Tunafuta Bima kwa mtoto tunaenda kumlipa Mafao mwenza wa kiongozi!

Mungu yupo Wacha watuchezee,fimbo yake huchapa walioshindikana kwa wenzaooo.Tz Taifa la Mungu wasizidishe ujinga atajibu kwa masilahi ya Raia wema.
 
Halafu kwa huu ujinga wa kutunga Sheria za kihuni, utakuta vyombo vya Dola vinaona fahari kuzuia maandamano ya wananchi. Matokeo yake wanaotunga hizi Sheria za kijinga hawajali lolote maana wanajua kuna wajinga wa vyombo vya Dola watawalinda.
 
kwamba umekua nabii baada ya kuchafukwa na ndio sasa ukagundua leo kwamba kuna andiko la aya ya kuonya katika bible?

Ulewa basi hata mamlaka za ulimwengu zinatoka kwa Mungu ikiwa ni pamoja na hii ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Yaani mwalimu akistaafu tunamlipa kwa kikokotoo mwenza wa kiongozi analipwa full ni futuhi ndio ni futuhiiiiii
Kuna watu kama wametolewa ubongo halafu wakajazwa mavi, tujibidishe kulea kizazi kipya kwa ubora zaidi zaidi ya malezi yetu, tunakwenda kuwajaza fedha hao wakongwe wenye utajiri wa kutisha tunawaacha watoto kwa kuwatibia bure, mavi +uharo.
 
Back
Top Bottom