Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

Mimi nina simu yangu nlipeka kwa fundi baada ya kuflash inawaka tu kwa kuonyesha jina then inabaki mwanga kwenye screen ni htc tatizo atakuwa amekosea soft au kuna tatizo lingine kaliongeza?
 
Mkuu naomba unisaidie general procedures za kuflash simu kwa flashing tool
0717458447.. na kuna whatsapp group nadhani utajifunza mengi coz kuna watu wengi wa kujibu chochote utakachouliza.. jst nicheki kwa hyo no
 
Mimi nina simu yangu nlipeka kwa fundi baada ya kuflash inawaka tu kwa kuonyesha jina then inabaki mwanga kwenye screen ni htc tatizo atakuwa amekosea soft au kuna tatizo lingine kaliongeza?
model ya cmu?
 
Mimi nina simu yangu nlipeka kwa fundi baada ya kuflash inawaka tu kwa kuonyesha jina then inabaki mwanga kwenye screen ni htc tatizo atakuwa amekosea soft au kuna tatizo lingine kaliongeza?
kabla ya kuipeleka ilikuwa na shida gani?
 
kuna kitu ambacho tunashindwa kuelewa na km huelewi ni vema kuuliza... kuna flashing, unlocking na repair.. kosa ni kufanya IMEI CHANGE yaani ije cmu lets say tecno p5 ambayo imei zake ziko blacklisted hvyo haina network then mimi nichukue imei za cmu nyingine iliyokufa mfano nokia 1280 niziandike kwenye ile p5 ambayo iko blacklisted..
Hilo ni kosa kisheria kwani hiyo simu haina imei huko chini ya betri? najua kwamba tecno p5 kupoteza imei ni rahisi sana'I will comment later'
 
hapo sijajua ila aliiflash alipomalza akanigaia niiwashe (yan alimaanisha keshaitibu) ila nilipoiwasha ikawa vile vile akaichukua tena akaijaribu afu ndo akaniambia kua imekufa sijui m.i.c (sina huakika n jina lake) hvyo ibadilishwe mashine
Sio mic ni EMMC hapo mzee usimdarahu huyo fundi kama vp tafuta saketi nyngne au nunua simu nyngne
 
Bonjour...
Wakuu mimi nina shida na efs backup ya galaxy note 4 (n910h) au .cert file yake.Nimezunguka sana mtandaoni nimeshindwa kupata hizo files, most of them are corrupted.
 
na hata TCRA watakukamata utakapofanya imei change.. imei repair to original factory imei cyo kosa.. wanachokataa ni pale ambapo cmu husika ni kwamfano tecno boom j7 then imei zake zisome samsung e1205 asee hapo wakikushika umekwisha
Je TCRA wanajua kwamba imei zina corrupt tena kwenye simu org? na kuna option ya ku repair or rebuild imei
 
Mkuu 2991 nina simu samsung galaxy S4 (GT-I9500) tatizo lake ukijaribu kupiga namba inasema 'Not registered on network'. Nimejaribu njia kadhaa ikiwemo kuflash lakini bado ipo hivyo hivyo na IMEI yake ipo sawa. tatizo nini?
Kuna vitu 2 kuna option ya network repair kwa kutumia haya mabox ya kutengenezea simu ama simu kwa ndani 'hardware fault' hapo inaweza ikawa antena wire mbovu nk
 
Mimi nina simu yangu nlipeka kwa fundi baada ya kuflash inawaka tu kwa kuonyesha jina then inabaki mwanga kwenye screen ni htc tatizo atakuwa amekosea soft au kuna tatizo lingine kaliongeza?
Taja aina utajibiwa vizuri
 
Bonjour...
Wakuu mimi nina shida na efs backup ya galaxy note 4 (n910h) au .cert file yake.Nimezunguka sana mtandaoni nimeshindwa kupata hizo files, most of them are corrupted.
huwezi pata cert ya note4 fo free kaka, clean cert ya hyo kitu naweza nkakupatia bt kibiashara zaidi
 
box ni hardware ambayo inafanya kazi pa1 na software, kwa mfano box yetu ni BST DONGLE kwahyo kale ka dongle ndo hardware while ile installation setup ndo software.. zenyewe huwa zina muunganiko wa codes ambapo mtumiaji kazi yako ni kuchagua operation unayoitaka then those codes zilishakuwa prepared and they will operate as u have chosen... kwa maelezo rahisi ni vifaa ambavyo tunavitumia kufanyia flashing, unlocking and repair n kingine ni kwamba kuna operations ambazo tunaweza kuzifanya pasina kutumia hizo boxes ila zile most advanced zinazohusisha advanced security bac zitahitaji box na si tu box bt box ambayo iko advanced.. baadhi ya simu zenye advanced security ni kama samsung hasa latest models with their securities like REACTIVATION LOCK na hata kwenye kufanya repair hasa hasa reading and writing of certs na hata qcn.. huduma nyingi za hizi simu za kichina huwa zinafanyika na hizo box bt nyingi kama cyo zote huhitaji box.. kuna DEVELOPERS ambao hufanya baadhi ya hizi software za box zitumike bila ya kuwa na hardware yake na kwa lugha rahisi tunaziita CRACKS yaani box software ambayo iko cracked.. kwa mfano Z3X box unaweza ukatumia software yake bila kuwa na hardware yake lakini ikumbukwe box yoyote ambayo iko cracked itafanya baadhi ya kazi na si zote na kwa mfano wa hyo box tajwa hapo juu yaani Z3X operations nyingi za repair and unlock hazitofanya kazi na utakapotumia hizo cracks unakuwa huna uwezo wa kufanya update hadi usubiri developers wafanye cracking ya version tofauti.. watengenezaji wa hizo box huwa wanajua pia kama kuna watu wanaofanya cracking ya software zao hvyo kila wanavyofanya update huwa wana improve securities na ndo maana box nyingi za kisasa zinatumia SMARTCARD tofauti na box za zamani kama VOLCANO,GPG na nyingine... hope ntakiwa nimejibu hata kwa 10% bt sory for very long and boring answer
'Crack' simu ikizimishwa na hiyo crack haiponi
 
'Crack' simu ikizimishwa na hiyo crack haiponi
kuzima cmu ni matokeo ya carelessness na fundi hutakiwi kuwa hvyo... unashauriwa kufanya backup kabla ya kuwrite or repair
 
link ya WHATSAPP GROUP.. TOGETHER WE CAN
 
Wakuu mi namiliki samsung shv-e330l nilipata converted rom inayopeleka simu into gt-i9506 but after installation tethering haifanyi kazi,msaada namna yaku fix hili tatizo
 
Back
Top Bottom