Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

kazi za kubadili IMEI ndugu mim huwa sizifanyi kabisaaa maana unaweza ukamuamini hata mtu wako wa karibu then akakuchoma, ukishaona tu kazi haieleweki eleweki bora uachane nayo maana unaweza ukajikuta elf10 tu imekuponza unaishia pabaya..
umenikumbusha mbali sana 'do not trust any body except your self'
 
Habari mm nataka kujua makao makuu yenu kuna mwenzenu kachukua cm yangu LG na pesa kubadilisha kioo mda tangu mke wangu mjazito mpk leo mwanangu kaanza nursery sasa hii sio sawa
 
Mambo ya iCloud na kuuzwa na kampuni ipi mbona ni vitu tofauti kabisa. Au umehisi ni carrier lock?? Amesema kutoa iCloud Ndugu
acha ubishi njoo icloud inatoka labda ushindwe bei na inategemea kama imeuzwa direct kutoka apple au la
 
acha ubishi njoo icloud inatoka labda ushindwe bei na inategemea kama imeuzwa direct kutoka apple au la
Hawajui ulimwengu unachange kila siku!!! Kila issue huwa inaanza inekaziwa lakin baadae mlegezo tu kama icloud
 
Mi sio fund ila nina huawei 530, naskia hizi simu ni shidah, yaan zinasumbua saana software yake , nafanyaje , ishanizimia, nlipeleka kwa fundi kitamboo saaana once akaweka software nyingine lakini haikumaliza MWEZI, nimeibwaga kama miez cta nau japo bado inadai aiseeh,

Inaweza fufuka
Msaada Tafadhali
Nipo dar
 
km inawaka na kuganda inawezekana
 
Bro Nina Nokia lumia INA network lock
network unlock ya lumia ni very expensive na hutegemea iko locked na mtandao gani... kufanya unlock unaweza nunua code online au kwa kutumia flashbox kama infinity na atf yakupasa uwe na credit kwenye account ndo uweze unlock na cyo free kama cmu nyingine... kuanzia 80 hadi 100 ucshangae
 
Nimefurahi sana kuuona huu uzi na pongezi ziende kwa mwanzilishi wake na wachangiaji kwa ujumla wake

Nina mambo mawili nahitaji ushauri wenu wataalamu ambao mna uzoefu na mpo kwenye tasnia hii kwa mda wa kutosha tu

1.Nilishawahi kuchezacheza kidogo na software za simu mpaka os zake hasahasa samsung lakini ilikuwa kwa msaada mkubwa wa odin(tool ya kuflashia) pamoja na sammobile.com(kudownload os) sasa sikua najua hizi habari za boxes na baadhi ya tools ambazo fundi simu anatakiwa kuwa nazo.
Kiukweli nahitaji sana kua pro kwenye hii tasnia lakini sijui pakuanzia au kuendelea kutokana na hapo nlipoishia i.e nahitaji kujua nini na nini au kua na tools gani ili angalau nifike hata robo yenu wakuu?

2.Nina original huawei mate 7(MT7 -CL00) mkononi shida yake nlipoiformat(hard reset) haiendi tena 4g nikiiwasha 4g inaniambia mpaka niwe na laini ya china na ikiwa inawaka baada ya logo ya huawei inatokea nembo flani imeandikwa beijing halafu ndo inawaka kwahiyo network yake inaishia 2g tu na inarun android ya 4.4.2,je natakiwa kufanyaje ili iwe ina aina zote za speed ya internet(2g,3g na 4g) au kama kuna yoyote anaeweza kunisaidia ntashkuru sana

Nawasilisha.

form1
 
network unlock ya lumia ni very expensive na hutegemea iko locked na mtandao gani... kufanya unlock unaweza nunua code online au kwa kutumia flashbox kama infinity na atf yakupasa uwe na credit kwenye account ndo uweze unlock na cyo free kama cmu nyingine... kuanzia 80 hadi 100 ucshangae
yes very expensive 'tena ukipewa km zawadi'
 
Back
Top Bottom