Wengi walikunga mkono hapa halafu wanakugeuka
Hapana mimi nadhani Mwanakijiji ndiye kawaacha wao mataani. Pengine angswashirikisha waliomunga mkono wakajuana wakajua kimekubalika kitu gani, muundo na malengo wengi wangeendela kuunga mkono na hata kuchangia mbinu za kuwawezesha.Wengi walikunga mkono hapa halafu wanakugeuka
Hapana mimi nadhani Mwanakijiji ndiye kawaacha wao mataani. Pengine angswashirikisha waliomunga mkono wakajuana wakajua kimekubalika kitu gani, muundo na malengo wengi wangeendela kuunga mkono na hata kuchangia mbinu za kuwawezesha.
Tatizo ni pale Mwanakijiji alipoingia mitini na kuchukua mada hii kama ushahidi wa kile wananchi wanakitaka pasipo kujua kwamba the common enemy is CCM ndio sababu ya michango yao yote ya watu sio uzembe wa CUF, Chadema au TLP na vyama vinginevyo..
We would careless kama CCM wangeweza kukemea Ufisadi, kusimamisha sheria na hasa kurudi kwenye basics..mimi mmojawapo. As to say what counts is a method of analysis and approach, some kind of dialectical approach ambayo inaweza kumwondoa CCM without sectarianism...both CUF, Chadema, NCCR, TLP failed, they preached ideology of hatred of which themselves could'nt practice, na ndio maana watu wamechoka na hizi Ideology hata kama ukiwaambia itikadi ya CCJ ni tofauti wanaona zuga tu..
Kwa hiyo hatuhitaji chama chochote sisi wapenda mabadiliko tuingie humohumo tuwaondoe hao waliopo tuwa-replace na wenye uzalendo. hii mijadala tunayoifanya hapa watu wanaiona
hatuhitaji chama strong.... tunahitaji wananchi strongHakika chama kinachotegemewa kwa sasa ni CDM ila nina wasiwasi hiki vhama kikidondoka basi tutakuwa tumefeli kabisa.
Nadhani tunaitaji chama kingine chenye viongozi thabit kuliko CCM, CHADEMA na vinginevyo. Nchi nyingine zimekomaa kidemokrasia so hawaitaji sana vyama vingi lkn hapa kwetu hili lina umuhim wake.
Vyama vingine vimeoza kwasababu ya FIMBO ya chama, mtu hata awe mzuri vipi akiingia kwenye hicho chama basi anakufa anazimishwa
Hakika chama kinachotegemewa kwa sasa ni CDM ila nina wasiwasi hiki vhama kikidondoka basi tutakuwa tumefeli kabisa.
Nadhani tunaitaji chama kingine chenye viongozi thabit kuliko CCM, CHADEMA na vinginevyo. Nchi nyingine zimekomaa kidemokrasia so hawaitaji sana vyama vingi lkn hapa kwetu hili lina umuhim wake.
Vyama vingine vimeoza kwasababu ya FIMBO ya chama, mtu hata awe mzuri vipi akiingia kwenye hicho chama basi anakufa anazimishwa