Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Mkuu msaada nina Samsung Note 2
Niki I Weka chaji inajiwasha na hata ukiiwasha inaishia kwenye logo tu ya samsung galaxy not ¡¡ hivi ni tatizo la softwere au n
 
Mkuu msaada nina Samsung Note 2
Niki I Weka chaji inajiwasha na hata ukiiwasha inaishia kwenye logo tu ya samsung galaxy not ¡¡ hivi ni tatizo la softwere au n
kuishia kwenye boot logo ni software issue..
 
samahan mkuu na nokia yangu x2-01 ina security lock but kila nikiweka pasword ku unlock inasema code error how can unlock it help please
fanya flashing bt kwenye kuchagua files chagua PPM only
 
Habarini wana JF, hope mko gud mnaendelea na harakati za weekend.
Mimi ni mdau wa mobile software na mara zote huwa napenda kushare contents na skills zangu na kujifunza vitu vipya kutoka kwa wenzangu pia.

Napenda hayo yatokee kwa wana tasnia wenzangu ili tuweze kusaidiana, tunaweza kushare roms, tools, repair and unlock contents like efs,qcn,nvm, certs n.k....na tukifika mbali zaidi ili tuweze kushare ujuzi na contents kwenye tasnia..ujuzi, contents na msaada wowote, karibuni tujuzane
Nina miracle box na loader kila nikijaribu kufanya çhochote ina nipa sms kua non usb port or may be drivers,nimejaribu drivers kibao still cjafanikiwa nini shida
 
na hata TCRA watakukamata utakapofanya imei change.. imei repair to original factory imei cyo kosa.. wanachokataa ni pale ambapo cmu husika ni kwamfano tecno boom j7 then imei zake zisome samsung e1205 asee hapo wakikushika umekwisha
Daah, kufanya kitu kifanye kazi si ndio kukua kwà technology, why changing imei is elligle
 
Nina miracle box na loader kila nikijaribu kufanya çhochote ina nipa sms kua non usb port or may be drivers,nimejaribu drivers kibao still cjafanikiwa nini shida
ni cmu zote?
 
ni illegal kwasababu hizo imei ndizo zinazosaidia service providers, kukutrack. na kama simu unayotumia imehusika katika tukio basi inakuwa rahisi kukufutilia. wiki kadhaa kuna jamaa aliuliwa kupitia mawasiliano. wauaji walikuja kamatwa kwa njia ya IMEI. sasa ukibadilisha imei duuuuuu, Halafu mbaya zaidi ukute umeweka IMEI za simu ambayo inatrackiwa kwa mauaji. itakuwaje?
 
Habari Wana jamvi.... Nilikuwa natumia LUMIA 640XL ikanishinda nikampa binamu yangu atumie sasa Binamu aliweka huko email na mapassword kibao sasa amepata Android ameirudisha fungua fungua na wewe.... Kila anachoweka kinakataa simu inampaka lisiti kwa anayeweza kuirudisha Kama zamani tuwasiliane PM
 
Wazee wenye ROM ya tecno N8 tigo Tz Unlocked.... Msaada bas..
 
Mkuu kwann simu nyingi kama za samsung au ata brand kama lg huwa hazitumii chip ya mediatek.
 
Mkuu kwann simu nyingi kama za samsung au ata brand kama lg huwa hazitumii chip ya mediatek.
lg zipo nyingi sana zenye chip za mediatek.. samsung ndo sijaziona bt spd kwenye samsung zipo.. kwa maono yangu ni kuwa mtk ni cpu nyepesi ukifananisha na cpu nyingine so huenda ndo sababu samsung hawaitaki
 
Mkuu mm swali lang ni kwamba kwanini simu za tecno baadaa ya kutumika kama mwaka mmoja hv zinaanza kuwa slow sana. Hapa tatizo ni nn?
inategemea na matumizi bt kingine ni kwamba hizi cmu huwa naziita cmu za kijinga coz ziko so easilly kuwa infected with viruses na hata system zake ni rahisi sana ku corupt ukilinganisha na chipset nyingine.. nadhani ni weakness ya MEDIATEK
 
Habari Wana jamvi.... Nilikuwa natumia LUMIA 640XL ikanishinda nikampa binamu yangu atumie sasa Binamu aliweka huko email na mapassword kibao sasa amepata Android ameirudisha fungua fungua na wewe.... Kila anachoweka kinakataa simu inampaka lisiti kwa anayeweza kuirudisha Kama zamani tuwasiliane PM
tatizo hasa ni nin kwenye hyo cmu?.. ina screen lock ambyo huijui au inadai email kwenye store?
 
Wazee wenye ROM ya tecno N8 tigo Tz Unlocked.... Msaada bas..
unahitaji rom kwa kuwa cmu ina tatizo au unataka iliyoko unlocked ili ufanye sim unlock ya hyo device yako ndugu?
 
KWA UHITAJI WA ROM YOYOTE, DRIVERS, FLASH TOOLS HASA CRACKS na TUTORIALS JUST ASK AND TUTASAIDIANA WERE POSSIBLE NA MSAADA HAPA NI TOTALLY FREE
Nna Tecno H6 nahitaji kuiwekea ROM ya Yoyote ya Samsung yani naihitaji kuichange Tecno H6 to look like samsung, Is it Possible???
 
Back
Top Bottom