Tunaingia 2021 tukiwa tumebaki na vyama viwili vya upinzani wa kweli Chadema na Chauma!

Amstadam bado hajatujua watanzania... atatujua vizuri kadri atakavyobaki mwenyewe na makarabrasha yake pale ICC
Anatufahamu, na dunia inatufahamu kuliko tunavyojifahamu. Vuta picha ya yanayoendelea Uganda leo ulinganishe na yaliyotokea Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu, halafu uyahusishanishe na madai ya kina Lema kukimbia nchi.

Balozi zote za EU zimesheheni majasusi, nikuhakikishie kuwa washagundua kuwa hawa waliofikiri they could be their best allies have proven to be the worst. Wanajua, kwa mfano, pesa waliyotoa kuanzisha main steam media ya chadema iliishia kuanzisha private media ya Freeman Mbowe.
 
Na huo ndio ukweli mchungu.

Pamoja na tofauti za kiitikadi bado naiona Chadema ikiwa imara hata kama ina mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa.

Kimsingi mbunge mmoja wa kuchaguliwa ni bora kuliko wabunge 100 waliopita bila kupingwa, na hii ni kanuni ya kiisrael kwamba kiongozi mmoja wa kuchaguliwa ni bora kuliko viongozi 100 waliojichagua wenyewe.

Kwa mapito inayopitia Chadema na ukweli kwamba bado " inadunda" ni ishara tosha kuwa wana spirit ya mabadiliko hata kama wakati bado haujafika.

Kadhalika mzee Hashim Rungwe hakuonyesha kuyumbishwa na CCM pamoja na udogo wa chama chake cha Chauma.
Huyu kweli ni Muha wa Kigoma tofauti na yule Zitto Kabwe wa ACT wazalendo au Kafulila wa CCM ambao ni bendera fuata upepo.

Nawatakia wanaJF wote Heri ya Mwaka mpya 2021.

Maendeleo hayana vyama!
Ile "ndoa" ya "CHADEMA na ACT" imekufa kifo cha mende na sasa mmeanza kuitafutia CHADEMA "kidume" kingine kiitwacho CHAUMA.
 
Na huo ndio ukweli mchungu.

Pamoja na tofauti za kiitikadi bado naiona Chadema ikiwa imara hata kama ina mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa.

Kimsingi mbunge mmoja wa kuchaguliwa ni bora kuliko wabunge 100 waliopita bila kupingwa, na hii ni kanuni ya kiisrael kwamba kiongozi mmoja wa kuchaguliwa ni bora kuliko viongozi 100 waliojichagua wenyewe.

Kwa mapito inayopitia Chadema na ukweli kwamba bado " inadunda" ni ishara tosha kuwa wana spirit ya mabadiliko hata kama wakati bado haujafika.

Kadhalika mzee Hashim Rungwe hakuonyesha kuyumbishwa na CCM pamoja na udogo wa chama chake cha Chauma.
Huyu kweli ni Muha wa Kigoma tofauti na yule Zitto Kabwe wa ACT wazalendo au Kafulila wa CCM ambao ni bendera fuata upepo.

Nawatakia wanaJF wote Heri ya Mwaka mpya 2021.

Maendeleo hayana vyama!
Upo sawa kabisa, ni CDM na CHAUMMA. Rungwe huwa mamwelewa sana.
 
Mwaka wa Tabuuhuu
Screenshot_20201204-194202.jpg
 
Anatufahamu, na dunia inatufahamu kuliko tunavyojifahamu. Vuta picha ya yanayoendelea Uganda leo ulinganishe na yaliyotokea Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu, halafu uyahusishanishe na madai ya kina Lema kukimbia nchi.

Balozi zote za EU zimesheheni majasusi, nikuhakikishie kuwa washagundua kuwa hawa waliofikiri they could be their best allies have proven to be the worst. Wanajua, kwa mfano, pesa waliyotoa kuanzisha main steam media ya chadema iliishia kuanzisha private media ya Freeman Mbowe.
Gagnija💣💥🙌
 
Wale 19 kwanini hamkuwapata kutoka CUF kama mtaani hakuna kitu?
Bila shaka umeridhishwa na matokeo ya uchaguzi mkuu! Basi kaishauri kamati kuu ya CHADEMA iwatambue badala ya kuwavua uwanachama hao 19; la sivyo ipeleke majina mengine 19 badala ya hao kama walivyofanya mashoga zenu ACT na muache kuitajataja CUF.
 
Back
Top Bottom