TUMIA Whatsapp na Instagram kwenye Computer yako

TUMIA Whatsapp na Instagram kwenye Computer yako

npaka Uidownload..... kwani Umeinstall Youwave Au Bluestack??

Ndugu yangu nimesha install youwave kwenye komputa yangu na nikafuata maelezo jinsi ya kutumia lakini pindi nilipodownload app ya what's up ilipofika 63% ikaonesha kwamba complete na nilipofuata hatua inayofuata ya kwenda kwenye menu botton siioni whatsup icon na nikitaka kudownload tena naambiwa kuwa the app already exist if I want to re-download it niifute iliyokuwepo...kwenye app panel ambako sikujui huko app panel ni wap mssaada mkuu natanguliza shukrani
 
Jinsi ya kutumia whatsapp kwenye youwave (MAELEKEZO)

1. INSTALL YOUWAVE, WEKA NA CRACK, UKISHAMALIZA START YOUWAVE
>>>>>>>>>Download YouWave Hapa<<<<<<<<<<<<<<<<

2. UPANDE WA KUSHOTO CLICK VIEW > ONLINE CONTENT

1016275_396361977152011_480993017_n.jpg

3. KWENYE ONLINE APPS CHAGUA WHATSAPP (DOUBLE CLICK) ITAANZA KUDOWNLOAD WHATSAPP KISHA ITAINSTALL, ILA KAMA UNAYO WHATSAPP.APK KWENYE PC UNAWEZA KUINSTALL DIRECT, BAADA YA KUINSTALL CLICK MENU BUTTON YA ANDROID YAKO

971510_396362007152008_1675836211_n.jpg

4. UKIFUNGUA ANDROID MENU YAKO UTAONA APPS, FANYA KAMA UNASWIPE KWENYE SIMU YAKO (HOLD KISHA DRAG ILI UPATE APPS ZAIDI)

944265_396362017152007_935279934_n.jpg

5. DOUBLE CLICK WHATSAPP NA UANZE SETUP YA WHATSAPP

998517_396362047152004_114186706_n.jpg

6. VOILAAAAAAAAAAAAA, U DONE , HONGERAAA

1004455_396380400483502_1843026640_n.jpg

Nina kichwa kibovu lakini Mkuu C6 kwa maelezo ya maandishi na kwa msisitizo wa picha hakika nimekupata vilivyo! nilikuwa napita pita tu humu ila uzi huu umenivutia! vi-MB vyangu 50 nlivyounga havitoshi ila kesho nitafanya mambo arifu! PISI BI WISI YUU BRODA!! :wave:
 
Ukisha insall bluestack, ingia kwenye google play install go launcher ex, itaifanya hiyo bluestack iwe na mwonekano mzur wa android kama za cm, bt kunakua hakuna mwingiliano wwte kati ya pc na bluestack mfano ukitaka kutuma picha kwa kutumia watsapp na kama hiyo picha imo kwenye pc, inatakiwa ui install dropbox kwenye pc yako.

ukitaka kutuma picha huhitaji dropbox just drag and drop your fake ass pics or any file kwenye uwanja wa meseji then press enter, game over, there is thousands of possibilities, your creativity is the only limit
 
Jinsi ya kutumia whatsapp kwenye youwave (MAELEKEZO)

1. INSTALL YOUWAVE, WEKA NA CRACK, UKISHAMALIZA START YOUWAVE
>>>>>>>>>Download YouWave Hapa<<<<<<<<<<<<<<<<

2. UPANDE WA KUSHOTO CLICK VIEW > ONLINE CONTENT

1016275_396361977152011_480993017_n.jpg

3. KWENYE ONLINE APPS CHAGUA WHATSAPP (DOUBLE CLICK) ITAANZA KUDOWNLOAD WHATSAPP KISHA ITAINSTALL, ILA KAMA UNAYO WHATSAPP.APK KWENYE PC UNAWEZA KUINSTALL DIRECT, BAADA YA KUINSTALL CLICK MENU BUTTON YA ANDROID YAKO

971510_396362007152008_1675836211_n.jpg

4. UKIFUNGUA ANDROID MENU YAKO UTAONA APPS, FANYA KAMA UNASWIPE KWENYE SIMU YAKO (HOLD KISHA DRAG ILI UPATE APPS ZAIDI)

944265_396362017152007_935279934_n.jpg

5. DOUBLE CLICK WHATSAPP NA UANZE SETUP YA WHATSAPP

998517_396362047152004_114186706_n.jpg

6. VOILAAAAAAAAAAAAA, U DONE , HONGERAAA

1004455_396380400483502_1843026640_n.jpg

kiukweli nimeweza ku-download na mzigo uko tayari, mm ni mgeni kidogo kwenye whatsapp! sasa kuna kitu kinanichanganya hapa, nita add vipi friends ambao wako kwenye whatsapp? mi mbona niki-scroll down hapa juu pananiambia no service? mm natumia modem ya airtel lakin namba nloijaza na kutumiwa zile code za whatsapp ni namba yangu ya voda, je hili linaweza kuwa ndo tatizo la net? manake line nliofanya registration ni ya voda na iliyopo kwenye modem ni airtel! Mkuu C6 hapa vipi?
 
Attachments

  • tsup.jpg
    tsup.jpg
    20 KB · Views: 91

whatsapp unajisajili kwa namba yoyote, na unaweza kutumia simu yenye namba ingine kuingia kwenye akaunti ya namba ingine...

mfano: ukisajili namba ya voda, afu simu yako ina mtandao wa tigo, haitakataa. itakubali tu.
 
mkuu mimi natumia PC na sio simu! tatizo inanionyesha kuwa no service! na sijaweza fanya chochote ila tayari nshafanikiwa kui-install kwenye PC! nn tatizo?
 
Baadhi ya watu tumekua tukihitaji kutumia baadhi ya application kama whatsapp na instagram kwenye pc zetu kutokana na sababu tofauti,, pengine cm haisuport, au sim imeharibika kwa muda au pengine tunapenda tu...

So ifuatayo ni program ambayo unaweza ukafanya yote hayo kwenye pc yako,, yaan app zote za android unaweza kuzipata na kutumia kwenye pc yako....

capture-20130930-160702.png

Hivi ndivyo inavyoonekana ,,, kuna sehem ya kusearch hapo juu ambapo unaweza kusearch any applichation and install.... lazima uwe na modem,, n hata wakt wakuinstall lazima uconnect na internet....

Hapo ukishainstall whatsapp process nyingne za kawaida km kweny cm tu....enjoy instagram na whatsapp ht kama hauna cm...
 
Wanajamvi mimi ni junior user wa JF. sasa naombeni kama kuna anayejua namna kuistall what'sapp kwny Pc anisaidie. Natumia Hp compaq presario CQ43- window7 profesnal.
Asanten sana!
 
Back
Top Bottom