Ishu siyo Kihere wala kumudu, sissies sheria inasemaje. Inasema ATATEULIWA NA RAIS KWA KIPINDI CHA MIAKA MITANO ILA ANAWEZA KUONGEZEWA KIPINDI KINGINE KISICHOZIDI MIAKA MITANP. Alichofanya Magu ndicho sheria inavyosema. Wasaliti wetu wanakimbulua Katiba, inayosema atafanya kazi yake hadi umri wa KUSTAAFU? Mie mbona sioni cha mno? Kila mtu aliyeajirowa serkalini hufanya kazi HADI kustaafu; yaani hivi ndivuo.ilivyo kwa watumishi wote wa umma? Kipi cha ziada? Hamna mkanyiko na sheria inayompa terms mbili, kama umri ukimfika wakati yuko Muhul wa Kwanza, sheria ni nzuri kwakwe kwa vile attendees hadi kumaliza miaka 10 yake ya uteuzi hata kama kafika u.ri wa kustaafu. Wajinga wanaisoma vibaya hii Katiba, akiteuliwa kuwa CAG akiwa na miak 20 ina maana atKuwa CAG kwa miaka 40? Kihasibu hairuhurusiwa kuwa mkaguzi zaidi ya miaka 3 ingawa shareholders wanaweza kwa kupiga kura kukuruhusu uongeze miaka mingine 3 au kupitiliza umri wa kustaafu. Kitu wasichojua wasaliti wetu ni kuwa CAG si Muhimili, ni ajira tu sawa na Karani. Hata Jaji hawezi kufukuzwa kazini, na CAG hivo hivo lakini si muhimili. Tusubiri rufaa ya zittokabwe ana blungutu la petrollars za mabeberu.