Weka link bob ili iwe simple kujoin
ingekuwa haina network kabisa yaani emergency calls au emergency pengine ningeweza kusaidia bt kama inapandisha network ila ni hafifu basi naamini hyo ni hardware matter.. onana na mafundi hardware.. kuna thread ya mobile hardware nadhani watakusaidiaMkuu 2991 nina simu ya Samsung Note 3 Neo (SM-N750L)
ni toleo la Kikorea. Tatizo lake ni Network. Kuna wakati inashuka kabisa
baada ya muda inarudi tena. inaweza ikakaa sana. mpaka ujaribu kuzima na kuwasha
mara kadhaa ndio Network inarudi. Nimeambiwa hizi simu za Korean version zinasumbua Nwetwork sana.
Je nini Solution yake?
tatizo hili ninalo wacha nijaribuiphone4 kushuka chini snd not 4s, ns itakapokuwa bypassed utakuws tu unatumia ksma media player... tembelea XDADEVELOPERS or GSMHOSTING
Umejalibu kuibackup kvp!!!MSAADA PLZ,
kuna simu yangu ya tecno m3 niliiustall file la branding provider na google play service baada ya mda ikazima alafu ikawaka, bas toka hapo kila ninachotaka kukifungua inaleta ule ujumbe wa unfortunately, hata ukitaka kufungua seting italeta "unfortunately seting has stoped" nimejaribu kuibuckup ikashindikana nimeipeleka kuiflash wameshindwa et wanasema m,a,c sijui imekufa hivyo ibadilishwe mashine. sasa yeyote mwenye kujua jins ya kuitibu bila kubadili iyo mashine atujuze jins ya kufanya,
nawasilisha
niliibackup kupitia seting haikusaidi, nikaibackup tena wakat wa kuiwasha kw ktumia hii batan ya power na volum, nkaibackup ila wapi ad sasa hiko hvyo hvyo so nifanyeje?Umejalibu kuibackup kvp!!!
Ukiongelea kubackup unamaanisha nini labda??? Nyoosha maelezo...niliibackup kupitia seting haikusaidi, nikaibackup tena wakat wa kuiwasha kw ktumia hii batan ya power na volum, nkaibackup ila wapi ad sasa hiko hvyo hvyo so nifanyeje?
sina experience sana kias cha kuweza kuelzea kiufundi ila backup nlomaanisha hapo nl ile ya kuflash simu biala ya hizo box yani unaflash simu kupitia simu yenyewe, sa cjui nimeeleweka hapoUkiongelea kubackup unamaanisha nini labda??? Nyoosha maelezo...
Nshakupata. Umemaanisha uliifanyia hard reset lakin bado ikawa chenga. Je walipoiflash mafundi ni kwamba iligoma kupokea flash file au ilipokea lakin ikawa bado vle vle???sina experience sana kias cha kuweza kuelzea kiufundi ila backup nlomaanisha hapo nl ile ya kuflash simu biala ya hizo box yani unaflash simu kupitia simu yenyewe, sa cjui nimeeleweka hapo
hapo sijajua ila aliiflash alipomalza akanigaia niiwashe (yan alimaanisha keshaitibu) ila nilipoiwasha ikawa vile vile akaichukua tena akaijaribu afu ndo akaniambia kua imekufa sijui m.i.c (sina huakika n jina lake) hvyo ibadilishwe mashineNshakupata. Umemaanisha uliifanyia hard reset lakin bado ikawa chenga. Je walipoiflash mafundi ni kwamba iligoma kupokea flash file au ilipokea lakin ikawa bado vle vle???