JIWE ANAKUSALIMIA ANASEMA UTAKWENDA LINI kumbusu?Hata wezi wa mafuta kule Kigamboni nao wamebambikiwa na Biswalo Mg
Ushahidi ni kama wa Yanga, a bit watertightYule mdude kama hakuifanya hiyo biashara atatoka tu, kama aliifanya kweli kuchomoka sijui
Uyu mtoto alikua na kisabengo sana mwanakuyatafuta mwanakuyapata saiv anaumiza familia yake na yeye mwenyewe km mwenyekiti wa chama alifyata mkia akanyamaza yeye ninan?.
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Mdude Nyagali Chadema alibambikiwa kesi ya kukutwa/kufanya biashra ya madawa ya kulevya na hukumu yake nasomwa tarehe 14/6/2021.
Ikumbukwe kuwa Yanga Omari Yanga wa Tanga alikuwa na kesi ya kutegeshewa na Jana Mahakama ya Rufaa Tanzania imetoa hukumu ya rufaa iki-confirm hukumu ya Mahakama Kuu iliyomfunga miaka 30 jela.
Kesi hizi mbili zinashabihiana kwa jinsi serikali ya Jiwe ilivyowategeshea na kuwanasa katika madhira yaliyowakuta.
Nimeisoma hukumu ya Yanga Omari Yanga na kweli ushahidi uko watertight, haikuwa rahisi kujinasua.
Hivyo tumwombee Mdude Chadema Mungu amuepushe na uonevu unaomsubiri.
NOT: NAONA KESI YA YANGA OMARI YANGA KWENYE Court of Appeal of Tanzania decisions | Tanzania Legal Information Institute IMEKUWA WITHDRAWN, SIJUI KUNA NINI
sasa kama kakutwa na madawa ndo jumba bovu limemuangukia..mbaya zaidi serikali haiwezi ingilia mahakamaUshahidi ni kama wa Yanga, a bit watertight
Afungwe naye alizidi na siasa za kitoto maana hajajitambuaMdude Nyagali Chadema alibambikiwa kesi ya kukutwa/kufanya biashra ya madawa ya kulevya na hukumu yake nasomwa tarehe 14/6/2021.
Ikumbukwe kuwa Yanga Omari Yanga wa Tanga alikuwa na kesi ya kutegeshewa na Jana Mahakama ya Rufaa Tanzania imetoa hukumu ya rufaa iki-confirm hukumu ya Mahakama Kuu iliyomfunga miaka 30 jela.
Kesi hizi mbili zinashabihiana kwa jinsi serikali ya Jiwe ilivyowategeshea na kuwanasa katika madhira yaliyowakuta.
Nimeisoma hukumu ya Yanga Omari Yanga na kweli ushahidi uko watertight, haikuwa rahisi kujinasua.
Hivyo tumwombee Mdude Chadema Mungu amuepushe na uonevu unaomsubiri.
NOT: NAONA KESI YA YANGA OMARI YANGA KWENYE Court of Appeal of Tanzania decisions | Tanzania Legal Information Institute IMEKUWA WITHDRAWN, SIJUI KUNA NINI
Ananuka mpaka mdude anapata tabuBora yeye yupo hai, Alie-Engineer ananuka kama mavi sasa hivi