Tumia internet bila kikomo kwa Tsh 300

Tumia internet bila kikomo kwa Tsh 300

hmm ngoja nijaribu hii kitu leo yani UNLIMITED kabisa sidhani?
Nimejiunga muda huu tena! Kujiunga piga *300# salio lako liwe angalau tsh 350.
hyo ni website gan ulokua unadownload hzo movies?
Website niliyokua nadownload movie ni:Direct Download Movies Free || No sharing site links
mnh ndi kusema wana wateja wao wanowapa hio offer au
Sidhani Jaribu kuwapigia Customer care wakupe msaada zaidi, Ila kujiunga just piga *300#
 
Back
Top Bottom