Mkuu mbons vyams vipya viko vingi?Kuna CCJ,CCK,Kuna Chama cha dovuta,TTP maendeleo etc wewe Tu na roho yakoKwa mwendo tunaoushuhudia siki, majuma na miezi michache iliyopita taifa linahitaji chama kipya ambacho kitakuwa kwa ajili ya wananchi, sio hivi vilivyopo ambavyo ni vyama vya viongozi, wananchi wanachukuliwa kama misukule tu!
Najiuliza kama kuna watu wameanza kuwa kama mimi; vyama vyote vya kisiasa vilivyopo nchini haviwezi kutupatia kile tunachohitaji kama taifa.
Siyo CCM, CHADEMA, CUF au TLP ambacho kilivyo sasa kinaweza kuwa tumaini la Watanzania.
Je, kuanzisha chama kingine ambacho kitatoka kwa wananchi na chenye ajenda ya mabadiliko ya kweli na kikiongozwa na watu wenye mwelekeo wa mabadiliko na wasioogopa political confrontation na ambacho hakitasita kufanya what is necessary to restore law and order and a constitutional rule kitaweza kuwa na nafasi.
Chama ambacho mrengo wake itakuwa ni kuhakikisha kuwa hakuna kurembuliana macho na mafisadi tena wala kuufafanua ufisadi bali kuushughulikia moja kwa moja.
Chama ambacho kitalenga kuleta mabadiliko ya kimfumo na kimuundo wa serikali yetu ndani ya miaka mitano ya kuingia madarakani kikibeba ajenda ya mabadiliko ya kweli (kikatiba, kisiasa, na kiutendaji) huku kikiwashughulikia kama simba mkali wale wote ambao wamelifikisha taifa letu hapa ikiwemo kutaifisha mali zao, kuwasweka jela na wale ambao ni vigogo wa ufisadi "kunyongwa" kama wanavyofanya huko China!
Chama ambacho hakitawabembeleza wawekezaji kama wakwe zetu!
Au ndiyo tubanane mumu kwa mumu huku tukiulizana "kajamba nani'!

mi naona tunahitaji chama kipya kwani vyama vilivyopo mpaka mda huu vimetofautiana majina tuu lakini vyote vinatabia zinazofanana
Tatizo ni vyama yaliyotokea uchaguzi wa CUF kwa Professor Saffari kukashifiwa au Chadema Zitto Kabwe kuzuiliwa nani anaweza kuviamini vyama hivi kienyeji tu?TLP uchaguzi wao walitaka kugombea wakavuliwa uanachama.
Kibanda alikuwa mkali kama Mbogo sababu kubwa ni mkate wa Tajiri yake kuhatarishwa.uchaguzi wa vijana umeahirishwa hadi miezi sita ijayo sababu Mgombea wa kaskazini alikosa nafasi.
nani Mwenye akili timamu anaweza kujiunga huko Chadema kwenye mazingira kama haya? Zitto ana miaka 16 ndani ya Chadema haaminiwi.jee Mkandara anaweza kuaminiwa?
Hivi karibuni imeletwa Taarifa kuwa Maaskofu wako nyuma ya DR.Slaa /Chadema ambaye alikuwa katibu mkuu wao kwa miongo kadhaa nani atajiunga kwenye chama ambacho hakina maaamuzi ya kikatiba zaidi ya vizee vinne tu?
unajua I'm getting to that point kwa kweli... tuwaache watawale.. hadi tuchoke
Chama ninachokifiria hakitafanana na chama chochote ambacho kipo sasa hivi; kimuundo, kiitikadi, kimwelekeo na kimfumo. Kitakuwa ni chama ambacho kinarudisha nguvu ya kutawala kwa wananchi wenyewe. Chama ambacho kitakuwa radical in its ideology, liberal in its pursuit of economic prosperity, and conservative in its application of the rule of law and justice. It will be an attempt to bring immediate and recognizable change in our society.
It will stand on certain principles that were the foundations of the building of our Republic. It will not be a mere creation of an idealist but a true manifestation of the reality of our ambition we have as a people. Believe me... change is coming.