irk
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 486
- 390
Ewaaaaaaaaaaaaaaa[emoji1][emoji38][emoji6]code fulani hivi ili kujua kama ndiye. Mfano mnasema Tabora,anatakiwa ajibu kinyume chake. ie Rabota
ndo mnaendelea
Ewaaaaaaaaaaaaaaa[emoji1][emoji38][emoji6]code fulani hivi ili kujua kama ndiye. Mfano mnasema Tabora,anatakiwa ajibu kinyume chake. ie Rabota
ndo mnaendelea
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna mi pasword kama rugha za kirumi!
Unacheza na wezi wewe? Pwords adi kwene gallery namba unaipataje sasaIna maana mpaka kuoga wanaingia nazo? Au Ndio Yale Maisha ya password Kila kona
Pole. Ulitumia njia gani mkuu? Seriousy i need to do this.nlisha wahi kumchunguza bata kilicho nipata cna hamu najuta kihere here changu
uko vzr sana.mi najua nasalitiwa sina haja ya kujihangaisha
Mimi nina kaNokia ka tochi maalumu for mipango ya kando,hakajawahi ingia ndani kwangu kanaishi ofisini.Joking....
Mhhh ila usimuache akawa loose tu,internal controls zina umuhimu wake atii
kuna njia mbili moja uwe vizuri (expat) wa IT nyingine simple tuPole. Ulitumia njia gani mkuu? Seriousy i need to do this.
Bora wengine tuna salam zetu kabisa tumejiwekea...
Siwezi kupoteza muda kufuatilia upumbavu wa mtu kama anafanya afanye tuuu siwezi kung'ang'ania lisilo fungu langu
That makes two of us mkuu, wakati mwingine huyu wangu ni Kama anafanya juhudi nijue kabisami najua nasalitiwa sina haja ya kujihangaisha