Tuna mabinti kama huyu, Wasudani wa nini?

๐Ÿ˜๐Ÿ˜Yaani mimi nikimkuta baby wangu na chotara wala sina plesha najua atarudi hana maajabu ya kunizidi ๐Ÿ™†๐Ÿพโ€โ™€๏ธ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Kumbe una bby wako.
Wee shauri yako siku utashangaa chotara kampa kidu hadimu na bby akapotea mazima.
 
Mama ako si mbongo

Shida sio kuwa mbongo.. shida ni elimu kubwa kama ya udaktari.

Nashukuru mama yangu pia ni high value woman maana ana elimu ya uhasibu..na amefanya kazi kama mhasibu mpaka alivyostaafu.

Wanawake wasio na elimu hata awe mzuri vipi ni low value woman.

Wanachojua ni kupanua mapaja tu
 
Watu wa afya wanatushauri kwamba maumivu yakizidi muone daktari

Halafu we unabeza kitendo cha mtu kwenda kumuona daktari msudani?
Kumbe ni madaktari nilijua ni wanafunzi yaani hapo nawaona Mario wakijisogeza ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Back
Top Bottom