Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Wakuu mi namiliki samsung shv-e330l nilipata converted rom inayopeleka simu into gt-i9506 but after installation tethering haifanyi kazi,msaada namna yaku fix hili tatizo
tafuta official rom ya hyo cmu yangu then flash it na kila kitu kitakuwa ok
 
mimi naongea km fundi 'crack software not safe to use'
hapo ckubaliani na wewe kwamba cracks zinazima cmu na hazitokuja kuwaka... hata ukiwa na box ucpokuwa makini unaweza pia ukazima cmu.. uliwahi kuzima cmu gani na kwa crack ya box ipi?
 
tafuta official rom ya hyo cmu yangu then flash it na kila kitu kitakuwa ok
Official rom nnayo but kuna baadhi ya features nilikua nazikosa kama ku switch network modes,ndiyo maana nikawa najaribu rom nyingine .....
 
hapo ckubaliani na wewe kwamba cracks zinazima cmu na hazitokuja kuwaka... hata ukiwa na box ucpokuwa makini unaweza pia ukazima cmu.. uliwahi kuzima cmu gani na kwa crack ya box ipi?
nimwekwambia crack huwa zina zimisha simu na ikizima huwa haiwaki endelea kushabikia crack nimekupa ushauri wabure 'hope you are not difficult in your mind'
 
Mkuu 2991 nina simu ya Samsung Note 3 Neo (SM-N750L)
ni toleo la Kikorea. Tatizo lake ni Network. Kuna wakati inashuka kabisa
baada ya muda inarudi tena. inaweza ikakaa sana. mpaka ujaribu kuzima na kuwasha
mara kadhaa ndio Network inarudi. Nimeambiwa hizi simu za Korean version zinasumbua Nwetwork sana.
Je nini Solution yake?
Usiilimit kwenye 4g, 3g na 2g iweke automatic
 
Official rom nnayo but kuna baadhi ya features nilikua nazikosa kama ku switch network modes,ndiyo maana nikawa najaribu rom nyingine .....
kama issue ni hotspot hebu jaribu kutafuta app, naamini kutakuwa na apps out there zinazoweza fanya hyo kazi
 
nimwekwambia crack huwa zina zimisha simu na ikizima huwa haiwaki endelea kushabikia crack nimekupa ushauri wabure 'hope you are not difficult in your mind'
nimekuuliza swali dogo tu brother, uliwahi kuzima cmu gani na kwa crack ya box ipi? ukisema tu UMENAMBIA pasina kuthibitisha hata mimi naweza pia NIKAKWAMBIA kile ambacho ntajickia KUKWAMBIA.. kama utathibitisha ntashindwa kukupinga bt now nina kila sababu
 
nikajua ni kitu cha maana, sasa profile yako ya gsmhosting ina maana gani au inahusika vp na swali nlilokuuliza?.. i have mine too
Benny gsmhosting ume joint 2003, mimi nilijoin 2002. kwahiyo kumbe wewe ni junior kwangu hapo gsmhosting. salute me brother.
 
nikajua ni kitu cha maana, sasa profile yako ya gsmhosting ina maana gani au inahusika vp na swali nlilokuuliza?.. i have mine too
Nimemwelewa Benny, alikuwa anakuonyesha profile yake ili umwelewe kuwa ameanza kazi hii zamani kidogo na anauelewa wa crack software na original software.
 
Wakuu nina shida ya sakiti ya tecno c8 mwenye nayo anipm tufanye biashara
 
Wakuu

Betri za Sony Xperia C6606 ni bei gani...? Betri original

Na kubadili body ya nyuma ya simu
 
na hata TCRA watakukamata utakapofanya imei change.. imei repair to original factory imei cyo kosa.. wanachokataa ni pale ambapo cmu husika ni kwamfano tecno boom j7 then imei zake zisome samsung e1205 asee hapo wakikushika umekwisha
Hivi wana juaje kama simu imebadilishwa imei[emoji102]
 
Back
Top Bottom