Chris41
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 625
- 409
Mkuu Chris41
Nimejaribu kudownload, lakini computer yangu inapop up window hii:
TO RUN THIS APPLICATION YOU MUST FIRST INSTALL ONE OF THE FOLLOWING VERSSION OF THE.NET FRAMEWORK:
V2. 0.50727
V4.0
Contact your application publisher for instruction about obtaining the appropriate version of the. NET FRAMEWORK.
Ninini mbaya na computer yangu?
Mkuu,hiyo kama imezingua,,, try hii hapa mkuu inaitwa youwave haina mbwembwe hii ipo simple zaidi unaweza pia fanya yote ya kweny android link hii hapa: YouWave, Android on Windows PC
muonekano wake upo hivii
View attachment 114607View attachment 114607
Mkuu,
Nimefikia hatua hiyo, lakini cha kushangaza ni kwamba ICON ya Whatsapp pekee ndio haipo!
Hizo zingine zote zipo!...nimejaribu kuingia kwenye help na kuwweka, lakini hiyo icon haionekani!
mambo ya msingi ya bila kusahau. ni lazima uwe na google account (gmail account) kwani ndo itaunganishwa na pc yako.
pili wakati wa kuunganisha whatsapp na simu yako ni lazima simu yako iwe hewani. utatumiwa verification code.
ikishindikana type namba ya simu yako kisha iruhusu kupigiwa (yaani utabofya kitufe ili simu yako iite) ikiita upokee, itasikia mdada anasoma verification code ziandike kwenye sehemu ya kutye verification code then endelea,.
hebu fuata tutorial hii ukishindwa sehemu ni pm au nimention ( andika @%mnyongeni, bila % ) ili kunimention, nitaiona nakukusaidia.
natumaini MALISA92 umenielewa
Mkuu Chris41
Nimejaribu kudownload, lakini computer yangu inapop up window hii:
TO RUN THIS APPLICATION YOU MUST FIRST INSTALL ONE OF THE FOLLOWING VERSSION OF THE.NET FRAMEWORK:
V2. 0.50727
V4.0
Contact your application publisher for instruction about obtaining the appropriate version of the. NET FRAMEWORK.
Ninini mbaya na computer yangu?
Baadhi ya watu tumekua tukihitaji kutumia baadhi ya application kama whatsapp na instagram kwenye pc zetu kutokana na sababu tofauti,, pengine cm haisuport, au sim imeharibika kwa muda au pengine tunapenda tu... so ifuatayo ni program ambayo unaweza ukafanya yote hayo kwenye pc yako,, yaan app zote za android unaweza kuzipata na kutumia kwenye pc yako....
- download bluestacks from here: Run Mobile Apps on Windows PC or Mac with BlueStacks | Android App Player
- pc yako inatakiwa kuwa na RAM kuanzia 2GB
- Intall
- Now good to go....
View attachment 114383
hivi ndivyo inavyoonekana ,,, kuna sehem ya kusearch hapo juu ambapo unaweza kusearch any applichation and install.... lazima uwe na modem,, n hata wakt wakuinstall lazima uconnect na internet.... hapo ukishainstall whatsapp process nyingne za kawaida km kweny cm tu....enjoy instagram na whatsapp ht kama hauna cm...
msaada. mimi nime download kabisa hiyo bluestack lakini niki install inasima intall fail so please kama mtu anayo blustack installer ai attach arafu nita i download
Hlo N tatzo La Graphics Driver!!
Solution n Ku install graphic Driver !! ila Uzuri wake Bluestack ina Close substute [youwave ] so kama inakusumua hamia Youwave ila bluestack ina kamvuto kake!!
Hivi hii youwave inaweza ku-run kwa min laptops za ram 1gb, kama hizi aspire one series. Maana nshajaribu sana bluestack bt huwa inadai ram iwe above 2gb, how about youwave C6 & chief-mkwawa
hata youwave inahitaji 2gb ram maana inashare ram since ni virtual os zitagawana ram na os iliyopo... mfano windows itakula 1gb na yenyewe 1gb...