Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,089
- 72,510
Kwa jinsi wenyewe walivyoitengeneza whatsapp lazima tableti yako iwe inatumia laini. Ni hivyo ina laini? Au ni ya wiFi tuu?
Haina laini,inatumia wiFi tu
Kwa jinsi wenyewe walivyoitengeneza whatsapp lazima tableti yako iwe inatumia laini. Ni hivyo ina laini? Au ni ya wiFi tuu?
Haina laini,inatumia wiFi tu
Basi hiyo ndiyo sababu. Pole.
inawezekana kama utapakua bluestalk .
bluestack inakupa apps zote za android kwenye pc including whatsapp
Naomba,
kuuliza, je inawezekana kudownload na kutumia watsaap kwenye laptop au desktop kama tunavyotumia smartphone?
Kama computer yako inatumia zile processor za Core kunzia i3 mpk i7 basi hii blue stack haitakufaa au haitaingia kwenye mashine yake itabidi uchukue youwave link iko hapa enjoy
Kama computer yako inatumia zile processor za Core kunzia i3 mpk i7 basi hii blue stack haitakufaa au haitaingia kwenye mashine yake itabidi uchukue youwave link iko hapa enjoy
Naomba,
Kuuliza, je inawezekana kudownload na kutumia watsaap kwenye laptop au desktop kama tunavyotumia smartphone?
Mi sjaelewa why powerfull processor hazirun bluestack?
Mkuu system za blue stack haziwez kuread graphic card kubwa kwenye pc mfano hizi mashine za yako na ndio maana mostly huwa tunapata error ya graphic card hasa wale wenye pc zenye Processor ya 4th generation ....hivyo wanashauri kabla ya kuchukua hi app unafanya kuupdate drivers za card yako kwanza kama uliwahiki kupata error ya card mwanzoniii
Inawezekana kwa kutumia BueStacks au youwave kama wadau walivyosema, ila Bluestacks inazingua au inaweza isifanye kazi kabisa kwa baadhi ya computer (Sijui kwanini , wala sijafuatilia sana) .
Ila kuna njia Rahisi ya kutumia Whatsapp kwenye PC kwa kutumia web www.web.whatsapp.com
ukishafungua hiyo URL , kwenye simu yako unafungua whatsapp, then kwenye settings unaclick Whatsapp for web , hapo itakulete QR scanner (yaani uta elelezea camera ya simu yako kwenye screen ya computer ili ku scann ile QR code).
automatically ukisha scann, italogin yenyewe
soma hapa https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/842592-whatsapp-for-web.html
naweza kuscan zaidi ya sim moja?Inawezekana moja kwa moja kutoka katika whatsapp yako ya simu.
Kwenye browser yako kafungue page hii
Web.whatsapp.com
Ukifungua itakupa maelekezo ufanyeje kwenye whatsapp ya simu itabidi kuscan code unayoiona kwenye website na simu yako...
Nirahisi sana no mawazu no ujuzi kaka nini then enjoy
Make sure whatsapp yako ipo updated incase ikikataaa
Kama unatumia IE hawai recommend so nenda kwenye zingine.