BeibeSmith
Senior Member
- Jun 3, 2016
- 140
- 135
Nahitaji ambayo sitakuwa na haja ya kuinstall app kwenye simu yake. Mimi sio expert wa IT so nahitaji hiyo simplekuna njia mbili moja uwe vizuri (expat) wa IT nyingine simple tu
Nahitaji ambayo sitakuwa na haja ya kuinstall app kwenye simu yake. Mimi sio expert wa IT so nahitaji hiyo simplekuna njia mbili moja uwe vizuri (expat) wa IT nyingine simple tu
Kuna kiasi kikubwa cha ukweli hapo...lol
kitochi kinabaki kwenye gari hakishuki kamwe
Dunia ni tata sana...ukiikariri utaishia kuchanganyikiwa..kuna best friend wangu alikuwa na msichana wake, yule msichana alikuwa analilia sana kuwa rasmi (kuolewa) siku ameenda kumvisha yule binti pete ya engagement kwao mkoani ndio siku ilikuwa ya kuijaza furaha na hitaji la yule binti....wamemaliza mambo ya engagement na kulipiwa posa na nusu ya mahali jamaa akapanda gari kurud kwenye shuguli zake....usiku ule yule binti na pete yake mpyaaa na furaha zake akampigia simu X wake wakadate. "Inauma sana"Offense is the best defense. Badala ya kufikiria mbinu za kukamata mwizi, invest kwenye yale yatakayomfanya atoke, that way akose vishawishi.
You won't be doing that for her, but for you. That way when you really find out she be letting other people in, you can catch a body(s) and live with it.
weka mspy kwenye simu yake kwisha kazi alf enjoy your timeNahitaji ambayo sitakuwa na haja ya kuinstall app kwenye simu yake. Mimi sio expert wa IT so nahitaji hiyo simple
Duh hii kibokoooMmmh! Najua wazee wakuchepuka wamevutiwa na heading sana.
Iko hivi kama una mke au mume na humuamini unahisi kabisa ana mtu nje fanya njia hii kupata uhakika ila angalizo kama huna moyo mpana acha au kama unampenda sana acha pia,kama anatumia simu na unahisi kwenye simu kuna namba zakutia mashaka fanya haya.
Nenda kwenye ile namba ifute tazama jina lililoandikwa kwenye hiyo namba ingiza namba zako nyingine ambazo hata yeye hazijui andika jina hilo hilo, kama mtumiaji anatumia whatsapp ndio rahisi zaidi, angalia picha gani ameweka mshukiwa wako na wewe weka hiyo hiyo, kwakuwa umeshafuta ile namba kwenye simu yake hataweza kushtukia.Sasa hapo we kula kona anza kuchat utajua kila kitu kuhusu huyo unaemtilia mashaka.
Naomba niwaambie tu kesi yoyote huko mimi simo,msisahau kuleta mrejesho pia hapa,
Mwisho kabisa michepuko haifai tulizaneni kwa waislam nendeni mkasome Qur'an 17 :32
Ahahahahhaaahamkuu zamani nilikuwa nakrem namba hata za family nzima kichwani,hivi sasa namba zangu nazisahau sijui memory ya kichwa ndio iko full naona
Hujaelewa. Atakapopigiwa litakuja jina na sio namba. hapo atadhani anachat na mchepuko wake, kumbe mume/mke.We nae wengine wamekremu namba hata ukiweka jina hilo hilo namba ni tofauti
Beware na settings zako, idisplay jina tu bila nambaHujaelewa. Atakapopigiwa litakuja jina na sio namba. hapo atadhani anachat na mchepuko wake, kumbe mume/mke.
Tufundishekuna njia nyingi sana za kufanya kama unamashaka. chunguza cm ya huyo unaetaka kumfwatilia anatumia apps gani kulock cm yake, haswa upande wa sms, tweeter, what' app n. k. kisha njo pm nikufundishe jisni yakutoa lock na kusoma unachotaka.
asanteni
Umemchoka mwenzi wako kwani ?teh teh teh
Hii njia tamu sana, ngoja nikaijaribishe.
Usisahau na alama pia" wakati wa kuchatiBora wengine tuna salam zetu kabisa tumejiwekea...
Yes mkuu, hvohvo ndo mpango. Hayo mengne ni presha tupucode fulani hivi ili kujua kama ndiye. Mfano mnasema Tabora,anatakiwa ajibu kinyume chake. ie Rabota
ndo mnaendelea
Simu yake haipatikani kiurahisiweka mspy kwenye simu yake kwisha kazi alf enjoy your time