Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

habar, me nina shida kidogo hapa simu yangu ni huawei y520-u22 nlikua naitumia lakini ghafla tu ilijireboot na kustuck kwenye logo ya huawei na nikijaribu kufanya hard reset inafika sehemu inasema can't reach phone encrypted state, nikijaribu kuflash kwa sp flash pia inagoma.. msaada hapo nini cha kufanya
Haisee error ya kugoma kuptia sp flash tool ni ip inayojitokeza???
 
Huawei haiflashiwi kwa SP flash tool sababu hii tool ni kwa MediaTek devices tu kama tecno, mkuu huawei ni Qualcomm device so inaflashiwa kupitia recovery kwa file lake linalokua katka mfumo wa UPDATE.APP likiwa ndan ya folder li name "dload" afu weka kwenye memory card na kupitia recovery chagua "Update from SD card" kisha chagua file la "dload" then itaanza kuflash.....



NB; Tafuta flash file mtandaoni kulingana na model ya sim yako........
Y520-u22 ni mtk mzee
 
Mwamba mie nina simu yangu ya acer z500 liquid,ilikuwa vizuri tu sasa haisomi line zote isipokuwa halotel,na hiyo halotel ukiuliza salio inakwambia network not available,sijajua kuna tatizo gani. msaada tafadhali
TCRA
 
simu yangu note3 haina mtandao satifiket ipo powa tatizo ni nini
Hellow bombalamvua !
Bombalamvua, Sometimes your question is too complicated to follow, satifiket ipo powa, ( You mean Certs right? ) sasa wewe umejuaje kuwa certs zipo powa? zinaweza kuwa powa lakini zikawa blocked hapa TZ. na kukupelekea kupata neno emergency calls only. na ukaenda nchi jirani ikawa registered to network.

so my point hapa bwana bombalamvua,
  • Naomba uangalie hizo IMEI za simu yako kama hazijawa blocked,
 
kuna jambo huwa linanitatiza. najuaje the right firmware kwaajili ya kuflash simu zetu za hapa bongo hususani simu za samsung. maana kuna firmware kutoka country flani ukiflash kwenye simu huwa inaacha kusoma mtandao. msaada wadau
Huwa natumia za INDIA na KENYA hazijawahi niangusha
 
Ndugu zangu kwa ambae aliprove juu ya hili tatzo kwa samsung note au s4 au nyngnezo... Kwa tatizo la kuzima pale unapowasha data au ghafla tu na ili iwake lazma utoe betr then urudshie ndo inawaka.
 
Ilitokea vp hadi ikawa hvo???
iliandika tu temperature is too high bas ikajizima,,kuwasha unaona maaandish kwa mbali kama upo kwenye mwanga bt gizani huon kitu.... wajanja wanadai taa za display ndo zmekufa.
 
iliandika tu temperature is too high bas ikajizima,,kuwasha unaona maaandish kwa mbali kama upo kwenye mwanga bt gizani huon kitu.... wajanja wanadai taa za display ndo zmekufa.
Unapatikana wap???
 
Back
Top Bottom