benmatelefone
Member
- Jun 12, 2014
- 10
- 17
mkuu samahan kuwa hawa sex virus ambao huwa wanaingia kwenye sim then sim inaanza kudownload app.yenyewe vip namna ya kuwatoaHabarini wana JF, hope mko gud mnaendelea na harakati za weekend.
Mimi ni mdau wa mobile software na mara zote huwa napenda kushare contents na skills zangu na kujifunza vitu vipya kutoka kwa wenzangu pia.
Napenda hayo yatokee kwa wana tasnia wenzangu ili tuweze kusaidiana, tunaweza kushare roms, tools, repair and unlock contents like efs,qcn,nvm, certs n.k....na tukifika mbali zaidi ili tuweze kushare ujuzi na contents kwenye tasnia..ujuzi, contents na msaada wowote, karibuni tujuzane
tupo pamoja mkuu