Tumia njia hii kunasa mchepuko wako

Tumia njia hii kunasa mchepuko wako

Kwangu mm kuchapiwa ni kipimo cha uzuri wa demu wangu. Ukiona unatoka na demu wako halafu mnafika kwenye kijiwe cha Bodaboda ama taxi ama stend ya daladala ama mkusanyiko wowote wa watu halafu mamen wenzio hawamezi mate juu ya demu wako ujue umekosea.

Ukiona una demu kwa miaka 2 au zaidi hujawahi kumshuku ama kumkamata na sms ya mchepuko ujue umekosea.

Kizuri lazima ule na nduguyo. Oa mrembo ufaidi, ukichapiwa jipongeze.
 
Aka ndo mambo yote kanaishia kwenye gari mwiko kuingia ndan
 

Attachments

  • 1465565501123.jpg
    1465565501123.jpg
    24 KB · Views: 52
Mmmh! Najua wazee wakuchepuka wamevutiwa na heading sana.

Iko hivi kama una mke au mume na humuamini unahisi kabisa ana mtu nje fanya njia hii kupata uhakika ila angalizo kama huna moyo mpana acha au kama unampenda sana acha pia,kama anatumia simu na unahisi kwenye simu kuna namba zakutia mashaka fanya haya.

Nenda kwenye ile namba ifute tazama jina lililoandikwa kwenye hiyo namba ingiza namba zako nyingine ambazo hata yeye hazijui andika jina hilo hilo, kama mtumiaji anatumia whatsapp ndio rahisi zaidi, angalia picha gani ameweka mshukiwa wako na wewe weka hiyo hiyo, kwakuwa umeshafuta ile namba kwenye simu yake hataweza kushtukia.Sasa hapo we kula kona anza kuchat utajua kila kitu kuhusu huyo unaemtilia mashaka.

Naomba niwaambie tu kesi yoyote huko mimi simo,msisahau kuleta mrejesho pia hapa,

Mwisho kabisa michepuko haifai tulizaneni kwa waislam nendeni mkasome Qur'an 17 :32
Nimefurahishwa sana na maoni ya beibe smith"simu zina pattern kama nyumba ya buibui"
 
Offense is the best defense. Badala ya kufikiria mbinu za kukamata mwizi, invest kwenye yale yatakayomfanya atoke, that way akose vishawishi.

You won't be doing that for her, but for you. That way when you really find out she be letting other people in, you can catch a body(s) and live with it.
 
App locker ipo.

mimi natumia parental control,hii huduma iko kwenye lenovo ndio naiona,hiyo ukifika mitaa ya home unaweka basi hapo app usizotaka home zijulikane hazionekkani kabisa wala hakuna msg itaingia ila ikija msg inakupa notification fulani mwenyewe utajua kama kuna msg imeingia sehem
 
Back
Top Bottom