kubaini kuwa Prof. Assad aliondolewa katika nafasi yake ya CAG kimakosa, kwamba Katiba ilivunjwa, viongozi katika maeneo mbalimbali ya serikali mnajifunza nini?

Kuna mambo mengi sana ya kujifunza katika sakata la Prof. Assad kuondolewa katika nafasi ya CAG;

Kwanza baada ya hukumu ya Mahakama Kuu kutamka kuwa katiba ilivunjwa kumuondoa CAG Assad, nilivuta picha ya siku Prof. Assad alipokabidhi ofisi na kubeba kilicho chake kweye gari yake ndogo na kisha kuondoka! Picha ya siku ile ilinihuzunisha sana na ilionesha kuwa kulikuwa na uonevu na udhalilishaji mkubwa.

Jambo la kujifunza;
1. Viongozi mliopewa dhamana katika maeneo mbalimbali ya taasisi za serikali acheni kuwaonea waliyo chini yenu kwani malipo ni hapahapa Duniani, lazima utadhalilika.

2. Tuache uonevu na unyanyasaji kwa waliyo chini yetu.

3. Cheo ulichonacho leo ni dhamana tu huwezi kuzikwa nacho, watendee mema walio chini yako.

4. Tuheshimu katiba na sheria za nchi.

Ushauri:
Prof. Assad arudishwe kwenye nafasi yake au apewe nafasi ya juu zaidi, ikiwezekana awe hata Gavana wa BOT.
Mi nilochojifunza kuwa Muhimili wa Mahakama huko kwaajili ya kulinda na kuficha mabaya, ukiukwaji wa Sheria na Katiba katika awamu husika.

Mfano kesi hii ya Prof Assad ilifunguliwa mwaka 2020 lakini haikupaswa kuvuka mwaka kutolewa judgement.

Maamuzi yametoka hivo sababu alimtengua Prof Aasad hayupo tena hivo kwao sio issue na uenda walipata baraka zote za muhimili uliojichimbia zaidi kuwa toeni maamuzi kwani kuna nn!

2.Kesi ya aliyofungua Mbatia kupinga utaratibu uliotumika kujiuzulu kwa Spika wa Bunge ilikuwa ya msingi sana, lakini Mahakama iliitupilia mbali! Kwanini sababu asiemtaka na alieshinikiza hivo yupo madarakani bado.

3. Kesi wa watu wa Loliondo ilitupiliwa mbali sababu ambae hawataki yupo madarakani ijapokuwa utaratibu unaotumika kuwatoa ni kinyume kabisa na sheria .

Mahakama zetu zipo kulinda serikali.
 
Magufuli alikuwa na uchungu kweli na maendeleo ya hii nchi. Shida ni pale alipoamini kuwa ni yeye pekee alikuwa anajua kila kitu. Ule ulikuwa ni ubinafsi.
Ni kweli kabisa kuna maeneo mengi anaonekana ni kweli alikua na dhamira ya kuweka mambo sawa tatizo ni approach alizokua anatumia
 
Kasome hiyo hukumu yote.. uje utueleze ni wapi imesema katiba ilivunjwa na raisi?
Sheria iliyotumiwa ndo inapingana na katiba. Na siyo raisi kavunja katiba.
Sheria zina loophole nyingi na wanaojua kuzisoma wanajua pakupenyea.. haya baada ya hukumu Assad atarudishwa kwenye nafasi yake? Atapewa pesa or what?

Mbona hiyo katiba inavunjwa sana na hiyo mahakama ipo kimya?

Aliyekufa kafa mpumzisheni.. mkiendelea kurudi zama zake ni kuonesha kiasi gani siasa za tanzania haziwezi kusogea bila kutaja jina lake.
Mkuu,

Kwani mimi nimesema rais kavunja sheria au kavunja katiba?

Ikiwa sheria inapishana na katiba na raisi katumia sheria kuvunja katiba, rais kavunja katiba au hakuvunja katiba?

Mkuu,

Watu wanaandika vitabu vya maisha ya Caligula mpaka leo, kutokana na visa vyake.

Unajua Caligula kafa mwaka gani?

Ukishaamua kuwa rais/ mfalme maisha yako yataandikwa tu.

Watu wanaandika kuhusu Hitler, kuhusu Stalin.

Kama unataka kupumzika watu wasikuongelee, ongoza familia yako.

Ukishaongiza nchi, utaandikwa na kusemwa kwa vizazi na vizazi.

Hapumzishwi mtu, Magufuli atasemwa mpaka kila mtu aliye hai leo afe.
 
Umeandika yote mazuri kasoro pale kwenye ushauri. Sheria au Katiba inazuia CAG kupewa kazi nyingine akishamaliza muda wake. Pili Charles Kicheere aliteuliwa kisheria hivyo basi Prof Assad hawezi kurudishwa.

Sanasana kama kwenye Yale maombi waliomba apewe mishahara/ masilahi hadi muda wake rasmi wa kuachia kiti kisheria basi hilo linawezekana.

Kama Mahakama imetamka kuwa katiba/sheria hazikufuatwa wakati wa kumtoa kwenye nafasi yake maana yake hadi sasa hivi tunapo jadili hoja hii Prof. Asad ni CAG.

labda atenguliwe kuanzia sasa hivi/leo hii trh 6/12/2022 (kwa kuzingatia katiba) lakini kutokana na Hukumu ya Mahakama ni wazi kabisa CAG ni Prof. Asad.
 
Kasome hiyo hukumu yote.. uje utueleze ni wapi imesema katiba ilivunjwa na raisi?
Sheria iliyotumiwa ndo inapingana na katiba. Na siyo raisi kavunja katiba.
Sheria zina loophole nyingi na wanaojua kuzisoma wanajua pakupenyea.. haya baada ya hukumu Assad atarudishwa kwenye nafasi yake? Atapewa pesa or what?

Mbona hiyo katiba inavunjwa sana na hiyo mahakama ipo kimya?

Aliyekufa kafa mpumzisheni.. mkiendelea kurudi zama zake ni kuonesha kiasi gani siasa za tanzania haziwezi kusogea bila kutaja jina lake.

Kula lunch Kwa bill yangu
 
Inasikitisha kuwa Assad alionewa lakini inasikitisha zaidi kuwa watu walishindwa kuhoji chochote kipindi cha Magufuli. Nina yakini kama Magufuli angekuwa hai leo hii, achilia mbali hukumu hata hiyo kesi isingesikilizwa.

Kama taifa tuna kubwa la kujifunza juu ya mustakabali wa maisha yetu. Ikiwa mahakama ambayo ni muhimili unaojitegemea unashindwa simamia haki kwa kuogopwa mtu mmoja, tujiulize wangapi walihukumiwa/waliwajibishwa pasi kuwa na hatia.

Kuna kina Assad wengi wataendelea kuwepo kupitia tawala zote zijazo endapo katiba haitobadilishwa. Mamlaka ya raisi yamekuwa makubwa mno kiasi cha kujisahau nae ni binadamu.
Magufuli alitoa case study nzuri sana ya kufanya rejea kwa nini nchi inahitaji katiba mpya inasikitisha bado kuna wananchi hawajapata somo akitokea magufuli type mwingine uko mbeleni akaingia ikulu nina uhakika tumekwisha maana tayari hayati magufuli kaonesha udikteta unawezekana na pia uyo potential magufuli atakaekuja ashajua mwenzake alikosea wapi kwaiyo hawezi kurudia makosa
 
Back
Top Bottom