Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

cmu ikiwa imewaka au in download mode?
Steps nilizofuata ni nimezima Simu,nikatoa betri alafu nikairudishia then nikabonyeza vol up + hold button then nikachomeka USB cable lakin haijawa detected.
 
unaposema files unamaanisha nini?, ni apps?, music?, images? au documents?.. na umefuta kwa ku delete? erase phone storage? au ume wipe data?
mkuu nimeDELETE media, images, photos and everything. nitafanyaje ku-RECOVER vitu hivi?
 
Habarini wana JF, hope mko gud mnaendelea na harakati za weekend.
Mimi ni mdau wa mobile software na mara zote huwa napenda kushare contents na skills zangu na kujifunza vitu vipya kutoka kwa wenzangu pia.

Napenda hayo yatokee kwa wana tasnia wenzangu ili tuweze kusaidiana, tunaweza kushare roms, tools, repair and unlock contents like efs,qcn,nvm, certs n.k....na tukifika mbali zaidi ili tuweze kushare ujuzi na contents kwenye tasnia..ujuzi, contents na msaada wowote, karibuni tujuzane
Mambo VIP mkuu naomba crack ya octopus or octopus LG.box langu Jamaa kakimbia nalo
 
Simu yangu Samsung s4 haikubali kuwasha wi-fi wala hotsport. ...msaada plus

Cc 2991
 
Nina Nokia lumia 635 inaitaji CODE imetoka canada
 
Kwanza lazima ujue imetoka nchi gani Kisha tunanunua code
Pia siku hizi infinity best inafanya direct unlock lakini credit zake Ni ghali kidogo
Mkuu nina NOKIA LUMIA 635 inaitaji CODE imetoka canada
 
Habarini wana JF, hope mko gud mnaendelea na harakati za weekend.
Mimi ni mdau wa mobile software na mara zote huwa napenda kushare contents na skills zangu na kujifunza vitu vipya kutoka kwa wenzangu pia.

Napenda hayo yatokee kwa wana tasnia wenzangu ili tuweze kusaidiana, tunaweza kushare roms, tools, repair and unlock contents like efs,qcn,nvm, certs n.k....na tukifika mbali zaidi ili tuweze kushare ujuzi na contents kwenye tasnia..ujuzi, contents na msaada wowote, karibuni tujuzane
Hii nimeipenda sana,ningeomba tupate kuwa na group la whatsapp
 
[emoji121] link to join whatsapp group, all about tips and tricks on mobile flashing, unlock and repair
 
Back
Top Bottom