randez vous
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 890
- 623
Wataalamu.... Simu yangu Samsung s6 Edge inatatizo La kujizima na kujiwasha.. Simu ni mpya sijaiangusha Wala kuifanya chochote cha kuiharibu. Ilianza kila nikiwasha data inajizima na kujiwasha lkn kwasasa inawaka na kuzima tu mpaka chaji iishe. Nimeishafanya factory reset Mara nyingi lkn bado.. Nimebadilisha lain Hamna kitu.... Mbaya zaidi nilipoinunua sikufatilia kuhusu warranty maana niliiamini Sana..... Naomba msaada