smarte_r
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 4,575
- 12,192
huna akili.Huwezi kwenda Marekani kulisema bunge letu eti ni dhaifu alafu wewe ukajibatiza eti ni muhimili na bado Magufuli akakuangalia tu.
huna akili.Huwezi kwenda Marekani kulisema bunge letu eti ni dhaifu alafu wewe ukajibatiza eti ni muhimili na bado Magufuli akakuangalia tu.
Yupo wapi leo?Huwezi kwenda Marekani kulisema bunge letu eti ni dhaifu alafu wewe ukajibatiza eti ni muhimili na bado Magufuli akakuangalia tu.
Yeye,makonda,ally hapi,sabaya ,chalamila😅😆😆😆😆😆😆Magufuli alikuwa na uchungu kweli na maendeleo ya hii nchi. Shida ni pale alipoamini kuwa ni yeye pekee alikuwa anajua kila kitu. Ule ulikuwa ni ubinafsi.
Hii kali kidogo kumeza
Wadudu walishajitafunia imebaki skeleton tu.Yupo wapi leo?
Wewe ndo jitu usiejua Zito na Asaadi walikuwa na ajenda gani kuhusu Magufuli.Zito na Asaadi na mambo yao ya udini ndo yanasumbua.Na kama Zitto na Asaadi walivyowadini walikuwa na ajenda mbaya sana na mpaka leo inaendelea.Hii ajenda inaanzia kwa Asaadi alipokuwa mkuu wa chuo kikuu cha Dodoma na kuasisi migogoro ya kidini ikiwemo kutaka kujengwa msikiti maeneo ya chuo na Magufuli ndio aliyekuwa rais wa kwanza kupinga taasisi za dini kujiingiza katika maeneo ya taasisi za elimu za serikali badala yake watumie madarasa yaliyopo kufanya ibada then mambo mengine yaendelee.Sasa katika kujibu mapigo Asaadi akatumia cheo Cha CAG kujibu mapigo kwa taarifa za kizushi kwa kumtumia Zito ila JPM akawashtukia mapema akampinga chini Asaadi ndo maana hadi leo Zito bado anaangaika😀😀😀Kama sio udini baada ya hii kesi au akamuunge mkono Mbatia kuendeleza kesi kwanini Ndugai avuliwe usipika bila kufata katiba😂😂😂Jitu kwa kukosa maarifa linamtetea Magufuli, tuonyeshe basi kivipi hakuvunja katiba- hawezi. Eti oooh mzalendo, wapi pameandikwa ukiwa mzalendo ruksa kuvunja katiba
... Mahakama ya juu ime-rule out kwamba Katiba ya Jamhuri ilivunjwa; wewe unatuletea porojo! Uko smart upstairs kisheria kuliko jopo la majaji watatu wa High Court waliofikia uamuzi huo? Sheria ikipingana na Katiba nini kinatakiwa?Magufuli hakumfukuza kazi Asaad. Alichofanya ni kutokumpa mkataba wa pili pale mkataba wa kwanza ulipoisha. Na sheria ya National Audit Act ilimruhusu Magufuli kufanya hayo. Na hiyo sheria ilitungwa na kupitishwa kabla Magufuli hajawa Rais wa JMT. Walichosema High Court ni kwamba hiyo sheria inapingana na Katiba. Hapo Magufuli kosa lake ni lipi? Hiyo sheria hakuitunga yeye mbona?
Do you know what you are arguing for? Sheria iliyopo nchini ilitumika, baadaye mahakama ikasema hiyo sheria ni batili sasa aliyetumia hiyo sheria utamshangaaje? Sheria hiyo hiyo ilitumika several years back, je Magufuli angeweza kuiacha hiyo sheria? For your onformation ni sheria hiyo hiyo ilitumika kuweka vyeo ya Deputy CAG, hao wapo ofisini. Je hivyo vyeo navyo ni batili? Sheria hiyo hiyo ulileta a new approach to public audit including value for money audit. Hayo nayo ni batili kwa vile sheria imetamkwa ni batili? Who is nos not sound uptsairs?... Mahakama ya juu ime-rule out kwamba Katiba ya Jamhuri ilivunjwa; wewe unatuletea porojo! Uko smart upstairs kisheria kuliko jopo la majaji watatu wa High Court waliofikia uamuzi huo? Sheria ikipingana na Katiba nini kinatakiwa?
Taja kosa lake.Sometimes kiongozi anavunja katiba Kwa Benefits za watu wengi so hakuna shida
Sidhan kama magu alimtoa bila kosa, lazima kulikuwa na makosa
And possibly yangegharimu uongozi wake and sio kila kitu cha kutolea maelezo Kwa wanainchi
Katiba hairuhusu CAG mstaafu kufanya kazi serikalini eneo lolote lile. Umesema Katiba iheshimiwe, halafu unataka ivunjwe tena!!Ushauri:
Prof. Assad arudishwe kwenye nafasi yake au apewe nafasi ya juu zaidi, ikiwezekana awe hata Gavana wa BOT.
Ndugai kalazimishwa kujiuzulu na wote mmeufyata tenaInasikitisha kuwa Assad alionewa lakini inasikitisha zaidi kuwa watu walishindwa kuhoji chochote kipindi cha Magufuli. Nina yakini kama Magufuli angekuwa hai leo hii, achilia mbali hukumu hata hiyo kesi isingesikilizwa.
Kama taifa tuna kubwa la kujifunza juu ya mustakabali wa maisha yetu. Ikiwa mahakama ambayo ni muhimili unaojitegemea unashindwa simamia haki kwa kuogopwa mtu mmoja, tujiulize wangapi walihukumiwa/waliwajibishwa pasi kuwa na hatia.
Kuna kina Assad wengi wataendelea kuwepo kupitia tawala zote zijazo endapo katiba haitobadilishwa. Mamlaka ya raisi yamekuwa makubwa mno kiasi cha kujisahau nae ni binadamu.
Taja kosa lake.
Haya.Ww Raia kazi yako ni kupumua hewa Safi, nenda kazini au kwenye biashara yako Rudi home lala na mkeo kama unae
Sio kila kitu uambiwe
Inamaanisha majaji wamekosea kwenye hukumu yao?Magufuli hakumfukuza kazi Asaad. Alichofanya ni kutokumpa mkataba wa pili pale mkataba wa kwanza ulipoisha. Na sheria ya National Audit Act ilimruhusu Magufuli kufanya hayo. Na hiyo sheria ilitungwa na kupitishwa kabla Magufuli hajawa Rais wa JMT. Walichosema High Court ni kwamba hiyo sheria inapingana na Katiba. Hapo Magufuli kosa lake ni lipi? Hiyo sheria hakuitunga yeye mbona?
Ndugai kalazimishwa kujiuzulu na wote mmeufyata tena
Kuna kina Assad wengi wataendelea kuwepo kupitia tawala zote zijazo endapo katiba haitobadilishwa. Mamlaka ya raisi yamekuwa makubwa mno kiasi cha kujisahau nae ni binadamu.
Inamaanisha majaji wamekosea kwenye hukumu yao?
Mimi naulizia tu kwani hao majaji waliotoa hukumu hii nao wamo kwenye hiyo ajenda ya Zitto na Asad?Wewe ndo jitu usiejua Zito na Asaadi walikuwa na ajenda gani kuhusu Magufuli.Zito na Asaadi na mambo yao ya udini ndo yanasumbua.Na kama Zitto na Asaadi walivyowadini walikuwa na ajenda mbaya sana na mpaka leo inaendelea.Hii ajenda inaanzia kwa Asaadi alipokuwa mkuu wa chuo kikuu cha Dodoma na kuasisi migogoro ya kidini ikiwemo kutaka kujengwa msikiti maeneo ya chuo n
Hapo mwisho , Profesa Assad hana tamaaBaada ya Mahakama Kuu kutoa hukumu yake na kubaini kuwa Prof. Assad aliondolewa katika nafasi yake ya CAG kimakosa, kwamba Katiba ilivunjwa, viongozi katika maeneo mbalimbali ya serikali mnajifunza nini?
Kuna mambo mengi sana ya kujifunza katika sakata la Prof. Assad kuondolewa katika nafasi ya CAG;
Kwanza baada ya hukumu ya Mahakama Kuu kutamka kuwa katiba ilivunjwa kumuondoa CAG Assad, nilivuta picha ya siku Prof. Assad alipokabidhi ofisi na kubeba kilicho chake kweye gari yake ndogo na kisha kuondoka! Picha ya siku ile ilinihuzunisha sana na ilionesha kuwa kulikuwa na uonevu na udhalilishaji mkubwa.
Jambo la kujifunza;
1. Viongozi mliopewa dhamana katika maeneo mbalimbali ya taasisi za serikali acheni kuwaonea waliyo chini yenu kwani malipo ni hapahapa Duniani, lazima utadhalilika.
2. Tuache uonevu na unyanyasaji kwa waliyo chini yetu.
3. Cheo ulichonacho leo ni dhamana tu huwezi kuzikwa nacho, watendee mema walio chini yako.
4. Tuheshimu katiba na sheria za nchi.
Ushauri:
Prof. Assad arudishwe kwenye nafasi yake au apewe nafasi ya juu zaidi, ikiwezekana awe hata Gavana wa BOT.
Mimi naulizia tu kwani hao majaji waliotoa hukumu hii nao wamo kwenye hiyo ajenda ya Zitto na Asad?
Hivi pale UDSM hakuna jengo la msikiti na kanisa yaliyojengwa mule ndani?