Na vp kuhusu chimera tool, unayo crack yake?avenger android mtk ndo iliyopo
Ok poa mkuu fanya hivyo.inahitaji network connection, ila kuepusha usumbufu ngoja nicheki uwezekano wa ku upload file 4shared au google drive then nipost link hapa
chimera hapana, bt hata kama itapatikana naamini itakuwa iko so limited maana yenye operations zake nyingi naona zinahitaji server credits for activations... unahitaji chimera kwa operations zipi?Na vp kuhusu chimera tool, unayo crack yake?
Sijasema kwa nia mbaya kaka, sikumbuki exactly model ila nishakutana na itel mbili hazina recovery, nikafanya research yangu kwenye Google, nikakuta kwenye forums mbali mbali watu wengi wamekumbana na hilo tatizosipingani na wewe ndugu bt lengo ni kuelekezana ndo dhumuni kuu la huu uzi... kwa mfano itel ipi uliwahi kukutana nayo ukiachana na zild oldest models za 13....
Kesi zitapatikani nyingimwenzenu ana kesi
Ushawahi sikia watu wako ndani au wana kesi za kujibukuna kitu ambacho tunashindwa kuelewa na km huelewi ni vema kuuliza... kuna flashing, unlocking na repair.. kosa ni kufanya IMEI CHANGE yaani ije cmu lets say tecno p5 ambayo imei zake ziko blacklisted hvyo haina network then mimi nichukue imei za cmu nyingine iliyokufa mfano nokia 1280 niziandike kwenye ile p5 ambayo iko blacklisted..
Nikuulize swali.kabla aujakamatwa .hivi Simu mf.samsungu gt-i9300.nimebadisha housing IMEI ipi inatambulika happy.baada ya muda Simu inasumbua inazima na kuwaka naweka firmware mpya hapo inakuja imei 0000094000.utafanya repair ipi.kwa wastani tuache hi kazi tuangalie mambo mengine aitufai ndugu.MTK SPDna hata TCRA watakukamata utakapofanya imei change.. imei repair to original factory imei cyo kosa.. wanachokataa ni pale ambapo cmu husika ni kwamfano tecno boom j7 then imei zake zisome samsung e1205 asee hapo wakikushika umekwisha
True z3x pro inayo card sigmar key.miracle 2box ni hardware ambayo inafanya kazi pa1 na software, kwa mfano box yetu ni BST DONGLE kwahyo kale ka dongle ndo hardware while ile installation setup ndo software.. zenyewe huwa zina muunganiko wa codes ambapo mtumiaji kazi yako ni kuchagua operation unayoitaka then those codes zilishakuwa prepared and they will operate as u have chosen... kwa maelezo rahisi ni vifaa ambavyo tunavitumia kufanyia flashing, unlocking and repair n kingine ni kwamba kuna operations ambazo tunaweza kuzifanya pasina kutumia hizo boxes ila zile most advanced zinazohusisha advanced security bac zitahitaji box na si tu box bt box ambayo iko advanced.. baadhi ya simu zenye advanced security ni kama samsung hasa latest models with their securities like REACTIVATION LOCK na hata kwenye kufanya repair hasa hasa reading and writing of certs na hata qcn.. huduma nyingi za hizi simu za kichina huwa zinafanyika na hizo box bt nyingi kama cyo zote huhitaji box.. kuna DEVELOPERS ambao hufanya baadhi ya hizi software za box zitumike bila ya kuwa na hardware yake na kwa lugha rahisi tunaziita CRACKS yaani box software ambayo iko cracked.. kwa mfano Z3X box unaweza ukatumia software yake bila kuwa na hardware yake lakini ikumbukwe box yoyote ambayo iko cracked itafanya baadhi ya kazi na si zote na kwa mfano wa hyo box tajwa hapo juu yaani Z3X operations nyingi za repair and unlock hazitofanya kazi na utakapotumia hizo cracks unakuwa huna uwezo wa kufanya update hadi usubiri developers wafanye cracking ya version tofauti.. watengenezaji wa hizo box huwa wanajua pia kama kuna watu wanaofanya cracking ya software zao hvyo kila wanavyofanya update huwa wana improve securities na ndo maana box nyingi za kisasa zinatumia SMARTCARD tofauti na box za zamani kama VOLCANO,GPG na nyingine... hope ntakiwa nimejibu hata kwa 10% bt sory for very long and boring answer
4s aitoki nduguKwa hiyo i phone 4s km ina i cloud lock inaweza kutoka maana nazo km mbili ila kila nikijaribu kutafuta apps yeyote inayoweza toa hiyo kitu hakuna
kazi za kubadili IMEI ndugu mim huwa sizifanyi kabisaaa maana unaweza ukamuamini hata mtu wako wa karibu then akakuchoma, ukishaona tu kazi haieleweki eleweki bora uachane nayo maana unaweza ukajikuta elf10 tu imekuponza unaishia pabaya..Nikuulize swali.kabla aujakamatwa .hivi Simu mf.samsungu gt-i9300.nimebadisha housing IMEI ipi inatambulika happy.baada ya muda Simu inasumbua inazima na kuwaka naweka firmware mpya hapo inakuja imei 0000094000.utafanya repair ipi.kwa wastani tuache hi kazi tuangalie mambo mengine aitufai ndugu.MTK SPD
Gsmhosting au almaarufu gsmforums ndio huko walikoanzia mjadala wa kusitisha free solution na zaidi walisema free solutions zitabaki kwenye server maalum kutegemea na box ulilonalo, kwa mfano volcano na gpg wanayo server ya download file ambapo muda si mrefu utaweza kudownload kitu kwa kuingiza user name yako ambayo itakuwa ni serial number ya box lako. Sigmakey nao tayari wanayo server ambayo mpaka ulipie ndio upate access ya kudownload filesvipi kuhusu sites kubwa na maarufu duniani zinazotoa free tutorials, roms na hata tools for free?.. hapa nazungumzia sites like GSMHOSTING, XDADEVELOPERS, HOVATEK, NEEDROM na nyingine.. na kwa sasa nadhani kila kitu kuhusu mobile kiko wazi online ni suala la ku search na idea tu.. kuna blogs na websites ngapi zinafanya free sharing?
Mimi yangu ni tecno Y6 iko infested inadown load apps yenyewe na kufuta masage na chats pamoja na contacts. Pia inapoteza network.install busy box, root cmu yako then kama una nck box au avenger kuna option ya ku remove malware through adb bt kama cmu iko highly infected hawatotoka so solution hapa ni kuflash cmu(re installation of operating system)... ni aina gani ya cmu iko infected?
hopeful unajua kuwa ni websites na blogs nyingi saaaaaaana zinafanya free sharing na mim niko mbioni kuanzisha my website for free sharing.. sasa hizi zote watazishut down or itakuwaje?, lets say watashut down.. mim nimefungua my web thru wordpress na nikanunua domain huko na nikafanya hosting.. wanashut down my web page kwa idhini ya nani?, na mim ntadili na wordpress coz wenyewe ndo wanahost my web, ba swali linakuja, je those web hosts watakubali kupoteza clients wao?..Gsmhosting au almaarufu gsmforums ndio huko walikoanzia mjadala wa kusitisha free solution na zaidi walisema free solutions zitabaki kwenye server maalum kutegemea na box ulilonalo, kwa mfano volcano na gpg wanayo server ya download file ambapo muda si mrefu utaweza kudownload kitu kwa kuingiza user name yako ambayo itakuwa ni serial number ya box lako. Sigmakey nao tayari wanayo server ambayo mpaka ulipie ndio upate access ya kudownload files
KUMBUKA..SHARING IS CARINGGsmhosting au almaarufu gsmforums ndio huko walikoanzia mjadala wa kusitisha free solution na zaidi walisema free solutions zitabaki kwenye server maalum kutegemea na box ulilonalo, kwa mfano volcano na gpg wanayo server ya download file ambapo muda si mrefu utaweza kudownload kitu kwa kuingiza user name yako ambayo itakuwa ni serial number ya box lako. Sigmakey nao tayari wanayo server ambayo mpaka ulipie ndio upate access ya kudownload files
Samsung account ya note 4s bado ni issue ngumu ku bypass reactivation lock hata z3x pro na octoplus haziitoi hiyo. So sio iphone tu ndio Amazon hazitokihopefully unaongelea ICLOUD LOCK ambayo huwa inadai user account na password zilizokuwa zinatumika.. ICLOUD ni kama FRP au REACTIVATION LOCK bt FRP na REACTIVATION LOCK zote hizo unaweza uka bypass so easily.. tofauti kubwa ni securities zinazotumiwa na APPLE na companies nyingine.. securities za companies nyingine unaweza bypass easily bt note securities za APPLE.. ikumbukwe kuwa apple huwa wanafsnya software update mara nyingi tofauti na ANDROID na wanapofanya updated huwa hasa wanalenga kufix security loops/holes zilizopo ili kuzuia breach.. kuna developers ambao wanaweza fanya bypass ys ICLOUD bt ni kuanzia iphone4 kushuka chini na hii ni kwa sababu ys security iliyopo kwenye iphone4 kishuka chini bt baada ys kufanyiwa bypass huwa haziwezi kupata network... kingne ni kuwz apple wanatumia OS yao wenyewe tofauti na android ambayo ni so common hvyo huws wanainvest sana kwenye security ili kulinds products zao.. kikubwa nadhani ni regular security check and update and fixing those security holes