Tumia njia hii kunasa mchepuko wako

Tumia njia hii kunasa mchepuko wako

msaada kwa wale wapenzi wao wanatumia password, pattern n.k kosea mara kibao ili ngoma iji_lock hawatatumia tena hizo mambo, au jaribu kuweka simu yako wazi wazi sana bila passwd ili umzoeshe mwenzio kumbe naye ajaribu kuweka wazi wazi ili ufanye kama ulivoagizwa na mtoa uzi

ahahaha wewe genius
 
Nikajuwa ni ushauri Wa jinsi ya kutajilika kumbe ni unabu huu! Unafatilia halaf unataka nini ili iweje
 
Back
Top Bottom